Paul Kagame kulihutubia Taifa leo

Paul Kagame kulihutubia Taifa leo

Wewe hujui unachosema mwambie aliazishe basi, mimi nilikuwa JKT 1987/1988 kisha nienda JWTZ 5 years tena kwenye vikosi nyeti unavyovisikia nchi hii silaha zote najua kuzitumia hadi dakika hii niko uraiani naendelea na maisha kwa hili la Kagame nitaenda frontline tena nakuhakikishia hiyo wilaya ni siku moja tu kesho yake tunakunywa chai kigali,hutaki subiri matokeo.

Nimekukubali kwa uzalendo,mimi sina mafunzo yoyote ya kijeshi,lakini nalilia nipewe mafunzo ya wiki tatu tu,nikiweza kushika aina tatu za silaha na maguruneti ya mkono naungana na wewe frontiline,NITAMKATAKATA KAGAME VIPANDE VYA MSHIKAKI WA KUNYWEA HIYO CHAI YA KIGALI,NINA HASIRAAAAA!
 
Ongeeni ya kuongea, ila vita isipiganike. wewe mwananchi wa kawaida unaweza usidhurike. Ila wanjeahi wetu. Pia Kumbuka JW haeataenda peke yao ila wataenda na jkt. Pia kumbka wadogo zako form six walioenda jkt bila kupenda, wanweza wekwa frontline (may be). je, watakao tokea wakapoteza uhai damu zao zitakua mikononi mwa nani? Wazazi wao vipi? Taifa letu litaendelezw na nani?
 
May I differ with many here...nampenda sana rais Kagame,ana msimamo,ni mfano wa kuigwa sio tu africa mashariki,bali ni miongoni mwa viongozi shupavu waliobakia duniani...he truly leads.
 
Langu ni hili:hebu tuache ushabiki ktk hili.vita co hata kidogo hata kama tungekuwa na uwezo wa kuipiga rwanda kwa dk 20. Tuliyonayo wandugu yanatutosha tena sana. Tumchukulie pk kama mlevi tu..kwan JIBU LA -------- NI KUNYAMZA.
 
Nimekukubali kwa uzalendo,mimi sina mafunzo yoyote ya kijeshi,lakini nalilia nipewe mafunzo ya wiki tatu tu,nikiweza kushika aina tatu za silaha na maguruneti ya mkono naungana na wewe frontiline,NITAMKATAKATA KAGAME VIPANDE VYA MSHIKAKI WA KUNYWEA HIYO CHAI YA KIGALI,NINA HASIRAAAAA!

Umenifurahisha mpaka ndani ya roho, Tanzania tunajivunia vijana kama wewe wenye kuipenda nchi yao kwa dhati.
 
jk kalikologa alinywe yeye mwenyewe, kweli nimeamini ccm wanapenda vita
Kwenye masuala ya kitaifa sisi tupo pamoja na rais .mambo ya ccm yanatoka wp ww mbwiga? Tunampa cku mbili kagame atengue kauli kabla hatujamnyonya macho
 
Samahani kwa ukimya wakuu. Mambo muhimu:
1) Rwanda haitaendeshwa na mnafiki
2) Tunajiamini kupita maelezo
3) Tuna uwezo wa kushawishi jumuia ya kimataifa
4) Tunaweka vikosi vyetu tayari kwa lolote
5) Hatutasubiri kuanzishiwa. Tutalianzisha
Oh Mr. Skeleton!
 
mkuu zile apache mm ndio nazihofia sana. Alafu wtz wanavyoongea as if mziki wa apache wanaujua. Zile ndani ya dk 2 airport yote kushney. Alaf mbaya zaid hazitunguliwi kwa risasi zile.
Zihofie ww na mkeo/mmeo na mioyo yenu ya m
Mbuzi
 
Nasikia killer Skeleton Kagame anavuta sana bangi na alianza kuvuta akiwa porini kipindi kileee Yeye ni muasi. Hata afya yake iko hivyo kwa sababu ya mimoshi ya bangi na sigara, kuutwa.
 
Dah mr rahisi kwa movie ni nouma,naona saiv anachukua ma star mpaka njee ya nchi na wabongo nlivyolala yaani ile kibongo lala mmelkubali apa naona wote CCM OYEEEEEEEEE mnarusha niaje! K word 2 all ya usiku mwema wapendwa!
 
dah mr rahisi kwa movie ni nouma,naona saiv anachukua ma star mpaka njee ya nchi na wabongo nlivyolala yaani ile kibongo lala mmelkubali apa naona wote chadema oyeeeeeeeee mnarusha niaje! K word 2 all ya usiku mwema wapendwa!

pamoja.
 
Samahani kwa ukimya wakuu. Mambo muhimu:
1) Rwanda haitaendeshwa na mnafiki
2) Tunajiamini kupita maelezo
3) Tuna uwezo wa kushawishi jumuia ya kimataifa
4) Tunaweka vikosi vyetu tayari kwa lolote
5) Hatutasubiri kuanzishiwa. Tutalianzisha

Deterrence without cost, just call it noise or ignorance
 
Pamoja sana.

Jah abariki tu meku yaani ni mapichapicha kila mahali umeshajaribu kuwaza miaka hii tunayoishi eti mtu anawaza kuwalisha mapichapicha raiya wake bahati mbaya ama nzuri wananjaa niaje ya mapichapicha acha npite faster mrs dildo au faiza 4x asinkute uku nkapata mamtaji ya ban bure watu tunataka maisha kweli ujue na sio izi siasa za kichoko mara maisha bora au niaje niaje
 
Kwenye masuala ya kitaifa sisi tupo pamoja na rais .mambo ya ccm yanatoka wp ww mbwiga? Tunampa cku mbili kagame atengue kauli kabla hatujamnyonya macho

Is it not btn Kagame vs Kikwete? Mambo ya kitaifa yanatoka wapi? Labda wanagombea totos je? Wewe ulikuwepo Ethiopia wakati wanaanza kukwaruzana?
 
Back
Top Bottom