Part 6: TISS Bado safari ngumu

Part 6: TISS Bado safari ngumu

Hujaona alisha sema.... birds of the same feather flock together" yaani yeye na state agent hahaaa
ohoo basi sawa!...nimekutahadharisha kwa sababu naamini wewe ni mtu muhimu jamvini ni vyema ukabaki na heshima yako..maana nimeshaona aliyeleta hii mada kashakumind kitendo ambacho sio kizuri ataachana na state agent atakuja kwako hasa ikizingatia pasco wa zamani sio wa sasa..atalinganisha thread zako za zamani hasa za kuponda ikiwemo na hiyo niliyokudokeza kuwa umemuita mheshimiwa akili zake hazipo sawa na ataweka na thread za sasa unazosifia mwishoni ataconclude kwa kukupa hata jina baya sana...thus why nkakushauri ukae pembeni waache waparangane wenyewe
 
Nimekimbilia kusoma uzi huu umekuja kuwa wa OVYO kuliko niko
Pg 42 out 89 naona nipasho tu.
Mashoga mnaingiaje humu au ndio haki sawa?
Fogofu...... hapa ujue babu anechukia askari wa muingereza
Fogofu,..,.........Fuckoff
 
Tayari nina deep information kuhusu wewe, ukizidi kuniandama nitakuweka uchi kabisa humu, kumbuka wewe ni mwili na mimi ni roho, yaani maisha yako yapo wazi ,uko wakati mimi nipo invisible ,Kama huamini jaribu nikufungue kazi.
I don't deal with petty personalities issues za kumuandama mtu yoyote humu, usitake kujitafutia maujiko kuwa eti unaandamwa, who the hell are you hadi useme nakuandama?, nikuendame kwa lipi?. Mimi huwa na deal na issues na sio na watu, and always niko very open and transparent, kama ni kweli una any deep info za kunihusu, be free to offload them wherever you wish as long as they are relevant to the public yetu ya jf.
P
 
Kuna mtu yupo naye halafu Pasco naye akiingia kwenye 18 zangu namvua nguo humu, nina hasira naye sana, naye Tayari siri zake ninazo
Very unfortunately mimi sinaga siri, niko very open and transparent. Usitafute pa kutokea kwa kupitia kutengeneza bifu na mimi, alishindwa yule kichaa utakuwa wewe?. Kama una lolote kunihusu, limwage tuu usitake kutisha watu humu.
P
 
Iweke hapahapa kapuku wewe muuza bar

Huna lolote wala hujui lolote kenge wewe

Nimesha kuchokonoa mpaka mataro hauna malinda kabisa umevaa pampas

Mimi sio size yako punga wewe

State agent
Nasubiri anichokonoe nimpe discipline, na mods wakiifuta hiyo mada ya kumwanika naihamishia Kenyan Forum
Screenshot_2019-11-06-02-41-20.jpeg
 
Kama uliwaigopa walevi wa rose garden mimi ndio nikimbie kabisa maana ni kifo kinachotembea usiombe unikute

Nimekuchukonoa hadi umelowa na uizaji bar na milungi hutaki tena
Nasubiri anichokonoe nimpe discipline, na mods wakiifuta hiyo mada ya kumwanika naihamishia Kenyan Forum
Screenshot_2019-11-06-01-32-58.jpeg
 
Nimekimbilia kusoma uzi huu umekuja kuwa wa OVYO kuliko niko
Pg 42 out 89 naona nipasho tu.
Mashoga mnaingiaje humu au ndio haki sawa?
Fogofu...... hapa ujue babu anechukia askari wa muingereza
Fogofu,..,.........Fuckoff
Mkuu tulishasema huko.nyuma, mada haina substance.
Hamna kichwa, mwili wala mkia.

Mtoa mada anaongea anafikiri wote ni form II wenziwe.
 
Nani alimtuma aniandike kwenye Uzi kimsingi hakukuwa na hoja kwenye Uzi huu zaidi ya kuniattack sema hakujua mimi sio wa kawaida vita ya mitandao nimeianza miaka 20 iliyopita yeye akiwa anachunga ng'ombe mwanza
[emoji86]uzi umekuwa Vita[emoji1787]
Screenshot_2019-11-06-10-11-33.jpeg
 
Kuna mtu yupo naye Karibu, anamvizia ampige picha kisha anirushie, halafu Pasco naye akiingia kwenye 18 zangu namvua nguo humu, nina hasira naye sana, naye Tayari siri zake ninazo

Maelezo yako yanajichanganya sana Mkuu. Unasema kuwa una Siri zake nyingi tu na unamjua ndani nje lakini hapo hapo tena unataka Watu wamvizie wampige Picha kisha wakurushie. Sina tatizo na Ugomvi wenu ila kama Wewe ni Mtumishi wa TISS basi watakuwa wamepata Kapi la uhakika. Ni Mtu uliyejawa na Ujivuni, Sifa na Kupenda kuonekana kana kwamba mambo mengi ya TISS au Mambo ya Kiusalama unayajua wakati huenda ukawa unaishia Kuhadithiwa tu na Matapeli wa Mjini na Wewe unakuja na Chambuzi zako za Pwagu na Pwaguzi hapa Mtandaoni. Kama uko TISS nadhani DG Diwani Athumani Msuya ana Kazi ya ziada hasa katika Kuwaibua Wana Usalama wenye Uweledi na siyo wa Kupayuka hovyo na Kujisifia hivi.
 
Huyu ni muuza bari pia anauza milungi na bangi pande za Kenya

Nilikuwa peke yangu kwenye gari narudi halafu anasema kuna mtu yupo karibu na mimi ananivizia anipige picha hahhaha anachekesha sana

Hata hizo hadithi za Australia hakuna lolote ni ujanja ujanja wa kipuuzi humu
Maelezo yako yanajichanganya sana Mkuu. Unasema kuwa una Siri zake nyingi tu na unamjua ndani nje lakini hapo hapo tena unataka Watu wamvizie wampige Picha kisha wakurushie. Sina tatizo na Ugomvi wenu ila kama Wewe ni Mtumishi wa TISS basi watakuwa wamepata Kapi la uhakika. Ni Mtu uliyejawa na Ujivuni, Sifa na Kupenda kuonekana kana kwamba mambo mengi ya TISS au Mambo ya Kiusalama unayajua wakati huenda ukawa unaishia Kuhadithiwa tu na Matapeli wa Mjini na Wewe unakuja na Chambuzi zako za Pwagu na Pwaguzi hapa Mtandaoni. Kama uko TISS nadhani DG Diwani Athumani Msuya ana Kazi ya ziada hasa katika Kuwaibua Wana Usalama wenye Uweledi na siyo wa Kupayuka hovyo na Kujisifia hivi.
State agent
Screenshot_2019-11-06-02-41-20.jpeg
Screenshot_2019-11-06-20-09-51.jpeg
Screenshot_2019-11-06-02-41-07.jpeg
 
Back
Top Bottom