Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,807
Mkuu hivi majoka haya ya jamii ya constrictor snakes yanaweza kumkimbiza mtu hadi limkamate?? Sio kwamba yanafanya ambush then linakuconstrict unakufa linakukula, ama [emoji2296]Nimeamini vile husemwa ukitaka kumkimbia chatu asikufuate, vuka upande wa pili wa barabara ya lami, huwa anapata shda sana kutambaa kwenye lami, na hii iko kwa majoka na nyoka wote.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app