Tanzania tuwe na tahadhari na Kagame

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,425
7,213
Rais Kagame wa Rwanda amekuwa mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika.

Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa Marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa.

Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa.

Jeshi lake limekuwa Congo DR miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya Congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake Uganda.

Hivi leo Kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri Afrika kutokana na wizi wa madini Kivu ya Kaskazini.

Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na JWTZ na kutimuliwa nje ya Congo hadi Uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka askari wa JWTZ nchini DRC.

Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia Tanzania. Tusijidai eti tunajali biashara kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili Kagame ama sivyo tutakuja kujuta.

Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi Kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko Rwanda.

Pia ningewashauri Msumbiji wasiamini majeshi ya Rwanda kuwasaidia kumaliza waasi Kaskazini mwa nchi hiyo maana Rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.
 
Rais Kagame wa Rwanda amekua mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika. Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa. Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa. Jeshi lake limekua congo drc miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake uganda. Hivi leo kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri afrika kutokana na wizi wa madini kivu ya kaskazini.
Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na jwtz na kutimuliwa nje ya congo hadi uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka asksri wa jwtz drc. Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia tanzania. Tusijidai eti tunajali biashsra kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili kagame ama sivyo tutakuja kujuta. Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko rwanda.
Pia ningewashauri msumbiji wasiamini majeshi ya rwanda kuwasaidia kumaliza waasi kaskazini mwa nchi hiyo maana rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.
Wivu unakusumbua stupid
 
a little and coward kagame can do nothing to Tz
 
Ujamaa uliwajaza wabongo ujinga na inferiority complex. Mnaogopa kila kitu hadi vinchi vidogo kama ghetto. Rwanda mnaiogopa kwa lipi hasa? Ujinga tu.

Mnaogopa wageni kuja nchini, mnaogopa kwenda nje, mnaogpa uraia pacha, mnaogopa kushindana globally, mnaamini hamuwezi nyie ni watu wa kuibiwa na kuonewa tu. The inferiority complex of the highest order.
 
Ila Jwtz wako poa sana ila wasijiamini sana pia wawe makini zaidi ili huyo mpuuzi akitaka tu kutugusa apelekewe moto yaaan hako ka mkoa kake tunakafinya na huyo pk labda atoroke kwa kuvaa nguo za kike maana ndo itakua option pekee.Mpuuzi yule anatamba sana na ka mkoa kake anajiona mbabeeee ila kimoyo moyo anaujua mziki wa Jwtz hata mm nitajiunga siku hiyo km mgambo wa kujitolea kwenda kuwafyonza hao wapuuuzi na asirogwe kabisa kuwaza hata kufikiri kutusumbua tz tutampiga chepe huku parapanda ikiimbwa .
 
Ujamaa uliwajaza wabongo ujinga na inferiority complex. Mnaogopa kila kitu hadi vinchi vidogo kama ghetto. Rwanda mnaiogopa kwa lipi hasa? Ujinga tu.

Mnaogopa wageni kuja nchini, mnaogopa kwenda nje, mnaogopa kushindana globall, mnaamini hamuwezi nyie ni watu wa kuibiwa na kuonewa tu. Inferiority complex of the highest order.
Rwanda wanasumbua sana km ww si mfuatiliaji wa vitu huwezi elewa kwa nn lazima tuwe makini Congo kanaisumbua sana kako mpaka C.R.A hadi rais wa nchi hiyo analindwa na wanajeshi wa rwanda nenda msumbiji ndo kamewatuliza wale wanajihadi sasa ww unakachukulia poa poa
 
:D:D
 
Rais Kagame wa Rwanda amekuwa mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika.

Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa Marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa.

Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa.

Jeshi lake limekuwa Congo DR miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya Congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake Uganda.

Hivi leo Kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri Afrika kutokana na wizi wa madini Kivu ya Kaskazini.

Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na JWTZ na kutimuliwa nje ya Congo hadi Uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka askari wa JWTZ nchino DRC.

Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia Tanzania. Tusijidai eti tunajali biashara kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili Kagame ama sivyo tutakuja kujuta.

Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi Kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko Rwanda.

Pia ningewashauri Msumbiji wasiamini majeshi ya Rwanda kuwasaidia kumaliza waasi Kaskazini mwa nchi hiyo maana Rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.
Mara hii, KP hatoboi. Tusubiri.
 
Rwanda and PK is over rated, ni nchi masikini bado anapambana na basics za raia wake kama food shelter security and healthy, hana ubavu kuanzisha na nchi kama Tanzania ambao sio pori kama Congo.
 
Rwanda wanasumbua sana km ww si mfuatiliaji wa vitu huwezi elewa kwa nn lazima tuwe makini Congo kanaisumbua sana kako mpaka C.R.A hadi rais wa nchi hiyo analindwa na wanajeshi wa rwanda nenda msumbiji ndo kamewatuliza wale wanajihadi sasa ww unakachukulia poa poa

Nonsense. Hata JPM mlisema analindwa na Rwanda. Story za vijiweni usilete JF.

Congo wanasumbuana wenyewe wao wamekuta weakness tayari. Lini Congo ilitulia? Lumumba aliuwawa na Rwanda?

Siku inferiority complex ikiwatoka mtaendelea.
 
Ww kaa na upuuzi wako hivo hivo unadhani hujui chochote upo upo tu kama zoba unafikiri wa tz ni mazoba kwamba tutakaa kimya huyo bwege akileta upuuzi mwambie watz ni mzinga wa nyuki tutamwachia manundu huyo mmeo
 
Ujamaa uliwajaza wabongo ujinga na inferiority complex. Mnaogopa kila kitu hadi vinchi vidogo kama ghetto. Rwanda mnaiogopa kwa lipi hasa? Ujinga tu.

Mnaogopa wageni kuja nchini, mnaogopa kwenda nje, mnaogopa kushindana globall, mnaamini hamuwezi nyie ni watu wa kuibiwa na kuonewa tu. Inferiority complex of the highest order.
Mjinga tu wewe. Nani alikudanganya eti watanzania wako inferior. Sisi tunawaangalia mkigombea kula kama mafisi huko kwenu. Ukweli tunawashangaa.
 
Rwanda and PK is over rated, ni nchi masikini bado anapambana na basics za raia wake kama food shelter security and healthy, hana ubavu kuanzisha na nchi kama Tanzania ambao sio pori kama Congo.
Umesema kitu bro. Ni over rated kwa kua watutsi kwa uongo na propaganda ni hatari. Tunaoneshwaga kigali eti safi kama europe. Mbona hawaoneshi miji mingine? Ukweli kigali ni safi na inapendeza lakini wenye kujua kwingine wanasema ni ovyo huwezi hata kidogo kwa mfano kulinganisha na mikoani ya tanzania.
 
Tanzania na hata Kenya wana maslahi na nchi ya Congo, kwa nini wanaacha inavurugwa na hako kajamaa........tukisema wanakaogopa tutakuwa tunakosea? usipomdhibiti nyoka nje siku moja ataingia ndani tu.....​
 
Ila Jwtz wako poa sana ila wasijiamini sana pia wawe makini zaidi ili huyo mpuuzi akitaka tu kutugusa apelekewe moto yaaan hako ka mkoa kake tunakafinya na huyo pk labda atoroke kwa kuvaa nguo za kike maana ndo itakua option pekee.Mpuuzi yule anatamba sana na ka mkoa kake anajiona mbabeeee ila kimoyo moyo anaujua mziki wa Jwtz hata mm nitajiunga siku hiyo km mgambo wa kujitolea kwenda kuwafyonza hao wapuuuzi na asirogwe kabisa kuwaza hata kufikiri kutusumbua tz tutampiga chepe huku parapanda ikiimbwa .
Ubora wa jeshi hautegemei ukubwa wa nchi, ni intelejensia, vifaa pamoja na wajeda wenyewe. Rejea Vita ya siku sita Kati ya kanchi Israel lkn mataifa kadhaa ya waarabu yalikaa.

B4
 
Back
Top Bottom