Party ya wana JamiiForums waishio Dar es Salaam

Party ya wana JamiiForums waishio Dar es Salaam

Hapo labda mtaambulia kuchambua nywele tu ambazo nazo hazipo! Hayo mengine yatategemea na dress code. Viatu labda nitatinga loafers za Maison Martin Margiela. Shati...hmm....hapo ni toss up kati ya 7 Diamonds, Michael Kors au Burberry Brit Classic Fit Pique Polo. Cologne sitapaka Amouage maana kipindi kile niliitaja tu ikaleta kizungumkuti. Nitapaka He Wood Rocky Mountain by DSquared.

Pecs, biceps, triceps, traps, forearms, quads, na lats zote ziko on point. Nikitinga short sleeve ndo utafaidi haswa kuiona anatomy chart in the flesh.:smile-big:

Khaaa yaani nishindwe kuzungusha raundi za Heineken? Forget Heineken....nitazungusha raundi za Courvoisier, Patron, Grey Goose, Moscato, Rozay, au Pinot Grigio.....that is kama zipo lakini. Hapana chezea pesa za boksi bana teh teh teh....

Hahahaaaa sidhani kama nina lafudhi ya Kisukuma ingawa nakijua vizuri kabisa. Vipi nikianza kudondosha yoo yooo worraap ma nigga?

Lile ni la Helmut Lang.....ushawahi msikia huyo?

Oh yeah...2014 Infiniti Q50.

Saa ni David Yurman's Revolution 43.5MM Chronograph. Ushawahi msikia huyo?

It might be hella fun. Huwezi jua....uwepo wangu unaweza ukavutia kuwepo watu zaidi....hahahaaaa rais wa wabeba maboksi ndani ya nyumba na kila mtu anataka kumtupia jicho huyu rais. Sipati picha.

Crocs na dera tena?

Labda dizaini hii ndo itafaa

Coral-and-Coral-Kadee-_11215_6AT_IS.jpg
Upo mdogo wangu King'asti?
rafiki huyu ananivunjaga mbavu sana na swaga zake, kama pacha wangu vile..........
 
Last edited by a moderator:
Upo mdogo wangu King'asti?
rafiki huyu ananivunjaga mbavu sana na swaga zake, kama pacha wangu vile..........

Daah halafu nimesahau kuuliza kama hiyo sehemu itakapofanyikia hiyo party wana valet service maana staki kupaki mchuma wangu popote pale.

Na kama hiyo party itaanza mapema basi nitamleta na Kisura wangu aje akae walau masaa mawili hivi.

Ayaaa bado kidogo nisahau stunna shades. Mi na Kisura tutavaa sare sare maua - designer Montblanc----design Valparaiso.

8d9ea83aa54c4081b55678dfc26fa0d2.ashx
 
hahahhaah hupati photo hahaahaah hapo ni english ngum plus kimasai

today is my bday mama

Hamna. Ana Kiswahili safi tu mtaelewana when all else fails. Plus huwa hachoki kufundisha.

bday.jpg
 
Daah halafu nimesahau kuuliza kama hiyo sehemu itakapofanyikia hiyo party wana valet service maana staki kupaki mchuma wangu popote pale.

Na kama hiyo party itaanza mapema basi nitamleta na Kisura wangu aje akae walau masaa mawili hivi.

Ayaaa bado kidogo nisahau stunna shades. Mi na Kisura tutavaa sare sare maua - designer Montblanc----design Valparaiso.

8d9ea83aa54c4081b55678dfc26fa0d2.ashx
ha haaa, basi nikiongeaga hivi watu wanaonaga najidaaaiiiiiiiii....... kumbe mwenzao nafurahia maisha, lol!
keep it up rafiki, ndo maisha haya, tunayaishi.........
Kisura aje amekamilika, otherwise atatoka mbio........ visura wa jf siyo muchezo
 
Oh siyo kisura unayemfikiria wewe lakini. Kisura wangu huyu ana miaka 12. Ni kabinti kangu hako:smile-big:.
 
Oh siyo kisura unayemfikiria wewe lakini. Kisura wangu huyu ana miaka 12. Ni kabinti kangu hako:smile-big:.
oohhh! huyo hatutamruhusu kuingia hapo hata kwa sekunde 2, kuna team bazazi ile yaani kwao hakuna kinachoshindikana. Twakapenda kabinti ketu, hatuwezi kuka-expose kwa mabazazi....
cc, mabazazi wote wa jf
 
...♬Wacha nisake ugali nisake doo mambo yawe right,Mambo mengine Baadae♪... by Nyandu tozi Featuring Bue.
 
Back
Top Bottom