ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,743
- 131,482
Shkamoo.
deservedly marhabaaa!!
Shkamoo.
Mume wala usikonde , you are the only and only one, best of the best...no one will take your place in my neart.
I love yuuuuu
Umezipenda hizo crocs za pink?
nimezipenda, asante.
uniambie unaniletea lini manake nataka ku-exchange na small cute stud earrings, za silver adorned with tanzanite for your princess.
I will designate a remote doppelganger to livestream the whole shebang in that soiree for e-shindig.
So dress in your best to impress the rest, like Michuzi flashes will be there for the press.
A week from today!
Makutano yawe Mary Brown ya Masaki.
Never mind, wewe jichanganye tu kwenye thread kama wenzako.:A S kiss:
Usijali love.🙂
Kuna wengine itabidi wavae tshirts zaidi ya moja.
mbona povu linakutoka,kwa taarifa tu naweza kudhamini part nzima alone,sehemu yoyote ndani ya jiji hili.
kukariri kitu ganiwe endelea kukariri tu.
Amouage ilileta vurugu gani?Hapo labda mtaambulia kuchambua nywele tu ambazo nazo hazipo! Hayo mengine yatategemea na dress code. Viatu labda nitatinga loafers za Maison Martin Margiela. Shati...hmm....hapo ni toss up kati ya 7 Diamonds, Michael Kors au Burberry Brit Classic Fit Pique Polo. Cologne sitapaka Amouage maana kipindi kile niliitaja tu ikaleta kizungumkuti. Nitapaka He Wood Rocky Mountain by DSquared.
Pecs, biceps, triceps, traps, forearms, quads, na lats zote ziko on point. Nikitinga short sleeve ndo utafaidi haswa kuiona anatomy chart in the flesh.:smile-big:
Khaaa yaani nishindwe kuzungusha raundi za Heineken? Forget Heineken....nitazungusha raundi za Courvoisier, Patron, Grey Goose, Moscato, Rozay, au Pinot Grigio.....that is kama zipo lakini. Hapana chezea pesa za boksi bana teh teh teh....
Hahahaaaa sidhani kama nina lafudhi ya Kisukuma ingawa nakijua vizuri kabisa. Vipi nikianza kudondosha yoo yooo worraap ma nigga?
Lile ni la Helmut Lang.....ushawahi msikia huyo?
Oh yeah...2014 Infiniti Q50.
Saa ni David Yurman's Revolution 43.5MM Chronograph. Ushawahi msikia huyo?
It might be hella fun. Huwezi jua....uwepo wangu unaweza ukavutia kuwepo watu zaidi....hahahaaaa rais wa wabeba maboksi ndani ya nyumba na kila mtu anataka kumtupia jicho huyu rais. Sipati picha.
Crocs na dera tena?
Labda dizaini hii ndo itafaa
![]()