Part 6: TISS Bado safari ngumu

Part 6: TISS Bado safari ngumu

Intelligence ya kuwapitisha bila kupingwa wagombea wote Wa ccm nchi nzima bila kupingwa!

Mkurugenzi mpya nafikiri ndie aliyeshauri upuuzi huu au ameunyamazia upuuzi huu ili kumfurahisha "mungu mtu mwenye serikali"!

Taifa haliwezi kuendelea kwa upumbavu huu!
Hili siyo tu kwamba litaturudisha nyuma bali litapanda chuki miongoni mwa wananchi na hii ni miongoni mwa nyufa aliokuwa akizungumzia Mwalimu.
 
Hatimaye yametimia, Part -1 ya mada hii nilizungumzia jinsi idara hii ya Usalama ilivyojaza vijana wengi wa UVCCM wasio na weledi wowote na masuala ya Intelligence, bali wako hapo kuhakikisha eti CCM inatawala milele na siyo Tanzania inasonga mbele.
Kwanza kabisa nataka ifahamike kuwa ,TISS ni taasisi ya kijasusi iliyoundwa kwa maslahi mapana zaidi ya Tanzania na siyo CCM, kwa hiyo kodi za watanzania zinatumika kwa ajili yake,na yoyote anaruhusiwa kukosoa na kushauri idara hii, Lakini hairuhusiwi kutoa siri za idara wala kukashifu.
Wiki iliyopita mtu anayejiita "state agent" na mwenzake YEHODAYA ,wamenitishia uhaini wangu eti nataka kufanya uhaini, kichekesho kweli, kumbe hata ushauri na kukosoa ni uhaini?
Kama idara ina recruit watu sampuli hiyo basi kazi ipo.
Kwanza mada zangu haziko kisiasa bali kizalendo, walichotaka wao ni mimi niungane nao kwenye praise team.
Tayari nimeshawajua kwa majina yao wote, hawa ni vijana wa UVCCM na makao yao ni Lumumba, na wala hawako kwenye list ya vijana wachache wa TISS waliopikwa wakapikika, YEHODAYA na state agent ni makada wa damu wa CCM.
Hawajui maana ya utaifa, wanachojua ni CCM tu.
Mwingine ana ID ngumu Kama mzizi wa kisomali eti naye akadai watanisubiri Gongo la mboto wanimalize.
Hawa ni wa kuonea huruma sana,hivi unaweza kuikamata roho,?
Mimi ni roho, sina mwili ,ningekuwa na mwili wangeweza kunipata, sasa roho wataitoa wapi?
Ni wachache wataelewa namaanisha nini.
Labda nishauri kidogo tu kwamba, wale waliosema kuwa hatuwezi kujilinganisha na Mossad, CIA, MI6 na mashirika mengineyo makubwa ya kijasusi walitaka tufanyeje ili tufike huko?
1961,China ilikuwa maskini Kama Tanzania, wakati ule mji mkuu wa China ukiitwa Peking, matela ya punda yalipita mitaani.
China ikaunda kikosi kazi cha kijasusi kilichopewa jukumu moja tu la kwenda kwenye mataifa yote yaliyoendelea ili kuiba Teknolojia na kuileta China.
Baada ya miaka 20 baadae wachina walikuwa Tayari wameiba zaidi ya Teknolojia 15 zikiwemo za magari, ndege na Nuclear.
Wao waliamua wawe na mfumo wa chama kimoja tu chenye uzalendo uliotukuka.
Na ndo ilitakiwa nasi tuige intelligence za aina hiyo, siyo intelligence ya kuwawinda wakosoaji wa Serikali

Inaendelea
Mada lacks substance na kama malalamiko yako ni CCM na Lumumba vis-a-vis economic development basi hata mada yenyewe imeanza na mguu wa kushoto.
 
GREAT!!! " sio intelligence za za kuwawinda wanakosoa serikali"

Wiki iliyopita mtu anayejiita "state agent" na mwenzake YEHODAYA wamenitishia uhaiwangu eti nataka kufanya uhaini, kichekesho kweli, kumbe hata ushauri na kukosoa ni uhaini?
Kama idara ina recruit watu sampuli hiyo basi kazi ipo.

Kwanza mada zangu haziko kisiasa bali kizalendo, walichotaka wao ni mimi niungane nao kwenye praise team.

Tayari nimeshawajua kwa majina yao wote, hawa ni vijana wa UVCCM na makao yao ni Lumumba, na wala hawako kwenye list ya vijana wachache wa TISS waliopikwa wakapikika, YEHODAYA na state agent ni makada wa damu wa CCM.

Hawajui maana ya utaifa, wanachojua ni CCM tu.
Mwingine ana ID ngumu Kama mzizi wa kisomali eti naye akadai watanisubiri Gongo la mboto wanimalize.

Hawa ni wa kuonea huruma sana,hivi unaweza kuikamata roho,?

Mimi ni roho, sina mwili ,ningekuwa na mwili wangeweza kunipata, sasa roho wataitoa wapi?

Ni wachache wataelewa namaanisha nini.
Labda nishauri kidogo tu kwamba, wale waliosema kuwa hatuwezi kujilinganisha na Mossad, CIA, MI6 na mashirika mengineyo makubwa ya kijasusi walitaka tufanyeje ili tufike huko?

1961,China ilikuwa maskini Kama Tanzania, wakati ule mji mkuu wa China ukiitwa Peking, matela ya punda yalipita mitaani.

China ikaunda kikosi kazi cha kijasusi kilichopewa jukumu moja tu la kwenda kwenye mataifa yote yaliyoendelea ili kuiba Teknolojia na kuileta China.

Baada ya miaka 20 baadae wachina walikuwa Tayari wameiba zaidi ya Teknolojia 15 zikiwemo za magari, ndege na Nuclear.

Wao waliamua wawe na mfumo wa chama kimoja tu chenye uzalendo uliotukuka.

Na ndo ilitakiwa nasi tuige intelligence za aina hiyo, siyo intelligence ya kuwawinda wakosoaji wa Serikali

Inaendelea
Wakudadavua na state agent ni watu wa hovyo tu ni njaa zao tu hawana lolote, utaona wanajikakamua wanadhani hatuwajui. Infact we are agents than them.
 
Hatutakiwi tuibe china jambo lolote lile, what works for them doesn't necessarily mean it will work for us, population ya 1.3+ billion si sawa na 50mil, utofauti ni mkubwa sana.
 
Mkuu huyu chizi anajifikiria kuwa a Thinker, he has never been and will never be.
Mada za kitoto ,no substace.
Mkuu huyu yuko kibera anauza bar kama alovyosema yeye mwenyewe hapa

State agent
Screenshot_2019-11-06-02-41-20.jpeg
 
Tunasubiria.
P
Pasco sikutarajia Kama una thinking capacity ndogo kiasi hiki, yaani unam uphold huyu chizi?
Post ni kitu ambacho kipo actual yoyote anaweza kukisoma, angefukua undani wangu na kuniweka public hapo sawa, sasa ana quote post ambazo zipo humu humu na watu wanazisoma kila leo, halafu anadai kufukua, unawezaje kufukua kilicho wazi?
This is extremely poor minds, birds of the same feathers flock together.
 
Umekuja upo langolango mwanza au kibera ushenzini unauza Bia

State agent nakuja na fukua fukua sehemu ya kwanza Jana ilikuwa introduction

State agent
Pasco sikutarajia Kama una thinking capacity ndogo kiasi hiki, yaani unam uphold huyu chizi?
Post ni kitu ambacho kipo actual yoyote anaweza kukisoma, angefukua undani wangu na kuniweka public hapo sawa, sasa ana quote post ambazo zipo humu humu na watu wanazisoma kila leo, halafu anadai kufukua, unawezaje kufukua kilicho wazi?
This is extremely poor minds, birds of the same feathers flock together.
 
Unaishi kwa fake life ulisoma ndani ya miaka 2 tz na Australia na kuhitimu kwa kupewa msaada na bibi kizee ukiwa peku
Screenshot_2019-11-06-10-11-33.jpeg
Screenshot_2019-11-06-10-11-12.jpeg
 
Pasco sikutarajia Kama una thinking capacity ndogo kiasi hiki, yaani unam uphold huyu chizi?
Post ni kitu ambacho kipo actual yoyote anaweza kukisoma, angefukua undani wangu na kuniweka public hapo sawa, sasa ana quote post ambazo zipo humu humu na watu wanazisoma kila leo, halafu anadai kufukua, unawezaje kufukua kilicho wazi?
This is extremely poor minds, birds of the same feathers flock together.
Kwaiyo state agent kafanikiwa kukutoa kwenye njia badala ya kushusha nondo unaanzisha battle na huyo mfia chama
 
Jamii Forum imekuwa kama sehemu ya watoto kucheza ndio maana watu wengine hawachangii chochote wanachungulia na kutoka. Mimi TISS naamini ni taasisi imara sana kuna watu makini ndani tatizo lipo kwenye sera ya kuanzishwa kwake ya mwaka 1996. ukiisoma utaelewa so point apa tunatakiwa kubadilisha sheria ya idala ya usalama wa taifa kwanza ndio mambo mengine yafuate.
 
Back
Top Bottom