Paul Kagame kulihutubia Taifa leo

Paul Kagame kulihutubia Taifa leo

Samahani kwa ukimya wakuu. Mambo muhimu:
1) Rwanda haitaendeshwa na mnafiki
2) Tunajiamini kupita maelezo
3) Tuna uwezo wa kushawishi jumuia ya kimataifa
4) Tunaweka vikosi vyetu tayari kwa lolote
5) Hatutasubiri kuanzishiwa. Tutalianzisha
 
Sasa anasubiri nini kulianzisha mbona anapenda sana porojo huyu jamaa?

Kwahiyo yeye ushauri kwake ni vita?kweli kale kajamaa kana matatizo!
 
I understand they have an APACHE HELICOPTER which can be a nightmare to our infantry man.All in all come what may Tanzania will win the war.

mkuu zile apache mm ndio nazihofia sana. Alafu wtz wanavyoongea as if mziki wa apache wanaujua. Zile ndani ya dk 2 airport yote kushney. Alaf mbaya zaid hazitunguliwi kwa risasi zile.
 
Samahani kwa ukimya wakuu. Mambo muhimu:
1) Rwanda haitaendeshwa na mnafiki
2) Tunajiamini kupita maelezo
3) Tuna uwezo wa kushawishi jumuia ya kimataifa
4) Tunaweka vikosi vyetu tayari kwa lolote
5) Hatutasubiri kuanzishiwa. Tutalianzisha

funguka zaidi
 
Mkuu, mi naona kama zingekuwa ni Ndege zingetusumbua sana kutokana na namna ya kuitungua. Ila Helikopta za Apache huwa sio rahisi moja kwa moja kwenda mahali ambapo kuna Silaha nzito. Kwa kifupi Apache huwa inatumika mahali na mahali tofauti na ndege. Helikopta ni nyepesi kushushwa. Anyway JWTZ huwa hawana sifa ya kujitangaza juu ya Silaha zao ila ninaamini wanazo silaha nzuri.
 
Samahani kwa ukimya wakuu. Mambo muhimu:
1) Rwanda haitaendeshwa na mnafiki
2) Tunajiamini kupita maelezo
3) Tuna uwezo wa kushawishi jumuia ya kimataifa
4) Tunaweka vikosi vyetu tayari kwa lolote
5) Hatutasubiri kuanzishiwa. Tutalianzisha

Mkuu, hii ni habari kubwa, nashauri uifungulie uzi wake . . . kila mtu ajue
 
Samahani kwa ukimya wakuu. Mambo muhimu:
1) Rwanda haitaendeshwa na mnafiki
2) Tunajiamini kupita maelezo
3) Tuna uwezo wa kushawishi jumuia ya kimataifa
4) Tunaweka vikosi vyetu tayari kwa lolote
5) Hatutasubiri kuanzishiwa. Tutalianzisha

Na weye akwi inatokea pande hiyo?
 
Samahani kwa ukimya wakuu. Mambo muhimu:
1) Rwanda haitaendeshwa na mnafiki
2) Tunajiamini kupita maelezo
3) Tuna uwezo wa kushawishi jumuia ya kimataifa
4) Tunaweka vikosi vyetu tayari kwa lolote
5) Hatutasubiri kuanzishiwa. Tutalianzisha

... Hii haitoki kwa Dikteta Kagame ... Its just a bullshiiiitt from radhia ..!!
 
Jaribu kweka hii taarifa in details alafu waombe Mods waunganishe pale juu.
 
wacha watupigage tu, mi siwezi kupeleka ugoko wangu eti nionyeshe uzalendo kwa nchi ambayo viongoz wenyewe wezi tu. niwe mstari wa mbele ili nije kumpa sifa RIZ1 NA BABA YAKE........NA WAKINILAZIMISHA TUKIFIKA HUO PORINI NAWAGEUKA NAWATUNGUA RISASI TU.
 
... Hii haitoki kwa Dikteta Kagame ... Its just a bullshiiiitt from radhia ..!!
kwenye website ya rwanda government haipo,labda hawajaiweka,kufikia kesho tutajua tu kama anatudanganya ama vipi.
 
wacha watupigage tu, mi siwezi kupeleka ugoko wangu eti nionyeshe uzalendo kwa nchi ambayo viongoz wenyewe wezi tu. niwe mstari wa mbele ili nije kumpa sifa RIZ1 NA BABA YAKE........NA WAKINILAZIMISHA TUKIFIKA HUO PORINI NAWAGEUKA NAWATUNGUA RISASI TU.

wewe ni mfu kama siyo marehemu!
 
mafanikio gani?au mnababaika na stor uchwara?yule mwizi.
Mapambano ya kivita simjui
mshindi,ila ya kimafanikio kwa "kuitoa nchi chini kwenda juu", Paul
Kagame mshindi.
 
Back
Top Bottom