Wewe hujui unachosema mwambie aliazishe basi, mimi nilikuwa JKT 1987/1988 kisha nienda JWTZ 5 years tena kwenye vikosi nyeti unavyovisikia nchi hii silaha zote najua kuzitumia hadi dakika hii niko uraiani naendelea na maisha kwa hili la Kagame nitaenda frontline tena nakuhakikishia hiyo wilaya ni siku moja tu kesho yake tunakunywa chai kigali,hutaki subiri matokeo.
Nimekukubali kwa uzalendo,mimi sina mafunzo yoyote ya kijeshi,lakini nalilia nipewe mafunzo ya wiki tatu tu,nikiweza kushika aina tatu za silaha na maguruneti ya mkono naungana na wewe frontiline,NITAMKATAKATA KAGAME VIPANDE VYA MSHIKAKI WA KUNYWEA HIYO CHAI YA KIGALI,NINA HASIRAAAAA!
Frankly speaking kagame ni mavi ya africa.naisubiri kwa hamu hotuba ya simba wa afrika kagame[/QUOTE:eheeeeeee!!!!Yaani huyo ni simba wa Africa kwa lipi???lazima wewe ni mnyarwanda japo unaishi TZ tunawajua mpo wengi ushukuruni sana utawala wa kwanza nchi hii.
Kwenye masuala ya kitaifa sisi tupo pamoja na rais .mambo ya ccm yanatoka wp ww mbwiga? Tunampa cku mbili kagame atengue kauli kabla hatujamnyonya machojk kalikologa alinywe yeye mwenyewe, kweli nimeamini ccm wanapenda vita
Oh Mr. Skeleton!Samahani kwa ukimya wakuu. Mambo muhimu:
1) Rwanda haitaendeshwa na mnafiki
2) Tunajiamini kupita maelezo
3) Tuna uwezo wa kushawishi jumuia ya kimataifa
4) Tunaweka vikosi vyetu tayari kwa lolote
5) Hatutasubiri kuanzishiwa. Tutalianzisha
Zihofie ww na mkeo/mmeo na mioyo yenu ya mmkuu zile apache mm ndio nazihofia sana. Alafu wtz wanavyoongea as if mziki wa apache wanaujua. Zile ndani ya dk 2 airport yote kushney. Alaf mbaya zaid hazitunguliwi kwa risasi zile.
dah mr rahisi kwa movie ni nouma,naona saiv anachukua ma star mpaka njee ya nchi na wabongo nlivyolala yaani ile kibongo lala mmelkubali apa naona wote chadema oyeeeeeeeee mnarusha niaje! K word 2 all ya usiku mwema wapendwa!
Samahani kwa ukimya wakuu. Mambo muhimu:
1) Rwanda haitaendeshwa na mnafiki
2) Tunajiamini kupita maelezo
3) Tuna uwezo wa kushawishi jumuia ya kimataifa
4) Tunaweka vikosi vyetu tayari kwa lolote
5) Hatutasubiri kuanzishiwa. Tutalianzisha
mkuu umepata mkalimani nini? Mi nimeshindwa.
Pamoja sana.
Kwenye masuala ya kitaifa sisi tupo pamoja na rais .mambo ya ccm yanatoka wp ww mbwiga? Tunampa cku mbili kagame atengue kauli kabla hatujamnyonya macho