Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

Kumbe wewe ni mwehu!kwahiyo na Allen Snr aliyepandisha huu uzi 17 August nayeye katumwa na Rwanda??wewe mjinga sana ujitambui hata cheo cha upumbavu huna ni mjinga basi!

ha ha ha ha,,,,acha kujitetea,,kagame ana majasusi wengi sana humu,,,hata huyo allen tutampata tu,,,just a matter of time......
 
Last edited by a moderator:
shika maneno yangu, usifuate matendo yangu ..

Jk, anaiaminisha dunia nzima kuwa Tz kuna demokrasia ki maneno ila kivitendo ni tofauti kabisa.

Jk, kama alikuwa anaamini katika demokrasia asingetoa kauli "tutawafunga wapinzani wakiwa wamesimama
 
Kama magufuri wabunge ukawa akili za ccm mi nataka lowassa na wabunge wa ukawa full stop
 
Kwani mmeambiwa upinzani wameshinda hadi awaachie nchi?
kagame anatakiwa kukaa meza moja waasi wa Rwanda wamalize tofauti zao kabla kuizungumzia Tanzania.

Halafu Tz ni mziki mnene hauwezi atulie kabusa walishindwa makaburu.
 
kagame anatakiwa kukaa meza moja waasi wa Rwanda wamalize tofauti zao kabla kuizungumzia Tanzania.

Halafu Tz ni mziki mnene hauwezi atulie kabusa walishindwa makaburu.

Yeye kasema anasubiri kwa hamu kuona uchaguzi wa mwaka huu kujua kama mkuu wetu wa nchi anahubiri tu demokrasia au anaizingatia na kumaanisha!!
Tafsiri yake ni kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki..??
Maana yeye na wa Burundi wanalaumiwa hawana utawala wa demokrasia....Je anayewalaumu yeye mwaka huu ataizingatia???
 
Humu mtandaoni kuna watu ambao sio watanzania, wanapandikiza chuki kwa kujifanya wao ni wapinzani, kwa kuwa wanaweza kuandika kiswahili basi watanzania wanajua ni wenzao. Fanyeni ushenzi wenu lakini mtambue kuwa Dola iko macho na inafanya kazi.
 
"Preaching about Democracy is one thing but Practising it is another thing! As East African Countries members we are witnessing what's going on in Tanzania as they are heading to their General Election; So we are curiously looking forward seeing our best friend and the Presiding Chairman of our Community proving to us how Democracy is Practically adhered in Tanzania so as to differentiate himself from either me or Nkurunzinza!"

Kagame, Paul

SOURCE DW

Kwa mtu yoyote mwenye akli hawezi kushabikia mambo ya Kagame, Kagame ni hatari kwa ustawi wa taifa letu, kuna mengi yamejificha nyuma ya huyu mtu, usishadadie kisa anamfavour mtusi mwenzake EL. Yapo mengi usiyoyaelewa, kinachokuponza ni uhaba wako wa information. kagame ni hatari tena hatari sana kwa nchi yetu.
 
Kuna watu wengi ambao hatuwezi kununuliwa kwa ushenzi kama huu, hatuwezi kudanganywa kirahisi, hatuwezi kukubali nchi yetu itawaliwe na watu wa kuja. huu ni upuuzi tena wa hali yajuuu sana. Kagame na EL wana agenda yao ndo maana anatuchokonoa chokonoa kila wakati, ipo siku usiri uliopo chini ya meza utakaa juu ya meza.
 
Hamna hoja acheni ujinga Kagame is Right to the maximum in Tanzania we preach for democracy but we don't practice it at all..so let him express his feelings coz Africans we are one blood
 
najaribu kugoogle Kagame aliisema wapi hiyo sipati jibu, by the way Kagame inafahamika wazi kwamba ni dictator, no way to compare him with Kikwete anayeondoka madarakani Kwa hiari baada ya mda wake kwisha
 
Kuna watu wengi ambao hatuwezi kununuliwa kwa ushenzi kama huu, hatuwezi kudanganywa kirahisi, hatuwezi kukubali nchi yetu itawaliwe na watu wa kuja. huu ni upuuzi tena wa hali yajuuu sana. Kagame na EL wana agenda yao ndo maana anatuchokonoa chokonoa kila wakati, ipo siku usiri uliopo chini ya meza utakaa juu ya meza.

Tanzania tuna vilaza, Mkapa mlimwita wa kuja, Lowassa wa kuja, Mwinyi wa kuja, then who are you. Nchi hii bila nyie wapenda madaraka inawezekana, mnaandaa kila mbinu chafu ili familia zenu zibaki, mwaka huu no choice.
 
Humu mtandaoni kuna watu ambao sio watanzania, wanapandikiza chuki kwa kujifanya wao ni wapinzani, kwa kuwa wanaweza kuandika kiswahili basi watanzania wanajua ni wenzao. Fanyeni ushenzi wenu lakini mtambue kuwa Dola iko macho na inafanya kazi.

Iko macho kuliko wakuavyo!
 
JK anaweza kuwa anaondoka madarakani 'Physically' lakini akaendelea kutawala 'virtually'. Kaagiza magari kibao ya FFU, ni ya nini kama anaamini uchaguzi utakuwa wa huru na haki? Hizo pesa angenunulia vitanda vya kujifungulia akina mama pale Mwananyamala. Fikiri
Unless kama hauna kumbukumbu lakini hata huko nyuma, wakati wa kuelekea uchaguzi mkuu si tu kwamba kunakuwaga na additional recruitment of police bali pia vitendea kazi. Na hilo la kuondoka physically, si tatizo la Tanzania tu, mambo kama hayo yanatokea sana duniani!

But, pamoja na yote hayo ndugu yangu, let's be honest here--- ni mara ngapi JK ametuhumiwa kutaka kumweka mrithi atakayelinda maslahi yake? Kwa bahati mbaya au mzuri; wote wale ambao tulisema JK anawandaa ili waje kumfichia madhambi yake hakuna hata mmoja ambae alifika angalau Halmashauri Kuu! Sitaki kuamini kwamba unaamini JK hakufahamu kwamba mwisho wa Membe ungekuwa Kamati Kuu! Huyu Membe ndio alisemwa sana kwamba ndio ngao ya JK! Sitaki kuamini kwamba unaamini JK alitarajia Asha-rose Migiro angeweza kufurukuta; lakini huyu Migiro ni mmoja wa watu tuliokuwa tunamtuhumu JK kwamba anamwandaa! Sitaki kuamini kwamba unaamini JK hakuhusika kukatwa kwa Lowassa lakini hata alipochaguliwa Jaji Lubuva kuwa Mwenyekiti wa Tume, watu tukasema JK anamwandalia EL njia kwa kuwa tu EL na Lubuva ni mashemeji!

Sasa ikiwa hata kuteuliwa kwa mtu ambae hatukuwahi kusema kwamba atawekwa kumlinda JK; bado leo tunasema mteuliwa Magufuri yupo pale kumlinda JK, sasa ni nani basi angesimama kwa tiketi ya CCM ambae tusingesema kwamba
yupo pale kulinda maslahi ya JK?

Hebu turudi nyuma kabla ya mchakato wa kumpata mgombea wa CCM! Hivi wewe ungekuwa ndie JK-- ni wapi ungejisikia kuwa more safe kati ya kumwachia Magufuri kijiti au kumwachia kijiti Lowassa? Lowassa yule wa kabla ya kukatwa-- Lowassa yule ambae hakukutana na JK barabaran-- Lowassa yule aliyedai ikiwa kimbukumbu zitawekwa sawa, hakuna President aliyemfikia JK kuifanyia hii nchi mambo makubwa!!!
 
Mwanzo wa thread amesema source ni DW (Deutsche Welle) Shirika la Utangazaji la Ujerumani; na mimi nilikuwa nimeamini hivyo. Sasa anaulizwa source anasema ni yeye mwenyewe!! Tafadhali afafanue ili tuelewe ukweli wa thread yake.

discuss the content acha blah blah blah au dawa inaingia?
 
Kagame ni mtu mdogo sana hawezi kutuumiza kichwa watanzania na kanchikake ambako kanalingana na mkoa wa tabora halafu mimi namlaum kikwete angeacha amemtia adabu kagame yani inatakiwa agongeshwe kipondo cha mbwa mwizi ingekua enzi za mkapa kagame angekua kishapokea kipondo mana alikua hataki matani ya kipuuzi huyu kagame anacho kitafuta atakipata ngoja aingie magufuli halafu amletee maigizo ya kijinga aone mana huyu magufuli nayeye hataki matani yakijinga kagame nimtu mdogo sana hawezi kutunyima usingizi watanzania.
 
Back
Top Bottom