lazima kagame atajibu alichoelezea kikwete maana ni askari na psychology ya askari na ubabe na vita.
anataka kujitutumua lkn akumbuke wapo wengi wa aina yake waliishia pabaya kwa tabia hiyo hiyo ya ubabe, mfano: Gadafi, Sadam, pinoched, idd amin na wengine wengi.
namshauri kikwete awe na uvumilivu lakini yakimshinda ajibu vikali ikibidi tufunge dipolimasia nao na kwa jinsi hiyo East african community itakuwa imekaribia kuzikwa kwa mara ya pili.
Nilishauri tangu awali East African Community isiwahusise hawa jamaa tubaki kama tulivyokuwa ili tuendelee kuakis maana ya jina lenyewe hamkunisikiliza, sasa yanakaribia kutimia.