Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,772
- Thread starter
- #81
PK alitoa kauli ambayo ukiitizama kwa undani nadhani kuna zaidi ya ushauri alopewa siku ile.
may be amekuwa akimvumilia jk for so long!
cc safari ni safari
mkuu umepata mkalimani nini? Mi nimeshindwa.