mwana wa mama
Senior Member
- May 2, 2013
- 146
- 40
karwanda kadogo lkn nimepata habari wana silaha za kuangamiza dar kwa nusu saa...
Tanzania in ulinzi wa pekee usiwatishe wananchi wa Tanzania'hilo halitakaa itokee wanaopenda vita wasipoteze muda wao kwa Tanzania.Mwache PK ni kama anapigia mbuzi gitaa au kwa lugha nyingi mwache apande juu atashuka mwenyewe!Nampongeza sana Raisi wetu kujishusha japo yeye ndiye kakosewa!Mungu ibariki Tanzania,Afrika na Dunia nzima!