Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,690
- 55,343
Mkimaliza Dar, mfanye mpango wa kuzunguka kila mkoa kufanya party walau ili tujumuike pamoja. Huko si ndio makao makuu?
Mambo ya "double entendre"
WAGOSI WA KAYA - BAO [Official Music Video]: WAGOSI WA KAYA - BAO [Official Music Video] - YouTube
So much for "toys", shauri yako.
Kama ndo vivo, nitakutafuta weekend ijayo.
Ila naogopa kukutafuta, maana mie nachuna vibaya
Still unaogopa them monkeys..!!! huh
jf bhana??............ unataka kuku unapewa yai ukaatamieKama party sawa ila part hiyo ngumu kidogo kupata wadau
Nipo nimejaa tele kule JLW
Jina lake ni hili hapa Tanqueray na siyo Tangeray.......chaukucha weeee,siku ya part ntafute ntakununulia chupa nzima ya Tangeray...
we endelea kukariri tu.what are your motives? kwa sababu ni chini ya mwezi tangu ujiune na JF kulingana na profile yako. Ni vizuri ku study behaviour za watu wa humu ndipo upendekeze hili au pengine ulijiunga zamani na umekuja na ID mpya
itakua mangi wewe si bure.naomba niwe mweka hazina nikusanye michango