Paul Gascoigne (Gazza) anasikitisha kwa kweli

Huyu jamaa nilianza kusoma habari zake kwenye OK na HELLO magazine mwaka 95, wakati huo alikuwa Golden boy wao, wanawake pia wanachangia, alimoa mdada alieitwa Shirley wakati huo harusi ilikua kwenye HELLO pamoja na OK, Jamaa pia alikua wife bitter lakini mwanamama aliminya mpaka wino ulivyodondoka kwenye cheti cha ndoa ndio akasema anapigwa, divorce ilibidi wagawane na mwanamke alipata zaidi kwakua alikua na mtoto nae mmoja wa kiume. Toka pale jamaa akaanza kwenda down south emotionally.
Duh, kumbe wewe wa zamani ...
 
image.jpg

Huyu mtu alikuwa anaujua mpira na vituko vingi kuna siku timu ya taifa wanafanya mazoezi sasa kulikuwa na kijiukuta kapanda Paul Ince(kaka mkuu)gazza alikuwa nyuma yake akamvua bukta Ince alikuwa mbabe kweli basi kwa ghadhabu akageuka ili ashambulie tahamaki anamkuta gazza ikabidi achake.
Kituko kingine refa alidondonda kadi ya njano basi gazza akaiokota na kunyoosha juu kuwa kampa kadi refa kwa uzembe wa kuidondosha.Atabaki kuwa ni mtu mwenye kipaji kati ya waingereza.
 
Sasa hivi hakuna anaemsaidia, jamaa akivuta utaona social media, magazeti, tv ect he was the best, we are sorry, he was uniques...... Lakini Chris Evans alijitahidi sana kumpa support ila nadhani ameshindwa.
 
Mwaka 96 kwenye euro alisema"Kunapasi anatoa beadsley karibu na goli ambazo hata mimi siwezi kutoa ila Peter anakupa gazza anasema beadsley na raudlap ndio wachezaji wawili sio wachoyo duniani aliisha wahi kucheza nao.
 
Sasa hivi hakuna anaemsaidia, jamaa akivuta utaona social media, magazeti, tv ect he was the best, we are sorry, he was uniques...... Lakini Chris Evans alijitahidi sana kumpa support ila nadhani ameshindwa.

Gazza aina ya msaada anaohitaji sasa kupelekewa vimiminika na sigara akiwa nyumbani tu ili asipate tabu ya kutoka uchi uchi kitaa kutafuta maduka. Vile vile awepo mtu wa kumpenyezea sandwiches japo dirishani ili kusogeza siku tu. Hata hivyo kaishi maisha marefu sana compared to Amy Whinehouse.
 
Huyu jamaa nilianza kusoma habari zake kwenye OK na HELLO magazine mwaka 95, wakati huo alikuwa Golden boy wao, wanawake pia wanachangia, alimoa mdada alieitwa Shirley wakati huo harusi ilikua kwenye HELLO pamoja na OK, Jamaa pia alikua wife bitter lakini mwanamama aliminya mpaka wino ulivyodondoka kwenye cheti cha ndoa ndio akasema anapigwa, divorce ilibidi wagawane na mwanamke alipata zaidi kwakua alikua na mtoto nae mmoja wa kiume. Toka pale jamaa akaanza kwenda down south emotionally.
Duh wanawake viumbe hatari kwa hela kwa mujibu wa maelezo yako.
 
n 2003, she stopped sleeping with him. ‘I didn’t fancy him any more. And I suddenly realised I didn’t have to do anything I didn’t want to.’ He was another child to marshal. She scrupulously catalogues her divorce settlement in the book: £660,000 in cash and £120,000 a year (generous, but his basic salary was £720,000 a year, not counting his sponsorships and bonuses). When he hit hard times in 2003, she says the payments stopped and she helped him financially, taking a large bank loan to do so. In 2008, she offered to pay his rehab bills.
article-1267516-08C57807000005DC-696_224x303.jpg

Mtoto wake wa kiume anaeitwa Regan.
 
Back
Top Bottom