Paul Kagame: Dikteta katili anayefugwa na Wamarekani

Mleta mada una agenda zako au ni one of interahamwe mliofanya genocide then kagame akawapa kichapo sasa mnarandaranda mitaani mnaogopa kurudi kwenu, kagame ni one of the best President kutokea Africa na matokeo yanaonekana, nilikuwa Rwanda not long ago sikuamini macho yangu na wakati mwingine unaweza kuwa confused kama uko first world country, kwa speed waliyonayo rwanda sio muda mrefu Rwanda ikawa katika standard za nchi nyingi za ulaya, na uliposema report kutoka France ilibidi nicheke tuu, TZ ingekuwa na Kagame na ule utajiri nafikiri tungekuwa tunashindana na South Africa au tumewapita
 
Na jf isingekuwepo
 
Wewe huijui Marekani kumbe
 

Mkuu una hoja ila huyu:



Yuko wapi?

Labda tungeanza kuangalia boriti hapa hapa?
 
Achana na propaganda, kagame kaiweka Rwanda vizuri na ni salama sana, hakuna rushwa, sheria zinafuatwa etc na uchumi unakua vizuri, naona unataka kuwarudisha wauaji wenzako interahamwe
 
Nyie wahutu mnahangaika sana tatizo lenu you keep hating what you can't conquer, mnasema kagame alishiriki kikao kilichopanga kulipua ndege wakati kipindi hicho kagame alikua Marekani masomoni, mtueleze alishiriki kikao online au kwa njia ipi? Kuhusu huyo nyamwasa kwanini hakusema hayo hadi alipofukuzwa kazi?

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Rwanda ni kama jela fulani hivi ya nje yaani huwezi kusema kitu kupinga RPF ukatoka salama


Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
Ukweli mchungu sana huu. Victoire Ingabire, mwanamama wa upinzani anaozea jela, kisa tu alionesha nia ya kutaka kupokonya tonge la Kagame. Kuna mwanamuziki alikuwa akiimba nyimbo za kimapinduzi, alikutwa kafa kimaajabu maajabu nyumbani kwake. Kuna mengi sana Rwanda yanayokera, sema wanaogopa kumfunga paka Kengele
 
Sio nwamwasa tu aliyethibitisha.Ni pamoja na ripoti ya wahuspania na wafaransa pamoja na aliyekuwa mkuu wa upelelezi wa Kagame Patrick Karegeya ambaye aliuawa.Kama kagame hana cha kuficha kwanini anawaua waliokuwa washiriki wake?

Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
 
Brother naona kwako interahamwe ni bora kagame lakini hakuna mnyarwanda mwenye akili atakubali huo ujinga
 
Unaweza Kukuta Rwanda Nao Wanasema Tutamuongezea
Mpaka Afie Madarakani Kama Walivyosema Ccm Hapa Kwetu
.............Madaraka Yanalevya Yaani Unaona Ukiachia Cheo, Madaraka Huoni Wakuongoza.....
Clouds Mwongoza Njia Shujaa Kafa Lakini Radio Ipo....
 
Unaweza Kukuta Rwanda Nao Wanasema Tutamuongezea
Mpaka Afie Madarakani Kama Walivyosema Ccm Hapa Kwetu
.............Madaraka Yanalevya Yaani Unaona Ukiachia Cheo, Madaraka Huoni Wakuongoza.....
Clouds Mwongoza Njia Shujaa Kafa Lakini Radio Ipo....
Mbona walisharekebisha katiba kitambo sana? Nadhani anaenda mpaa 2035 kama sijakosea, iwapo mwenyezi Mungu ataendelea kumuweka hai. Afrika tuna shida sana ya kunogewa na utamu wa madaraka.
 
Karegeya aliuawa kwakua ni msaliti hao wafaransa unaowataja nao ni watuhumiwa kwenye genocide ndiomana last month macron amekuja Kigali na kuomba msamahaa officially, Rpf iliingia Rwanda kusimamisha massacre ya ndugu zetu mliokuwa mkiwauwa mchana na usiku huku mkitumia state apparatus

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Interahamwe wengi wamerudi wameshatubu na wanatumikia vifungo vyao na wengine wamemaliza, wanajua walichofanya ni kitu kibaya sana, sasa hivi wako Rwanda wanajenga nchi kama wengine na hawataki tena kusikia upuuzi
 
Mpumbavu Sana thinking yake ni ndogo sana kuhusu life cycle unamuuwa vipi mwanadamu mwenzio hali nawe ni mfu mtarajiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…