Pata picha hii ingetokea hapa Tanzania

Pata picha hii ingetokea hapa Tanzania

Ndio mana nikaanza na Black mamba mkuu, Ni hatari sana asante kwa taarifa za Cobra
Huyo black mamba ukikutana naye, hasa mkongwe muache tu aondoke zake, inasemekana wakikua wanapata ukichaa, kwahiyo kuhusu kukumaliza ni fasta sana.

Kuna cobra niliwahi kumuua kwa fimbo ambayo anaizidi urefu! Alikuwa katisha kijijini anaingia ndani anaishi hata wiki nzima watu wakimwona wanapiga mayowe, ulikuwa mzigo wa adabu, tulikimbizana nao migombani, nilivyoupiga fimbo moja tu chali!
 
That’s cold!

I can understand if it somewhere in your premises and you decide to eliminate it.

But out there no where near your residence, like the one here trying to cross the road, I see no point in harming it.

This one in particular, wasn’t even aggressive towards anyone or anything.

I see no point in killing it.

Just let it be.

No good explanation other than Roho Mbaya.
I think that is the perfect description. Nyoka anajipitia zake hana mazonge na mtu, kwanini usimuache aende zake?
 
Angekuwa bongo huyo,angekufa zamani then ndo wapige picha
 
Atashambuliaje gari ilhali kakanyagwa na matairi?
Ana timing kali kabla hajakanyagwa anaruka na kukushambulia, ni tukio nililoshuhudia.
Wakati niko mdogo tulikuwa tukisafiri na marehemu baba yangu, njiani tukakuta nyoka anakatiza deteva akasimama, baba akamwuliza dreva kwanini anasimama akamwambia mzee ni hatari kujaribu kukanyaga nyoka baba akajifanya mbishi akasema twenda dreva akasema tufunge vioo tulipofunga akapita kumkanyaga nyoka tuliposhituka ni kioo cha gari kimegongwa bahati nzuri hakikupasuka hakuna mtu aliyeongea hadi tunafika.
 
Back
Top Bottom