Part 6: TISS Bado safari ngumu

Part 6: TISS Bado safari ngumu

Hii ndio imeanza hapa nitafukua post zote kwa hiihii simu hadi utajuta kunifahamu na kesho naweka majina hapa ,tulia pakuche sijui mambo ya sheria
Mkuu nimecheka sana hadi machozi yananitoka
 
Tayari nina deep information kuhusu wewe, ukizidi kuniandama nitakuweka uchi kabisa humu, kumbuka wewe ni mwili na mimi ni roho, yaani maisha yako yapo wazi ,uko wakati mimi nipo invisible ,Kama huamini jaribu nikufungue kazi.
@Pascal Mayalla i told you bro!!😂😂...mimi napita tu
 
Kumbe unabifu na wanahabari kisa wanamyumbisha mh rais

Uliponyimwa pesa zako za FAO la kujitoa ukaanza ujinga huuView attachment 1255156

Hahaaha kesho je ni fukua fukuaView attachment 1255157

Kumbe unatembeza nguo karume unacho kitambulisho cha jpm lakini tuje kuungisha maana Australia imehamia kkooView attachment 1255158

Kumbe muuza milungi na bangi ndio maana unamchukia makonda

Hahaha kesho fukua fukua kama kawa View attachment 1255160

Kumbe muuza bar yaani unatoka bongo kwenda Kenya kuwa barmaid si uombe kazi pale kimboka tu

Kama vipi njoo nikuajiri unilishie nguruwe

SAA nane usiku na 46 ngoja nipege kazi kesho fukuafukua utajuta kuitambua

Mwombe msamaha balozi kapilimba kwanza

Eti unahofu ya Mungu muuza pombeView attachment 1255162
We jamaa nikiboko aise daaa teh teh
 
Hii ndio imeanza hapa nitafukua post zote kwa hiihii simu hadi utajuta kunifahamu na kesho naweka majina hapa ,tulia pakuche sijui mambo ya sheria
Takataka kama wewe ni wakukata pu.mbu
 
Kuna mtu yupo naye Karibu, anamvizia ampige picha kisha anirushie, halafu Pasco naye akiingia kwenye 18 zangu namvua nguo humu, nina hasira naye sana, naye Tayari siri zake ninazo
Weka picha zao humu mkuu..mimi Yehodaya nilidhani anafanya kazi vodacom mwenzio
 
Mkuu si vyema mtu kama wewe ukashabikia huu mgogoro baina ya watu wawili wewe tia like tu tembea maana wabaya wako wanaweza kukugeuzia kibao wewe ukajikuta na wewe unahusika makaburi yako yakaanza kufukuliwa na wewe ikiwemo lile ulilomuitaka mheshimiwa Magufuli ni kichaa hayupo vizuri kichwani na kwamba akipewa nchi ataiharibu na ukaongezea ni fisadi kauza nyumba za serikali kifisadi..hivyo si vyema ukashabikia ufukuaji wa makaburi hata wewe watu wana screenshot zako wanakuzoom tu unavyojaribu kupraise kwa sasa na wakati mwanzo uliwakashifu
Pia pascal alisifia kua makamba ni mtu safi kabisa anafaa kupewa nchi
 
Pia pascal alisifia kua makamba ni mtu safi kabisa anafaa kupewa nchi
Tena yeye anatakiwa anyamaze kabisa makaburi yake yakianza kufukuliwa unafki wake wa kung'ata na kupuliza utadhihirika imagine mapambio anayompa Magufuli sasa..lakini huko nyuma alikua anasema hayupo vizuri kichwani anafanya maamuzi kwa kukurupuka eti maamuzi yatakayogharimu taifa..leo hii Magufuli ni shujaa wake
 
Huyo UVCCM anayejinadi Kama jasusi hawezi kunitoa kwenye point, namshangaa Pasco jinsi anavyojidhalilisha kwa huyo chizi
Mkuu wewe ndo umejishushia heshima yako. Pasco amemwambia state agent "tunasubiria" hiyo fukuafukua tuone. Hayo maneno ya Pasco yameunga mkono vipi hoja za state agent??
 
Hutajadili na wauza milingi na bang
Kuna mtu yupo naye Karibu, anamvizia ampige picha kisha anirushie, halafu Pasco naye akiingia kwenye 18 zangu namvua nguo humu, nina hasira naye sana, naye Tayari siri zake ninazo
Screenshot_2019-11-06-02-41-07.jpeg
 
Huyu yuko mwanza langolango anauza mitumba anasema yupo Australia
Tena yeye anatakiwa anyamaze kabisa makaburi yake yakianza kufukuliwa unafki wake wa kung'ata na kupuliza utadhihirika imagine mapambio anayompa Magufuli sasa..lakini huko nyuma alikua anasema hayupo vizuri kichwani anafanya maamuzi kwa kukurupuka eti maamuzi yatakayogharimu taifa..leo hii Magufuli ni shujaa wake
Screenshot_2019-11-06-10-11-33.jpeg
Screenshot_2019-11-06-02-25-02.jpeg
 
Autoe wapi huyu anaishi kwa speculations tu
Weka picha zao humu mkuu..mimi Yehodaya nilidhani anafanya kazi vodacom mwenzio
Alikuwa anauza Bia Kenya kisii alipitia Boda ya tarime silali
Screenshot_2019-11-06-02-41-20.jpeg
 
Huyu ni ukweli alikuwa kiwanda cha wahindi vicfish mkoani mwanza ,alikuwa anadai mafao yake jpm alipotoa tamko la miaka 60 ya FAO la kujitoa ndio akaanza kuichukia CCM na jpm
Hii Jf mzee baba endelea kukariri maisha kwamba kila mtu aandikalo kwenye thread ndio maisha yake halisi utaumbuka siku moja
Screenshot_2019-11-06-02-24-44.jpeg
Screenshot_2019-11-06-01-46-40.jpeg
 
Hii Jf mzee baba endelea kukariri maisha kwamba kila mtu aandikalo kwenye thread ndio maisha yake halisi utaumbuka siku moja
Usimuamshe kapuku aliyelala , mwache akorome huku akiota anakula mkate kumbe anakula godoro
 
Back
Top Bottom