Safi Sana mkuu,na hyo ya USA kuwa nyuma yake kagame sio bahati mbaya Mana walimuandaa wao kwa malengo yao. Naomba mkasome kitabu Cha bwana Howard French titled a continent for taking kuna mengi kuwahusu hawa madhalimu was Kiafrika wanavoandaliwa na mabeberu wenyewe akiwamo kagame specifically kuandaliwa na USA na hats mafunzo ya kijeshi kayapata huko.