- Thread starter
- #101
Rwandan ex-army officer gunned down in Mozambique
Police were alerted by Révocat Karemangingo of a plot to kill him, the refugee association says.
www.bbc.co.uk
Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
Gifted!!!?Hujui kua watutsi ni hybrid ya wa israel!!
They are gifted.
Na jf isingekuwepoMleta mada una agenda zako au ni one of interahamwe mliofanya genocide then kagame akawapa kichapo sasa mnarandaranda mitaani mnaogopa kurudi kwenu, kagame ni one of the best President kutokea Africa na matokeo yanaonekana, nilikuwa Rwanda not long ago sikuamini macho yangu na wakati mwingine unaweza kuwa confused kama uko first world country, kwa speed waliyonayo rwanda sio muda mrefu Rwanda ikawa katika standard za nchi nyingi za ulaya, na uliposema report kutoka France ilibidi nicheke tuu, TZ ingekuwa na Kagame na ule utajiri nafikiri tungekuwa tunashindana na South Africa au tumewapita
Wewe huijui Marekani kumbeVipimo vya rais kupendwa na Marekani ni vipi? Kama ni sifa tuu kwenye vyombo vya habari labda ufafanue ni vyombo vipi maana vingi ni vya binafsi siyo vya serikali. Kama ni vyombo vya habari binafsi vinampa sifa hiyo siyo Marekani rasmi. Hivyo vyombo vya habari binafsi vina ajenda zao ambazo zinaweza kuwa tofauti na sera za Marekani. Kama vipimo ni ushirikiano baina ya nchi, hata sisi tunao ushirikiano mzuri tuu na Marekani. Haina maana Marekani inailinda serikali ya CCM kwa sababu Tanzania na Marekani wana ushirikiano.
Siku watamchoka wataweka mwingine
Kagame anajiona Mungu sana
Na kibaya ameanza kuchokonoa other countries..siku anagusa pabaya ndio inakua mwisho wake
Kasenge sana..kanajiitaga wao eti ni Waisrael....what a stupid dillusional clown!
Wamarekani wanamtumia,na end of the say watamuua wataweka wengine....Anatumika kama condom tu
Amejisahau sana,anajiona kama Mungu yaani...
Mimi anapoua watu innocent kabisa ndio anaponiudhi....
Kuna siku alituma watu wakaue watu Africa Kusini,nusura SA wafanye retaliation ya vita kabisa,kakaomba amani
Kuna siku alimzengua Museveni,kidogo kapigwe kakaomba msamaha
Kuna siku kalimchokonoa Kikwete,kidogo kapigwe kakaomba amani
Sasa huu upumbavu siku kanagusa kwa kichwa maji ndio atajua maharage ni mboga....Naomba siku akachezee Kenya aone atakachofanyiwa
Kapumbavu sana...na wanadamu washakachoka....kila siku kanaua watu tu mpaka watu tunashangaa yaani!
Achana na propaganda, kagame kaiweka Rwanda vizuri na ni salama sana, hakuna rushwa, sheria zinafuatwa etc na uchumi unakua vizuri, naona unataka kuwarudisha wauaji wenzako interahamweAcha kutetea muuaji bwana
Unamuua hadi mwanamziki asie na tatizo lolote?
Muimba nyimbo za dini,like seriously?
Kagame kafugwa sana na siku zake zitafika mwisho
Kila siku yeye anaua watu tu.....
Mnaomtetea ni wapumbavu sana maana mnaona "maendeleo" of which are lies na propaganda za uwongo eti ana "maendeleo" yana justify kuua wanadamu?
Yaani hoja ya "maendeleo" ina justify kuua wanadamu bila hata kupitia mahakamani?
Like really?
Mnatuaona East Africans kama watoto vile....Kagame must be put in his place!
Ukweli mchungu sana huu. Victoire Ingabire, mwanamama wa upinzani anaozea jela, kisa tu alionesha nia ya kutaka kupokonya tonge la Kagame. Kuna mwanamuziki alikuwa akiimba nyimbo za kimapinduzi, alikutwa kafa kimaajabu maajabu nyumbani kwake. Kuna mengi sana Rwanda yanayokera, sema wanaogopa kumfunga paka KengeleRwanda ni kama jela fulani hivi ya nje yaani huwezi kusema kitu kupinga RPF ukatoka salama
Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
Sio nwamwasa tu aliyethibitisha.Ni pamoja na ripoti ya wahuspania na wafaransa pamoja na aliyekuwa mkuu wa upelelezi wa Kagame Patrick Karegeya ambaye aliuawa.Kama kagame hana cha kuficha kwanini anawaua waliokuwa washiriki wake?Nyie wahutu mnahangaika sana tatizo lenu you keep hating what you can't conquer, mnasema kagame alishiriki kikao kilichopanga kulipua ndege wakati kipindi hicho kagame alikua Marekani masomoni, mtueleze alishiriki kikao online au kwa njia ipi? Kuhusu huyo nyamwasa kwanini hakusema hayo hadi alipofukuzwa kazi?
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Brother naona kwako interahamwe ni bora kagame lakini hakuna mnyarwanda mwenye akili atakubali huo ujingaHizi reasons zenu sio sahihi eti ndio justifications za kuua watu,kuwanyima freedom of judiciary na kuwanyima haki zako za msingi kama humans.
Hizo reasons za genocide ni upumbavu,hiyo genocide sio reason ya kuwanyima wanadamu haki zao.
KAgame ni muuaji ,katili,nyima watu haki za kibinadamu,uuaji,etc....Plus ni mtu wa chokochoko na nchi jirani
Kagame sio kwamba ni muuaji wa raia wake tu ila ana penda chokochoko na majirani zake wasiohusika nae kabisa.
Kagame is a problem
Mbona walisharekebisha katiba kitambo sana? Nadhani anaenda mpaa 2035 kama sijakosea, iwapo mwenyezi Mungu ataendelea kumuweka hai. Afrika tuna shida sana ya kunogewa na utamu wa madaraka.Unaweza Kukuta Rwanda Nao Wanasema Tutamuongezea
Mpaka Afie Madarakani Kama Walivyosema Ccm Hapa Kwetu
.............Madaraka Yanalevya Yaani Unaona Ukiachia Cheo, Madaraka Huoni Wakuongoza.....
Clouds Mwongoza Njia Shujaa Kafa Lakini Radio Ipo....
Karegeya aliuawa kwakua ni msaliti hao wafaransa unaowataja nao ni watuhumiwa kwenye genocide ndiomana last month macron amekuja Kigali na kuomba msamahaa officially, Rpf iliingia Rwanda kusimamisha massacre ya ndugu zetu mliokuwa mkiwauwa mchana na usiku huku mkitumia state apparatusSio nwamwasa tu aliyethibitisha.Ni pamoja na ripoti ya wahuspania na wafaransa pamoja na aliyekuwa mkuu wa upelelezi wa Kagame Patrick Karegeya ambaye aliuawa.Kama kagame hana cha kuficha kwanini anawaua waliokuwa washiriki wake?
Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
Interahamwe wengi wamerudi wameshatubu na wanatumikia vifungo vyao na wengine wamemaliza, wanajua walichofanya ni kitu kibaya sana, sasa hivi wako Rwanda wanajenga nchi kama wengine na hawataki tena kusikia upuuziINTARAHAMWE ni Wanyarwanda kama wengine
Kuna kitu wanakipigania,madai yao yapo wazi...wewe ulitaka waseme nini?
Kagame kabla hajawa rais na yeye alikua Intarahamwe msituni akiisumbua serikali kama walivyo Intarahamwe wa sasa
Sasa wewe unataka tumuone Kagame mungu wengine sio watu maana kagame nae alipitia the same method.
Intarahamwe Rwanda ni kwao,huna namna,huwezi wanyima hiyo haki,kila siku watamsumbua mpaka waje kumuua,hakuna namna!
Kikwete alisema ni vyema akakaa nao mezani wakasikilazana,otherwise ategemee siku moja watamchinja regardless.
Mengine unayoongea ni blah blah za Kagame zisizo na kichwa wala miguu maana na yeye ni pumbavu kama walivyo wengine.
Kagame ni mjinga kiasi kwamba anaua mwanamuziki wa nyimbo za dini Kizito,kwa kutomuunga mkono yeye!
Yaani unaua mwanamuziki wa nyimbo za dini?Like,really?
Mpumbavu Sana thinking yake ni ndogo sana kuhusu life cycle unamuuwa vipi mwanadamu mwenzio hali nawe ni mfu mtarajiwa.Ukweli mchungu sana huu. Victoire Ingabire, mwanamama wa upinzani anaozea jela, kisa tu alionesha nia ya kutaka kupokonya tonge la Kagame. Kuna mwanamuziki alikuwa akiimba nyimbo za kimapinduzi, alikutwa kafa kimaajabu maajabu nyumbani kwake. Kuna mengi sana Rwanda yanayokera, sema wanaogopa kumfunga paka Kengele