Inferiority complex unaua mtu asiyemiliki hata panga.Thus anamiliki KILA kitu lkn amiliki amani ya moyo hofu ya kupinduliwaINTARAHAMWE ni Wanyarwanda kama wengine
Kuna kitu wanakipigania,madai yao yapo wazi...wewe ulitaka waseme nini?
Kagame kabla hajawa rais na yeye alikua Intarahamwe msituni akiisumbua serikali kama walivyo Intarahamwe wa sasa
Sasa wewe unataka tumuone Kagame mungu wengine sio watu maana kagame nae alipitia the same method.
Intarahamwe Rwanda ni kwao,huna namna,huwezi wanyima hiyo haki,kila siku watamsumbua mpaka waje kumuua,hakuna namna!
Kikwete alisema ni vyema akakaa nao mezani wakasikilazana,otherwise ategemee siku moja watamchinja regardless.
Mengine unayoongea ni blah blah za Kagame zisizo na kichwa wala miguu maana na yeye ni pumbavu kama walivyo wengine.
Kagame ni mjinga kiasi kwamba anaua mwanamuziki wa nyimbo za dini Kizito,kwa kutomuunga mkono yeye!
Yaani unaua mwanamuziki wa nyimbo za dini?Like,really?