Kaandika kiswanglishi.Aaaagh umenichekesha sana kwa kuandika hivyo...yaani kabisa umeandika nini hypo.... Duh!!!!
Ndio unaniambia hivyo mimi mwananchi nisie na chama, kweli maajabu ya upinzani hayaishi.
Kaandika kiswanglishi.Aaaagh umenichekesha sana kwa kuandika hivyo...yaani kabisa umeandika nini hypo.... Duh!!!!
Ndio unaniambia hivyo mimi mwananchi nisie na chama, kweli maajabu ya upinzani hayaishi.
tunataka maendeleo sio maandamano, mnyika miaka 5 anaandamana kila mara badala ya kuleta maendeleo kutahamaki uchaguzi huu na jimboni hakuna alichofanya akaamua kuhama jimbo
Mkuu Ruga, uchaguzi ni process na una stages mbalimbali, kukitokea hitilafu zozote, au irregularities kuna fomu maalum ya kujaza kuripoti mapungufu hayo, bila kujalisha ni uchaguzi wa rais, mbunge au diwani!. Jee kuna complant yoyote iliyowasilishwa rasmi, ili kujenga basis ya kutoyatambua matokeo?!.Huyo Mayala naye kama kiazi fulani hivi au kasahau tu. Hajui kuwa katika nchi hii matokeo ya uchaguzi wa urais hayahojiwi mahala popote pale katika JMT au watu wa NEC walisahau kumwambia hilo!!!!!!!!!!.
Nahisi hukumuelewa. Kwa kifupi mambo ya uchaguzi yamekwisha tuendelee kujenga nchi yetu!Mmmmmmm
Sasa unaandika mengine hata sijaongelea na ninaongelea sasa na baadae muweje ubishi mwingi na mie kama mwananchi nasema mnaniboa na hamnivutiiiii...hadi nimeshindwa kusoma yote uliyoandika...hadi kama nitapata muda sijui lini.
Mkuu Ruga, uchaguzi ni process na una stages mbalimbali, kukitokea hitilafu zozote, au irregularities kuna fomu maalum ya kujaza kuripoti mapungufu hayo, bila kujalisha ni uchaguzi wa rais, mbunge au diwani!. Jee kuna complant yoyote iliyowasilishwa rasmi, ili kujenga basis ya kutoyatambua matokeo?!.
Matokeo ya urais yakiishatangazwa asmi ndipo hayapingwi popote, lakini kama kuna mapungufu yoyote genuine, na taratibu za kuripoti mapungufu hayo, matokeo hayatatangazwa mpaka hoja zijibiwe!.
Tufike mahali tukubali, mgombea wetu alishindwa kihalali bila bao lolote la mkono!, uchaguzi umeisha sasa tu focus on 2020!.
Paskali
Mkuu Ruga, uchaguzi ni process na una stages mbalimbali, kukitokea hitilafu zozote, au irregularities kuna fomu maalum ya kujaza kuripoti mapungufu hayo, bila kujalisha ni uchaguzi wa rais, mbunge au diwani!. Jee kuna complant yoyote iliyowasilishwa rasmi, ili kujenga basis ya kutoyatambua matokeo?!.
Matokeo ya urais yakiishatangazwa asmi ndipo hayapingwi popote, lakini kama kuna mapungufu yoyote genuine, na taratibu za kuripoti mapungufu hayo, matokeo hayatatangazwa mpaka hoja zijibiwe!.
Tufike mahali tukubali, mgombea wetu alishindwa kihalali bila bao lolote la mkono!, uchaguzi umeisha sasa tu focus on 2020!.
Paskali
Mkuu sikusema wajumbe wa jf, jf haina wajumbe!, nimesema baadhi ya members wa jf, wanaoshupalia mgombea wao kashinda ila kapigwa bao la mkono.
Uchaguzi wa 2015, kura za urais zimehesabiwa vituoni!, hivyo hao mawakala wao, wanazo fomu halisi za matokeo ya kweli walizosaini baada ya kuhesabu kura, na matokeo hayo ndio yaliyobandikwa kwenye vituo vya kupigia kura, na kutumwa NEC. Kama kuna wizi umefanyika, tallying yao ingeonyesha tofauti na tallying ya NEC!, nimeauliza walete fomu za motokeo za mawakala wao, tulinganishe!, kimya!, kazi kulalamika!.
Kwanza mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, na kampuni yangu inapokea tenda za matangazo, toka taasisi yoyote ya umma na binafsi, ambapo jukumu langu kuu ni to tell nothing but the truth.
Thanks.
Paskali
Pamoja na juhudi zangu zote za kuitetea CCM, kuipigia kampeni kutwa kucha, lakini sikufaniwa kukumbukwa, sasa nasubiria post za kwenye chama!.mayala vipi ukuu wa wilaya umekosa?
wewe wasemaAnataka cheo serikalini huyo!
Mkuu Ruga, mimi sio NEC kukutajia namber za form, ile pale kwenye banda lao, nimeonyeshwa fomu zote tatu za malalamiko ya udiwani, ubunge na urais na hakuna yeyote aliyejaza fomu kulalamika!.Naomba uniwekee ni fomu namba ngapi ya NEC inayo jazwa kulalamikia matokeo au mwenendo wa uchaguzi wa urais. Kupeana elimu ndiyo faida kubwa ya jamvi hili.
kwa kuwa huji nami sitokuambiaSasa ukishajaza form nn kinafuata?
Ndio nani huyo Mayalla?[/Qungesema pascal mayalla ningekuelezea ila umesema mayalla cmjui maana wapo wengi
Ni katiba iliyopo ndio iliyosema matokeo ya urais hayatahojiwa popote baada ya kutangazwa!, sio NEC waliosema hivyo bali ni katiba!. Hata hoja kama rais wa JMT hatalipa kodi yoyote sio rais ni katiba!, au rais hatashitakiwa mahakamani ni katiba na sio rais!. Hata hivyo kwenye katiba pendekezwa, matokeo ya urais, yanahojiwa mahakamani.Hivi Hon. Mayalla kama mwandishi nguli ulijaribu kuhoji NEC ni kwa nini ni mwiko kabisa kuhoji matokeo ya uchaguzi wa rais katika nchi hii, au kwa nini wao wakisema hata kama takwimu si sahihi hakuna kuoji, na kwa nini matokeo mengine yahojiwe ispokuwa ya urais tu?????
Ref Zanzibar where only one man determined the election fate as there was no even ZEC meeting to determine the level of fraud leading to nullification of entire process. Ukifika hapo jiulize what kind of process you are referring to??????????
ukawa hao ndo mapovu yanawatoka kwenye uzi huuMwendokasi wa thread hii unaweza kuwa umevuka kiwango cha division 4.30km/saa.
dah mkuu umemjibu vizuri sana...asipoelewa hapo aende Dodoma kuzuia mkutano wa ccmNi katiba iliyopo ndio iliyosema matokeo ya urais hayatahojiwa popote baada ya kutangazwa!, sio NEC waliosema hivyo bali ni katiba!. Hata hoja kama rais wa JMT hatalipa kodi yoyote sio rais ni katiba!, au rais hatashitakiwa mahakamani ni katiba na sio rais!. Hata hivyo kwenye katiba pendekezwa, matokeo ya urais, yanahojiwa mahakamani.
Issue ya Zanzibar, waachie wenyewe!, sheria, taratibu na kanuni zipo, kama hazikufuatwa kuna taratibu za kupinga zipo, kama aliyoyafanya Jecha ni kinyume cha sheria, taratibu na kanuni, jee nani alilalamika rasmi?!, au kule kwenda hotelini kufanya press conference ndio kulalamika kwenyewe?!. Nani aliipinga rasmi ile haramu ya Jecha?!. Haramu iliachwa bila kukanushwa, inageuka halali!. Hivyo uchaguzi wa marudio ni halali!.
Paskali
wewe mmojawapoPasco hana tofauti na waganga njaa wengine wa lumumba
Duh! Masikini Tanzania!Haramu iliachwa bila kukanushwa, inageuka halali!. Hivyo uchaguzi wa marudio ni halali!.
Paskali
Sawawewe mmojawapo
nafikiri hujaelewa maana ya biashara, wakati mwingine sio kila penye biashara lazima nawe ufanye biashara. Nafikiri NEC walienda sabasaba baada ya kuona uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa na malalamiko mengi, so wakaona sehemu pekee ya kuelezea wanaolalamika ni sabasaba maana pana umati mkubwa wa watu..lakin mbona hujashangaa kuliona jeshi la polisi(PT)sabasaba achana na uwepo wa jkt maana wanakampuni ya uzalishaji mali suma jkt watajitetea kuhusu hilo?He he heeeeeeee! Sijacheka kitambo, anyway sukari imeanza kupatikana acha nicheke tena.
Nijuavyo mimi, SABA SABA ni INTERNATIONAL TRADE FAIR...haya NEC nao wana biashara ipi?
Mwaka huu hadi makaburi yatapigiwa promo. Ndio maana Mzee alikabidhi 12bn faida ya mwaka wa fedha uliopita.