Paul Kagame kulihutubia Taifa leo

Paul Kagame kulihutubia Taifa leo

karwanda kadogo lkn nimepata habari wana silaha za kuangamiza dar kwa nusu saa...

Mkuu,

Kumbuka na elewa ya kwamba Rwanda hupitishia silaha zake kupitia bandari yetu ya Dar, na husafirishwa kupitia barabara zetu. Tena hupewa eskoti kusafirisha kupitia jeshi letu ambalo ni JWTZ (TPDF).
Kwa mantiki hiyo basi, vyombo vyetu vyote vya dola vinatambua silaha alizonazo jirani yetu Rwanda, na wanajua ni jinsi gani wanavyoweza kuwadhibiti.
Hii ni sawa na Malawi, nguvu zao kijeshi zote zajulikana hapa Tanzania.

Sidhani kama Kagame anavifaa vya missile vyenye uwezo wa kuipiga Dar kwa umbali wa kutokea Kigali ambayo ni zaidi ya kilometa 1,400.

Sema, wanachoweza kufanya ni kuelekeza nguvu katika kuiharibu zaidi Mwanza kama ilivyokuwa target ya Idd Amin kuivuruga na kuikatia mawasiliano Mwanza.

Kwa kuliona hilo basi juu ya Mwanza, serikali ya Tanzania tayari toka mwaka jana imeshaweka kikosi cha anga Mwanza (kikosi cha anga kilichopo airport pembezoni mwa Military Hospital-MH).

Hizi nchi majirani zetu za magharibi zianzishapo chokochoko na Tanzania kivita...target yao kubwa huwa Mwanza City maana wanajua wakiiharibu Mwanza basi kuiteka Dar huwa ni rahisi na kuvunja uchumi wa nchi mara moja.

Kiujumla vita si nzuri ila kujihami no bora zaidi kama alivyonena jemedari wetu kuwa "HATUYAPUUZI".
 
Hio radio ipo online Kama una smart fone download tunein then search Kigali radio 100.7 ila inatangaza kinyarwanda
 
karwanda kadogo lkn nimepata habari wana silaha za kuangamiza dar kwa nusu saa...
I understand they have an APACHE HELICOPTER which can be a nightmare to our infantry man.All in all come what may Tanzania will win the war.
 
tupe mda gan atahutubia mh kagame kiboko ya mafisadi na wala rushwa
 
Wakati wanaiharibu Mwanza sisi teyari tunagawa mali na viwanja Wilayani Rwanda, Tanzania, na wa kwanza kupewa ni watu wa mwanza.
Mkuu,

Kumbuka na elewa ya kwamba Rwanda hupitishia silaha zake kupitia bandari yetu ya Dar, na husafirishwa kupitia barabara zetu. Tena hupewa eskoti kusafirisha kupitia jeshi letu ambalo ni JWTZ (TPDF).
Kwa mantiki hiyo basi, vyombo vyetu vyote vya dola vinatambua silaha alizonazo jirani yetu Rwanda, na wanajua ni jinsi gani wanavyoweza kuwadhibiti.
Hii ni sawa na Malawi, nguvu zao kijeshi zote zajulikana hapa Tanzania.

Sidhani kama Kagame anavifaa vya missile vyenye uwezo wa kuipiga Dar kwa umbali wa kutokea Kigali ambayo ni zaidi ya kilometa 1,400.

Sema, wanachoweza kufanya ni kuelekeza nguvu katika kuiharibu zaidi Mwanza kama ilivyokuwa target ya Idd Amin kuivuruga na kuikatia mawasiliano Mwanza.

Kwa kuliona hilo basi juu ya Mwanza, serikali ya Tanzania tayari toka mwaka jana imeshaweka kikosi cha anga Mwanza (kikosi cha anga kilichopo airport pembezoni mwa Military Hospital-MH).

Hizi nchi majirani zetu za magharibi zianzishapo chokochoko na Tanzania kivita...target yao kubwa huwa Mwanza City maana wanajua wakiiharibu Mwanza basi kuiteka Dar huwa ni rahisi na kuvunja uchumi wa nchi mara moja.

Kiujumla vita si nzuri ila kujihami no bora zaidi kama alivyonena jemedari wetu kuwa "HATUYAPUUZI".
 
awe na helicopter 500 kama hizo hawezi kuzuiya JW kuingia na kuiteka Rwanda yote in one day.
I understand they have an APACHE HELICOPTER which can be a nightmare to our infantry man.All in all come what may Tanzania will win the war.
 
akiendelea tena kumshambulia JK nitajua kuwa kweli amedhamiria na hajafurahishwa na jeshi letu kuingia DRC
Nakubaliana na wewe 100%siku zote alikuwa kimya lakini baada ya kuona tumepeleka majeshi DRC homa yake imepanda na mandate ya UN imedadilika kwa eneo la DRC Kaanzisha chuki na Tanzania isio na ulazima JK nakuomba atakachosema kagame this time usikubali kama kitalenga kutotaka suluhu,nenda hatua moja mbele funga ubalozi wetu wa Rwanda na weka majeshi yetu yaliyoko kigoma hadi bukoba kwenye hali ya tahadhari ajue tumemaanisha maana punda haendi ila kwa kiboko.Wana JF wenye mawasiano na HIYO radio ya Rwanda tujuzeni kilichojili.
 
karwanda kadogo lkn nimepata habari wana silaha za kuangamiza dar kwa nusu saa...
ndivyo mnavyodanganyana mkiwa hapo Rwanda, guseni muone moto wa Watanzania. Tuko tayari kuvuka mpaka na kupiga mpaka Kigali tukichokozwa, kama mnadhani huu ni utani jaribuni muone moto wake. Kawaulizeni Waganda nini kiliwatokea walipotuchokoza!!
 
Cjui nani mchokoz ila nahis tz ndio wachokoz na kama ndivyo tukipigana watatupiga mana MUNGU ATAKUWA UPANDE WAo.
Yaani inasikisha kumbe hata issue yenyewe huijui imeanzia wapi wawezaje kusema TZ ndio wachokozi???Wewe pia ni mnyarwanda japo umeishi sana TZ tena kwa raha mustarehe hizo ndio shukurani za punda mateke ama kweli Karibu mbaya.
 
Back
Top Bottom