Passport ya Tundu Lissu iliibwaje akiwa Ujerumani?

Sijaelewa kabisa!

Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.

Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?

Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe suala la Rais kumsaidia yeye aipate tena passport yake?

Kwani hakuna taratibu za kufuata pale passport yako inapoibwa au inapopotea mpaka yeye amtumie Rais kuipata mpya?

Kwa kweli kwenye hili sijamuelewa!
Hila ni kitu kibaya sana,
tabia ya hila ndio tabia kuu ya walozi, wanga na wachawi...... wanafanya uharibifu kwa jambo hata hawana manufaa nalo.
maamini wahusika kwenye hili la kuiba ni wale watu wenye hila.
 
Sijaelewa kabisa!

Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.

Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?

Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe suala la Rais kumsaidia yeye aipate tena passport yake?

Kwani hakuna taratibu za kufuata pale passport yako inapoibwa au inapopotea mpaka yeye amtumie Rais kuipata mpya?

Kwa kweli kwenye hili sijamuelewa!
Labda swali la kujiuliza je Lissu aliondoka kwa kufuata taratibu za uhamiaji? Na kama sivyo basi inaweza ikawa ngumu kupata passport nyingine kwa njia za kawaida.
 
Tatizo la huu mjadala, wanaojadili hawapo level moja ya uelewa. Mmoja yupo division one, wengine division four. Mtoa mada alitarajia tofauti na kinachotokea.
 
Passport iko bond sababu alishindwa kudeliver kile alichotakiwa baada ya kuaminisha hao jamaa kuwa linawezekana, na hawezi ends toa taarifa polisi ya kupotelewa na kitu huko alipo sababu n mkimbizi na kila anapokwenda/kufanya wenye nchi yao wanajua anachofanya na kukaa kule Mambo imekuwa mbaya sana kaona Bora aje bongo.

Pili mkimbizi hana haja ya passport Bali n kufuata utaratibu kwa anaye muhifadhi
 
Jamaa amepagawa, mwanzo alisema anarudi TZ mwezi wa 3 sijui wa 5, leo anaomba Rais amhakikishie usalama wake ili arudi. Badala ya kuzungumza na Rais mambo ya msingi kama anavyoropoka akiwa huko kwa space amefyata anaomba vitu vya kitoto mno.
[/Q
TL anaweza kuwa ni agent wa ccm,hakuna ajuae kesho anaweza kuuunga mkononjuhudi kuuunga kuhusu za SSH
 
Kwenye hili Lissu kaibiwa au kapoteza kwa uzembe wake na anapaswa kuwajibika kwa uzembe wake huu!
Passport ni kama kitambulisho kinapaswa kutunzws kwa umakini mkubwa na anayepoteza hati ya kusafiria huchukuliwa kama mtu mzembe na asiyejali!
Lissu kwenye hili ameonesha udhaifu mkubwa sana kushindwa kutunza kitu muhimu kama hiki labda itaonekana sio mzembe kama ana ushahidi alivamiwa na kuibiww hiyo hati!

Pengine Sukuma gang wa ujeremani wamemuibia
Mambo ni.mengi ujue huenda watesi wapepola hiyo document
 
Shida ya watz hatupendi kuumiza akili hata kidogo. Anapomwambia raisi maana yake upotevu waweza kuwa sio wa kawaida. Sasa sio kila kitu kinasemwa pengine alikuwa anaripoti kitu kiaina.
 
Wacha porojo wewee, achana na mimi. Soma na jibu hoja.

Achana kabisa na mtoa hoja, humjui hakujui.
Hoja gani uliyoiandika na ikaleta maana isipokuwa kejeli na chuki ulizozidhihirisha kwa Lissu. Na wewe uachane na waliokuwa huwajui wala hawakujui.

Mafiosa.
 
Kwani amesema ameibiwa mwezi uliopita? Labda aliibiwa kipindi jiwe yupo hai? Maana ameondoka nchini punde baada ya uchaguzi
Shida unachangia mambo usiyoyajua, unakurupuka.

Amesema amepoteza mwezi mmoja uliopita.

Utueleze sasa kama Jiwe alikuwepo mwezi uliopita.
 
Utaratibu unajulikana kabisa.
Tatizo mnajitoa ufahamu, Kama alitembelewa na balozi Sokoine na kilichomkuta Sokoine mnakijua! Ni ofisa gani wa ubalozi atakuwa na guts za kuwezesha huyu bwana kupata passport!? Pia uondokaji wake hapa nchini hakuwa na normal procedure
 
Duh! Kumbe alishajilipua. Lissu, alidhamilia kweli kubaki huko. Hivi, amemuonyesha Mama "lost report" ya polisi?
====
Swali lililo kwenye heading ya uzi huu lijibiwe.
Amejilipua ndio angesema hadharani tena kwenye nchi ya yenyewe
Hebu punguzeni uzwazwa
Mtu kuibiwa ni kawaida sana
Mange alimuomba Rais huyhuyu passport yake na amepewa why not Lissu
Mna roho mbaya na miserable life
Unamuombeaje mtu mabaya
Lissu ni Mtz ana haki zote
Iambie roho yako isiwazie mabaya utabarikiwa
 
Passport kitu bhana watu wanapoteza hela ndio maana kuna balozi kwenye hizo Nchi cha kwanza ukifika ni kutoa taarifa ili ukipata matatizo yeyote inakua rahisi wao sehemu ya kuanzia kwa wasafiri kupoteza passport ishu ya kawaida tuu unaongea kama vile upo kwa Mpalange wakati unajinasibu upo Nje.
ni vigumu sana kama huendi deep ukamwelewa lissu.amemwomba rais kwa sababu huenda alienda ubalozini na alinyimwa kwa sababu za kisiasa.
 
Sijaelewa kabisa!

Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.

Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?

Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe suala la Rais kumsaidia yeye aipate tena passport yake?

Kwani hakuna taratibu za kufuata pale passport yako inapoibwa au inapopotea mpaka yeye amtumie Rais kuipata mpya?

Kwa kweli kwenye hili sijamuelewa!
My friend Monkey kama ulivyopenda hilo jina je unajua amepitia mangapi katika kuipata hiyo passport yake usiwe kama ......Je wewe imekukera nini kama mwananchi wa kawaida je wewe unajilinganisha na Lisu?
 
Ndugai alimkatalia wazi wazi kutomlipa hela za matibabu alimkatalia kwa misingi gani na wakati huo huo anaona Watanzania wanajichangisha mia mia atibiwe nani alihoji kuhusu hili...
Na wakati huo ni haki ya kikatiba mbunge kutibiwa.....toka amemiminiwa risasi hakuna mtu amewai kamatwa kwa kosa hilo ila mbowe amekamatwa na yuko magereza nusu mwaka sasa eti alituma pesa kufadhili ugaidi na kutaka kumdhuru sabaya na vongozi wengine ambao hawana majina
 
Sasa afanye nini zaidi, hiyo turufu nyingine ili aulizwe kama ulivyouliza wewe, aanze kubwabwaja "tunaonewa" "hakuna chaguzi huru" "tunanyimwa passport tusirudi". Ni chambo tu cha kijinga kakiweka.
Wajukuu zetu wanaendeleaje? Nadhani umefika muda muafaka wa kufuata nyayo za Bibi Titi Mohammed....

Kupwaya hakuepukiki. Umri haudanganyi

Tumwacheni Samia avipiganie vita vyake....
 
Na wakati huo ni haki ya kikatiba mbunge kutibiwa.....toka amemiminiwa risasi hakuna mtu amewai kamatwa kwa kosa hilo ila mbowe amekamatwa na yuko magereza nusu mwaka sasa eti alituma pesa kufadhili ugaidi na kutaka kumdhuru sabaya na vongozi wengine ambao hawana majina
Pesa yenyewe laki 6. Haitoshi hata kugharamia birthday ya binti yangu.

Mijamaa mipumbavu haijui hata gharama za ugaidi... mashetani wahed.
 
Back
Top Bottom