- Thread starter
- #161
Madem zenu wooote wangu,maadam skuiyo katiba itakua wallet tutajua tu nani mchambuzi mzuri.Sasa michepuko itakuwa vipi? maana kunawaliochepuka na MMU unnumbered. hahahaaa......Nani acheze na yupi?
Madem zenu wooote wangu,maadam skuiyo katiba itakua wallet tutajua tu nani mchambuzi mzuri.Sasa michepuko itakuwa vipi? maana kunawaliochepuka na MMU unnumbered. hahahaaa......Nani acheze na yupi?
kwa hiyo kwa level yako niisake kama elfu kumi na ngapi ya kula bata?.
NB: mimi ni kuli wa kkoo shimoni.pesa yangu naipata kwa kubeba magunia ya vyakula.
Ha ha haa kama kawaida yako, unakimbiza mbaya kulee mwana wane
weweee usikariri,hii ID tuu.Naona mjadala huu umempoteza kabisa muanzisha mada hii, mkuu michepuko. Kajiunga mwezi jana akadhani analeta kitu kipya, badala yake kapokea madongo mawili matatu, kisha akaona watu wanaendelea kujadili wenyewe bila kumuhusisha, amechokaje! Sidhani kama atarudi tena hapa!
Heeee....
Elfu kumi na ngapi!!!!!!
Kwani mie mwanafunzi wa Makongo?
Anza kutafuta kuanzia laki 3 na kuendelea kwa bata ya Siku Moja.
Mie siangalii kazi yako, si unajua ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni.
Tafuta pesa, ukipata njoo pm
nami nitakuja, this time nitakuwa na king'asti karucee kongosho kaunga mwali charminglady dena amsi snowhite fixed point lara 1 ladyfurahia smile preta na kokutona.
Mswati hoyee!
...thanx my dearest, you are the best too!!
itakua mangi wewe si bure.
I love you
I love you
Wewe umejiunga lini? Wenzio washafanya party zaidi ya mara mbili..na ingine inakuja jun
kajiunga tarehe 22 april 2014Wewe umejiunga lini? Wenzio washafanya party zaidi ya mara mbili..na ingine inakuja jun
Mi mwenyewe nimeambiwa na charminglady kaniambia ni June ila kama wataweka december basi itakua bomba sana masai dada
Upo mdogo wangu King'asti?
rafiki huyu ananivunjaga mbavu sana na swaga zake, kama pacha wangu vile..........