Pascal Mayalla atoa dongo kwa UKAWA

Pascal Mayalla atoa dongo kwa UKAWA

It's very strange! Maendeleo ya namna gani ndugu? Hivi CDM wanataka kufanya maandamano ya kupinga urais kweli? Au mnajifurahisha tu, kwa hiyo UKAWA wanavyobanwa bungeni hawaruhusiwi wala hoja zao zozote hazisikilizwi huku vitendo vya kejeli na hata matusi vyenye hatari kwa afya ya amani ya bunge/nchi vikishamiri na kupaliliwa na naibu spika.
Wafanye maendeleo kwa jinsi gani ndani ya ubaguzi wa wazi bungeni, hata watanzania tumenyimwa uhuru wa kufuatilia bunge liv!, na nina hakika 100% kuwa sio kwamba eti mnaipenda sana na kuamini serikali inavyoendeshwa zaidi ya kujali vyeo na malupulupu mnayopata kutoka serikali ya ccm
hatutaki kuwaona bungeni kuanzia leo waziii!!!!
 
Mkuu Ruga, mimi sio NEC kukutajia namber za form, ile pale kwenye banda lao, nimeonyeshwa fomu zote tatu za malalamiko ya udiwani, ubunge na urais na hakuna yeyote aliyejaza fomu kulalamika!.

Kwa lengo la kusaidiana kuelimishana, karibu pande hizi
Tume ya Taifa ya Uchaguzi: Mwanzo

Paskali

Thanks Pascal, unfortunately the NEC website is almost dead as can`t trace back the referred forms and URT presidential results constituent by constituent.
Hata hivyo why they invaded and seized the counting equipment of opposition parties of which could be the bases of said complains????????
Tukubali we still have a long way to go to make things right like to protest through courts of laws NEC presidential candidate results and independent candidates including Tanzanians leaving abroad voting rights.
Ni katiba iliyopo ndio iliyosema matokeo ya urais hayatahojiwa popote baada ya kutangazwa!, sio NEC waliosema hivyo bali ni katiba!. Hata hoja kama rais wa JMT hatalipa kodi yoyote sio rais ni katiba!, au rais hatashitakiwa mahakamani ni katiba na sio rais!. Hata hivyo kwenye katiba pendekezwa, matokeo ya urais, yanahojiwa mahakamani.

Nimeelewa kwa nini baadhi ya wa TZ siyo analytical and for this trend it will be very difficult to develop this country.


Issue ya Zanzibar, waachie wenyewe!, sheria, taratibu na kanuni zipo, kama hazikufuatwa kuna taratibu za kupinga zipo, kama aliyoyafanya Jecha ni kinyume cha sheria, taratibu na kanuni, jee nani alilalamika rasmi?!, au kule kwenda hotelini kufanya press conference ndio kulalamika kwenyewe?!. Nani aliipinga rasmi ile haramu ya Jecha?!. Haramu iliachwa bila kukanushwa, inageuka halali!. Hivyo uchaguzi wa marudio ni halali!.

Paskali
 
Back
Top Bottom