HOMBOY
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 1,431
- 925
kuwa mwanachama wa kile kichama chetu pendwa. wacha waisome nambaeeeeeeeeeee ........... mbele kwa mbeleeeeeeeeeeeeeeeLabda tuanzie kwako, unadhani ningekuwepo kwa vigezo gani?!.
Paskali
kuwa mwanachama wa kile kichama chetu pendwa. wacha waisome nambaeeeeeeeeeee ........... mbele kwa mbeleeeeeeeeeeeeeeeLabda tuanzie kwako, unadhani ningekuwepo kwa vigezo gani?!.
Paskali
Tuelimishane kodogo, aliyefuta uchaguzi ni CCM au ni Jecha kupitia ZEC, unamaanisha ZEC ndio CCM Zanzibar?!, na NEC itakuwa ndio CCM Bara?!.Ivi uyu pascal mayala kama kweli anajua hayo kwa nn kwanza asiwambie CCM ya upande wa zanzibar?ilikuwa wajaze fomu walalamike sio kufuta uchaguzi.P.M usiwe na akili uchwara kaka
Tuelimishane kodogo, aliyefuta uchaguzi ni CCM au ni Jecha kupitia ZEC, unamaanisha ZEC ndio CCM Zanzibar?!, na NEC itakuwa ndio CCM Bara?!.
Paskali
haswaaaaaa wameva2 ngozi ya mwanakondooTuelimishane kodogo, aliyefuta uchaguzi ni CCM au ni Jecha kupitia ZEC, unamaanisha ZEC ndio CCM Zanzibar?!, na NEC itakuwa ndio CCM Bara?!.
Paskali
Kwa bahati nzuri au mbaya, mimi sio mwanachama wa CCM, au wa chama kingine chochote cha siasa!.kuwa mwanachama wa kile kichama chetu pendwa
Kwa vile Jecha ameteuliwa na Rais wa CCM, hivyo ZEC ndio CCM kule Zanzibar, na huku bara NEC ni CCM bara?!.Ina maana hujui au unajifanya hujui? Tuanze na nani alimteua Jecha kwanza...
poa giza linaingia ngoja nikaingize kuku nta back soonKwa bahati nzuri au mbaya, mimi sio mwanachama wa CCM, au wa chama kingine chochote cha siasa!.
By nature ya kazi yangu, moja ya miiko na misingi mikuu ya maadili ya uandishi wa habari kwetu sisi waandishi wa habari ni vitu vitatu, truthfulness, objectivity na impartiality, hivyo hatupaswi kuwa wanachama wa chama chochote, kutaingilia objectivity na impartiality hivyo mimi niko very truthfully, very objective na total impartial.
Mara ya mwisho kuajiriwa na kutumwa ni mwaka 2002 nilipokuwa TBC!, baada ya hapo nimeachana kabisa na kazi zozote za kitumwa na kutumwa, bila kujalisha unatumwa na nani!.
Paskali
Mkuu ni aibu kila siku kushadidia ya jana. Lazima ifike wakati masuala ya nani alikosa na nani alishinda tuachane nayo, after all katika kutafuta ushindi kuna mbinu nyingi ukishindwa hizo mbinu kubali umeshindwa. Je, Wamarekani wakati ule si walilalamika lakini wakaendelea na ujenzi wa nchi yao? Hivi mikutano ya hadhara ikiendelea tutapata wapi nafasi ya kufanya kazi? Aliyekosa 2015 asubiri 2020 ila asimbane aliyeshinda ili ikifika 2020 aonekane hajafanya lolote. Nchi gani iliongozwa kwa maandamano jamani, kama ni vikao vya ndani nani kazuia mbona CUF wanafanya, Chadema walichagua Katibu Mkuu n.k. Tumechoka sasa
Mkuu wa Uchakachuaji na kamati za Ufundi January ndiyo aliyegeuza matokeo na kuwa yalivyo sasa , kinyume na Hapo Leo hii ccm ingekuwa chama cha upinzani Kama KANU ya Kenya .
Kabisaaaa mzuriweyeHaya weee, uamuzi ni wako.
Kila taifa lina mazuri na mabaya lazima za mbayuwayu tia na zako (ref JK). Tunaiga mazuri mabaya tunayaacha. Hivi nikuulize mkuu hata tukiiga ya Dallas, hapa kwetu ni wazungu wangapi wapo Polisi Tanzania? ili watuue weusiunataka tuige mfano wa marekani sio? ..kwahiyo polisi wakiua raia wawili na raia waue polisi watano, kama vile Dallas, si ndio?
YULE mtangazaji mwenye makeke mengi kinapofika msimu wa sabasba Pascal Mayala ambaye pia ni mwenyekiti wa PPR(Press and Public Relations). pia ni mtangazaji wa kipindi cha PPR na sabasaba kinachorushwa TV mbalimbali ikiwemo TBC1.
Tarehe 9 july aliingia banda la tume ya uchaguzi Tanzania(NEC) na kufanya mahojiano na mkurugenzi wa uchaguzi (jina nimelishau) alipoona haitoshi akaenda kuwahoji viongozi wa vyama vingine vya siasa waliotembelea banda la tume hilo. nao waliiunga mkono NEC kwa kazi nzuri na uchaguzi ulikuwa huru na haki.
Kazi ilikuja namna Pascal mayalla alipokuwa akiongea baada ya kuhoji wadau, alisema wale wajumbe wa jamii forum waache kumpigia debe kiongozi wao aonekane ameshinda kumbe hajashinda. Wakubali matokeo yaliyotangazwa sio kila siku tunazungumzia uchaguzi.
Pia aliongezea kwa kusema, uchaguzi unafom ya kujaza kama hujaridhika na matokeo hasa kama hujajza hiyo fom ya madai inaonesha uchaguzi ulikuwa huru na haki....
I don't think this is fair na sidhani kama hapa ni mahala pake. What he doesand doesn't do with his body is none of our business. Hatumlipii bills zake na hatu someshi familia yake sasa why should care ???Huyu Paschal kwanza ana tuhuma za ushoga. Msomeni hapa......
Waraka wa Pili wa Pascal Mayalla.Maisha Binafsi.
Mkuu Simba Songea, kwanza asante kuangalia kipindi changu cha Saba Saba na PPR.
Pia ni kweli nilitembelea banda la Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kuzungumza na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Bw. Ramadhan Kailima, kisha nilizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu, Damian Lubuva.
Hoja zangu kuu zilikuwa 3. 1. Wizi wa Kura, 2. Uchakachuaji wa Matokeo, 3. Kukubali matokeo au kuyapinga!.
1. Wizi wa Kura.
Nlionyesha masanduku ya kura kuwa yako transparent. Kama kura hazijaanza kupigwa, masanduku yanakaguliwa na mawakala wa vyama, na hayaondoki hapo hadi zoezi la kuhesabu kura likamilike, hivyo hakuna namna yoyote ya ku temper na sanduku la kura bila kuonekana!. Ila hapa nikazungumzia unless kama kuna masanduku mengine yaliyajazwa kura zilizokwisha pigwa, yakafichwa chumbani, baada ya zoezi la kupiga kura, masanduku hayo yakaletwa kwa mazingaombwe, hivyo kura bandia kugeuzwa ni kura halali.
2. Uchakachuaji wa Matokeo.
Kwenye kila kituo kina mawakala wa vyama, wakati Tume ikitangaza matokeo ya kila jimbo, ilionyesha nakala halisi za matokeo hayo zilizosainiwa na mawakala wa vyama na kila chama kupatiwa nakala halisi, sasa kama kuna tofauti kati ya matokeo halisi ya vituoni na matokeo ya NEC, then vyama lalamishi wangeionyesha nakala zao ili umma ushuhudia uchakachuaji huo wa NEC wenye matokeo tofauti na matokeo halisi.
3. Kukubali Matokeo/Kupinga.
Kwenye hili nilisema, asiyekubali kushindwa sii mshindani. Uchaguzi ni zoezi linaloendeshwa kwa mujibu wa katiba unaozingatia sheria, taratibu na kanuni za nini cha kufanya litokeapo jambo lolote. Hapa nilijikita zaidi kwenye matokeo ya Zanzibar, Jecha alifuta matokeo yale bila kufuata, sheria, taratibu na kanuni. Lakini pia kuna sheria, taratibu na kanuni za kufuatwa, pale ambapo sheria, taratibu na kanuni zinapokiukwa. Sheria, taratibu na kanuni hizo ni pamoja na kujaza fomu ya kupinga matokeo, na kwenda mahakamani. Hakuna lolote kati ya haya lililofanyika. Kupinga matokeo hakufanywi kwa kuitisha press conferences na kulalamika, kunafanyika kwa kujaza fomu na kwenda mahakamani.
Nilimalizia kwa kutoa wito kwa wana jf, kuwa wengi tulikuwa na wagombea wetu, kama wagombea wetu, wemeshindwa kihalali kwenye uchaguzi huru na wa haki, then tukubali matokeo, tukubali uchaguzi umekwisha, na kutoa ushirikiano kwa aliyeshinda kihalali!.
Tusiendelee kushadadia yaliyopita, bali tugange yaliyopo na yajayo ya uchaguzi wa 2020!.
Asante.
Paskali.