Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 20,848
- 20,574
Ulitaka mwizi ajitokeze? Wasukuma bwana!Aliyeiiba hiyo passport ni nani?
Ulitaka mwizi ajitokeze? Wasukuma bwana!Aliyeiiba hiyo passport ni nani?
Hila ni kitu kibaya sana,Sijaelewa kabisa!
Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.
Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?
Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe suala la Rais kumsaidia yeye aipate tena passport yake?
Kwani hakuna taratibu za kufuata pale passport yako inapoibwa au inapopotea mpaka yeye amtumie Rais kuipata mpya?
Kwa kweli kwenye hili sijamuelewa!
Labda swali la kujiuliza je Lissu aliondoka kwa kufuata taratibu za uhamiaji? Na kama sivyo basi inaweza ikawa ngumu kupata passport nyingine kwa njia za kawaida.Sijaelewa kabisa!
Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.
Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?
Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe suala la Rais kumsaidia yeye aipate tena passport yake?
Kwani hakuna taratibu za kufuata pale passport yako inapoibwa au inapopotea mpaka yeye amtumie Rais kuipata mpya?
Kwa kweli kwenye hili sijamuelewa!
Jamaa amepagawa, mwanzo alisema anarudi TZ mwezi wa 3 sijui wa 5, leo anaomba Rais amhakikishie usalama wake ili arudi. Badala ya kuzungumza na Rais mambo ya msingi kama anavyoropoka akiwa huko kwa space amefyata anaomba vitu vya kitoto mno.
[/Q
TL anaweza kuwa ni agent wa ccm,hakuna ajuae kesho anaweza kuuunga mkononjuhudi kuuunga kuhusu za SSH
Mambo ni.mengi ujue huenda watesi wapepola hiyo documentKwenye hili Lissu kaibiwa au kapoteza kwa uzembe wake na anapaswa kuwajibika kwa uzembe wake huu!
Passport ni kama kitambulisho kinapaswa kutunzws kwa umakini mkubwa na anayepoteza hati ya kusafiria huchukuliwa kama mtu mzembe na asiyejali!
Lissu kwenye hili ameonesha udhaifu mkubwa sana kushindwa kutunza kitu muhimu kama hiki labda itaonekana sio mzembe kama ana ushahidi alivamiwa na kuibiww hiyo hati!
Pengine Sukuma gang wa ujeremani wamemuibia
Elimu ya wapi wewe walionda shule wamestarabika, Kama maadili yenyewe ndiyo matusi hay basi Bangi zinakudhiri sanabaghi ndio nini, zumbu kuku wewe. Kielimu hunizidi, kimaadili nimekuacha mbali choko wewe!
Hoja gani uliyoiandika na ikaleta maana isipokuwa kejeli na chuki ulizozidhihirisha kwa Lissu. Na wewe uachane na waliokuwa huwajui wala hawakujui.Wacha porojo wewee, achana na mimi. Soma na jibu hoja.
Achana kabisa na mtoa hoja, humjui hakujui.
Tatizo ni pale watumishi wa serikali, wanapokuwa makada wa chama tawala!!, ukiwa na bifu na na DC, watumishi wote wa wilaya wanaogopa kukuhudumia!!!Watu kufanya kazi kwa kuhisi hisi ni mbaya sana aisee!
Shida unachangia mambo usiyoyajua, unakurupuka.Kwani amesema ameibiwa mwezi uliopita? Labda aliibiwa kipindi jiwe yupo hai? Maana ameondoka nchini punde baada ya uchaguzi
Tatizo mnajitoa ufahamu, Kama alitembelewa na balozi Sokoine na kilichomkuta Sokoine mnakijua! Ni ofisa gani wa ubalozi atakuwa na guts za kuwezesha huyu bwana kupata passport!? Pia uondokaji wake hapa nchini hakuwa na normal procedureUtaratibu unajulikana kabisa.
Amejilipua ndio angesema hadharani tena kwenye nchi ya yenyeweDuh! Kumbe alishajilipua. Lissu, alidhamilia kweli kubaki huko. Hivi, amemuonyesha Mama "lost report" ya polisi?
====
Swali lililo kwenye heading ya uzi huu lijibiwe.
ni vigumu sana kama huendi deep ukamwelewa lissu.amemwomba rais kwa sababu huenda alienda ubalozini na alinyimwa kwa sababu za kisiasa.Passport kitu bhana watu wanapoteza hela ndio maana kuna balozi kwenye hizo Nchi cha kwanza ukifika ni kutoa taarifa ili ukipata matatizo yeyote inakua rahisi wao sehemu ya kuanzia kwa wasafiri kupoteza passport ishu ya kawaida tuu unaongea kama vile upo kwa Mpalange wakati unajinasibu upo Nje.
My friend Monkey kama ulivyopenda hilo jina je unajua amepitia mangapi katika kuipata hiyo passport yake usiwe kama ......Je wewe imekukera nini kama mwananchi wa kawaida je wewe unajilinganisha na Lisu?Sijaelewa kabisa!
Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.
Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?
Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe suala la Rais kumsaidia yeye aipate tena passport yake?
Kwani hakuna taratibu za kufuata pale passport yako inapoibwa au inapopotea mpaka yeye amtumie Rais kuipata mpya?
Kwa kweli kwenye hili sijamuelewa!
Hili ni swali?Kwahiyo bila Samia kwenda Ubelgiji asingepat passport?
Na wakati huo ni haki ya kikatiba mbunge kutibiwa.....toka amemiminiwa risasi hakuna mtu amewai kamatwa kwa kosa hilo ila mbowe amekamatwa na yuko magereza nusu mwaka sasa eti alituma pesa kufadhili ugaidi na kutaka kumdhuru sabaya na vongozi wengine ambao hawana majinaNdugai alimkatalia wazi wazi kutomlipa hela za matibabu alimkatalia kwa misingi gani na wakati huo huo anaona Watanzania wanajichangisha mia mia atibiwe nani alihoji kuhusu hili...
Wajukuu zetu wanaendeleaje? Nadhani umefika muda muafaka wa kufuata nyayo za Bibi Titi Mohammed....Sasa afanye nini zaidi, hiyo turufu nyingine ili aulizwe kama ulivyouliza wewe, aanze kubwabwaja "tunaonewa" "hakuna chaguzi huru" "tunanyimwa passport tusirudi". Ni chambo tu cha kijinga kakiweka.
Pesa yenyewe laki 6. Haitoshi hata kugharamia birthday ya binti yangu.Na wakati huo ni haki ya kikatiba mbunge kutibiwa.....toka amemiminiwa risasi hakuna mtu amewai kamatwa kwa kosa hilo ila mbowe amekamatwa na yuko magereza nusu mwaka sasa eti alituma pesa kufadhili ugaidi na kutaka kumdhuru sabaya na vongozi wengine ambao hawana majina