Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
uhakika ninao,yote yanawezeana si mpaka kubeba box ndo uweze kuandaa part serena.
Hiyo "Part" utaenda peke yako, mie na Faiza tutahudhuria "party"
uhakika ninao,yote yanawezeana si mpaka kubeba box ndo uweze kuandaa part serena.
...♬Wacha nisake ugali nisake doo mambo yawe right,Mambo mengine Baadae♪... by Nyandu tozi Featuring Bue.
hahahahah. Afu kipindi anapewa ban nilikuwa sipo for almost a week so sijui alipewa kisa nini.
Kuhusu JF parties I shall need divine intervention to attend.
How are you?
I will designate a remote doppelganger to livestream the whole shebang in that soiree for e-shindig.
So dress in your best to impress the rest, like Michuzi flashes will be there for the press.
oohhh! huyo hatutamruhusu kuingia hapo hata kwa sekunde 2, kuna team bazazi ile yaani kwao hakuna kinachoshindikana. Twakapenda kabinti ketu, hatuwezi kuka-expose kwa mabazazi....
cc, mabazazi wote wa jf
what are your motives? kwa sababu ni chini ya mwezi tangu ujiune na JF kulingana na profile yako. Ni vizuri ku study behaviour za watu wa humu ndipo upendekeze hili au pengine ulijiunga zamani na umekuja na ID mpyaHabari wakuu?Nimekaa na kuwaza kwamba jf ni kilinge kikubwa chenye watu wa aina mbalimbali ambao tunashare ideas tofauti tofauti hivyo basi sioni kama ni vibaya kama tungeandaa part ya members wote wa jf wanaopatikana dar es salaam.
Uongozi pamoja na members mnaonaje juu ya idea hii kwa ufupi tu?
Naomba kuwasilisha.
Sa hivi ni saa ngapi eti?
kwani lazima iwe june wapendwa si mpaka arrangement zifanyike au ndo huwa iko hivyo
kwani lazima iwe june wapendwa si mpaka arrangement zifanyike au ndo huwa iko hivyo
hahah yaap
ila kuna watu lazima niwatafute niwaone sitarudi bila kuwaona nitatumia magazijuto
Shikamooo mzee.
İkiziba usije ukanilaumu.