Paul Gascoigne (Gazza) anasikitisha kwa kweli

Duh wanawake viumbe hatari kwa hela kwa mujibu wa maelezo yako.
Ya Frank Bruno yule aliyekuwa mwana masubwi inasikitisha zaidi, pesa yake nyingi ya kupigana alinunua mansion huko country side, baada ya divorce mke amepewa nyumba na watoto, kwa huruma mke amempa servants courter ajistiri amasivyo angekuwa homeless. Akiamka anaona limansion alilopigania lileee.
 
Huyu jamaa nilianza kusoma habari zake kwenye OK na HELLO magazine mwaka 95, wakati huo alikuwa Golden boy wao, wanawake pia wanachangia, alimoa mdada alieitwa Shirley wakati huo harusi ilikua kwenye HELLO pamoja na OK, Jamaa pia alikua wife bitter lakini mwanamama aliminya mpaka wino ulivyodondoka kwenye cheti cha ndoa ndio akasema anapigwa, divorce ilibidi wagawane na mwanamke alipata zaidi kwakua alikua na mtoto nae mmoja wa kiume. Toka pale jamaa akaanza kwenda down south emotionally.
Uko vizuri! Nilijua tu kwa hali hiyo lazima kuna laana zinamuandama
 
Gaza ana depression so he is drinking his self to death...kaachwa na wife, katumia pesa vibaya na kapoteza marafiki na wachache alio baki nao wameanza kumchoka.
Kuna kipindi alichangiwa pesa akapelekwa rehabilitation..... Inasikitisha sana.But despite everything he is going through.... Huyu jamaa alikua ni mwingereza anaeujua mpira,ile real talent.Kuna yeye,best(RIP),na currently Wilshire.
No more left of him except that history he made! This life is so strange
 
Huyo ndio gazza waqt yupo Italy lazio walikuwa na game gazza haonekani kupekua pekua wakamkuta anavua samaki hata khabari ya game hana.Siku ya nusu fainali 96 vs German wakati wa upigaji wa penalty yeye alikuwa anapiga story na wachezaji wa German yaani kama anawaambia mimi nikienda pale nafunga na kweli alipiga penalty nzuri.
 
Gaza ana depression so he is drinking his self to death...kaachwa na wife, katumia pesa vibaya na kapoteza marafiki na wachache alio baki nao wameanza kumchoka.
Kuna kipindi alichangiwa pesa akapelekwa rehabilitation..... Inasikitisha sana.But despite everything he is going through.... Huyu jamaa alikua ni mwingereza anaeujua mpira,ile real talent.Kuna yeye,best(RIP),na currently Wilshire.
hapo kwa Wilshire nahisi ni mapenzi binafsi
 
Hata kwa hatua hii bado utakuta mtu hajifunzi anaona ni bongo movie hiyo rey yupo location
 
Back
Top Bottom