Pata picha hii ingetokea hapa Tanzania

Pata picha hii ingetokea hapa Tanzania

Imani za ajabu ajabu zinatokana na Elimu duni,tunahitaji kubadili mfumo wetu wa elimu.
Huyo kwenye video ni chatu wa Amerika ya Kusini, ajulikanaye kama anaconda.

Inadaiwa kuwa hapo ni kwenye mji wa Porto Velho, nchini Brazil.

Joka lilikuwa linavuka barabara na watu wakasimamisha magari yao na kuliacha livuke kwa amani na utulivu na bila kulidhuru wala kuliua.

Wengine wakashuka toka kwenye magari yao na kulipiga picha za kawaida na video kwa kutumia simu zao.

Hatimaye joka likamaliza kuvuka na likatokomea kwenye kichaka.

Hiyo ingetokea hapa Tanzania....hahahaa!

Si ajabu yangesemwa mengi sana.

Kwanza, nadhani lingeuliwa. Kama si kwa kukanyagwa na gari basi kwa kupondwa mawe.

Ingiza sasa na zile imani za kijinga.

Si ajabu kuna watu ambao wasingelala usiku kwa kuamini kuwa limetumwa.

Watu wangehaha kwenda kwa waganga [emoji1787] ili kujua kulikoni!

Wakati hakuna lolote zaidi ya ecosystem kuwa kazini.

kama havunji mifupa anakuviringa kutafuta nini? nijibu kwanza hapo ndio maana anaitwa the constrictor soma maelezo haya mimi natoka sehemu zenye nyoka wakubwa misitu ya CONGO najua ninachoongea sitokei Kariakoo.Nyoka wenye sumu hawahitaji kuvunja vunja kitu maana wakiuma wanasubiri kiumbe kizimie wameze nyoka wote wasio na sumu kama chatu na anaconda inabidi watumie mbinu ya constriction
How do snakes kill humans?
They can reach lengths of more than 10m (32ft) and are very powerful. They attack in an ambush, wrapping themselves around their prey and crushing it - squeezing tighter as the victim exhales. They kill by suffocation or cardiac arrest within minutes
Kutoka San Diego zoo....

BFD0A191-8001-4CFC-9714-93241E247F4B.jpeg
 
Mnaliacha dude hatarishi kama hilo ili 'mvumbue' nini, eti? Ningeshaliulia mbali, mizaha yenu hii ya kucheka na visivyochekewa mwishowe mnasababisha majangatu.
Mnaliacha ili na lenyewe liendelee kuishi.

Kama halijamsumbua mtu kwa nini mliue?
 
Nimeamini vile husemwa ukitaka kumkimbia chatu asikufuate, vuka upande wa pili wa barabara ya lami, huwa anapata shda sana kutambaa kwenye lami, na hii iko kwa majoka na nyoka wote.

..nikikutana naye huyu namwagia mafuta ya taa, petroli, au dizel. sina huruma na hao wadudu.
 
Mnaliacha ili na lenyewe liendelee kuishi.

Kama halijamsumbua mtu kwa nini mliue?
Kwa hiyo unasubiria lisumbue mtu ndo uliue? Mfano ukiliona kama hivyo ukaliacha then badae kidogo unasikia limeua mtu, utajisikiaje?
 
..nikikutana naye huyu namwagia mafuta ya taa, petroli, au dizel. sina huruma na hao wadudu.
Why not just leave it alone if it’s not bothering anybody?

Why do you have to be so hostile?

What you’re saying you would do to it is animal abuse, and even worse, a hate crime 🤣.

Just leave the thing alone.
 
..i am humane to cows, goats, and chicken, wanyama ninaoweza kula.🤣
 
..i am humane to cows, goats, and chicken, wanyama ninaoweza kula.🤣
Unawala halafu unasema uko humane to them?

Hahahaa acha masikhara bana....

You can’t be humane to something that has to be killed first in order for you to be able to consume it 😄
 
Huyo kwenye video ni chatu wa Amerika ya Kusini, ajulikanaye kama anaconda.

Inadaiwa kuwa hapo ni kwenye mji wa Porto Velho, nchini Brazil.

Joka lilikuwa linavuka barabara na watu wakasimamisha magari yao na kuliacha livuke kwa amani na utulivu na bila kulidhuru wala kuliua.

Wengine wakashuka toka kwenye magari yao na kulipiga picha za kawaida na video kwa kutumia simu zao.

Hatimaye joka likamaliza kuvuka na likatokomea kwenye kichaka.

Hiyo ingetokea hapa Tanzania....hahahaa!

Si ajabu yangesemwa mengi sana.

Kwanza, nadhani lingeuliwa. Kama si kwa kukanyagwa na gari basi kwa kupondwa mawe.

Ingiza sasa na zile imani za kijinga.

Si ajabu kuna watu ambao wasingelala usiku kwa kuamini kuwa limetumwa.

Watu wangehaha kwenda kwa waganga 🤣 ili kujua kulikoni!

Wakati hakuna lolote zaidi ya ecosystem kuwa kazini.

Vipi kama ingetokea china?
 
Kama huyu anaonekana mdogo lakini mtu kama lemutuz anaingia kwenye tumbo la nyoka na nafasi inabaki
Hii nayo ni hekaya ya abunuasi tu.

Chatu hawezi kummeza kila binadamu.

Hivi ushawahi kukutana na Le Mutuz wewe?

The guy is huge.

Chatu anaweza kummeza binadamu mwenye umbile dogo kama kale kabinti kanakoitwa Zuchu.

Lakini watu dizaini ya Le Mutuz na Khadijah Kopa, hapana.

Wana miili mikubwa mno.
 
Hata Tanzania inatokea ukijaribu kumgonga utaona kinachotokea inabidi ufunge vioo kwani atashambulia kwa hasira ndio maana huwezi kukuta nyoka amegongwa
Acha uongo jombaa, nishaona nyoka kibao wamegongwa pia tulishawahi geuza gari kurudi kumgonga nyoka
 
Vipi kama ingetokea china?
Angeishia jikoni na hatimaye mezani...halafu ukienda kwenye Chinese restaurant na ku order seafood lo mein ukidhani unanunua msosi wa Samaki, kumbe unalishwa nyoka.
 
Why not just leave it alone if it’s not bothering anybody?

Why do you have to be so hostile?

What you’re saying you would do to it is animal abuse, and even worse, a hate crime 🤣.

Just leave the thing alone.

I'd kill it in a whim, it's survival instinct, kill first or get constricted and swallowed whole. If was tamed and caged, that'd be a whole different issue, but a slithering monster out there calls for nothing short of 38 special emptied on it.
 
Hii nayo ni hekaya ya abunuasi tu.

Chatu hawezi kummeza kila binadamu.

Hivi ushawahi kukutana na Le Mutuz wewe?

The guy is huge.

Chatu anaweza kummeza binadamu mwenye umbile dogo kama kale kabinti kanakoitwa Zuchu.

Lakini watu dizaini ya Le Mutuz na Khadijah Kopa, hapana.

Wana miili mikubwa mno.
Kama unamtetea lemutuz asimezwe basi ingependeza umezwe wewe
 
Hata Tanzania inatokea ukijaribu kumgonga utaona kinachotokea inabidi ufunge vioo kwani atashambulia kwa hasira ndio maana huwezi kukuta nyoka amegongwa
Umelishwa tango pori. Chatu huwa hagongi watu bhana, ananyonga na kumeza
 
I'd kill it in a whim, it's survival instinct, kill first or get constricted and swallowed whole. If was tamed and caged, that'd be a whole different issue, but a slithering monster out there calls for nothing short of 38 special emptied on it.
That’s cold!

I can understand if it somewhere in your premises and you decide to eliminate it.

But out there nowhere near your residence, like the one here trying to cross the road, I see no point in harming it.

This one in particular, wasn’t even being aggressive towards anyone or anything.

I see no point in killing it.

Just let it be.
 
Back
Top Bottom