Mkuu si vyema mtu kama wewe ukashabikia huu mgogoro baina ya watu wawili wewe tia like tu tembea maana wabaya wako wanaweza kukugeuzia kibao wewe ukajikuta na wewe unahusika makaburi yako yakaanza kufukuliwa na wewe ikiwemo lile ulilomuitaka mheshimiwa Magufuli ni kichaa hayupo vizuri kichwani na kwamba akipewa nchi ataiharibu na ukaongezea ni fisadi kauza nyumba za serikali kifisadi..hivyo si vyema ukashabikia ufukuaji wa makaburi hata wewe watu wana screenshot zako wanakuzoom tu unavyojaribu kupraise kwa sasa na wakati mwanzo uliwakashifuTunasubiria.
P
Ninao ushahidi wa YEHODAYA kulipiwa na ccm chumba na sebule anayoishi huko uswahili ( napahifadhi kwa sasa ) , ni mtu duni usiyestahili hata kumwogopa , hana lolote na ni kapuku wa kutupwa !Hatimaye yametimia, Part -1 ya mada hii nilizungumzia jinsi idara hii ya Usalama ilivyojaza vijana wengi wa UVCCM wasio na weledi wowote na masuala ya Intelligence, bali wako hapo kuhakikisha eti CCM inatawala milele na siyo Tanzania inasonga mbele.
Kwanza kabisa nataka ifahamike kuwa ,TISS ni taasisi ya kijasusi iliyoundwa kwa maslahi mapana zaidi ya Tanzania na siyo CCM, kwa hiyo kodi za watanzania zinatumika kwa ajili yake,na yoyote anaruhusiwa kukosoa na kushauri idara hii, Lakini hairuhusiwi kutoa siri za idara wala kukashifu.
Wiki iliyopita mtu anayejiita "state agent" na mwenzake YEHODAYA wamenitishia uhaiwangu eti nataka kufanya uhaini, kichekesho kweli, kumbe hata ushauri na kukosoa ni uhaini?
Kama idara ina recruit watu sampuli hiyo basi kazi ipo.
Kwanza mada zangu haziko kisiasa bali kizalendo, walichotaka wao ni mimi niungane nao kwenye praise team.
Tayari nimeshawajua kwa majina yao wote, hawa ni vijana wa UVCCM na makao yao ni Lumumba, na wala hawako kwenye list ya vijana wachache wa TISS waliopikwa wakapikika, YEHODAYA na state agent ni makada wa damu wa CCM.
Hawajui maana ya utaifa, wanachojua ni CCM tu.
Mwingine ana ID ngumu Kama mzizi wa kisomali eti naye akadai watanisubiri Gongo la mboto wanimalize.
Hawa ni wa kuonea huruma sana,hivi unaweza kuikamata roho,?
Mimi ni roho, sina mwili ,ningekuwa na mwili wangeweza kunipata, sasa roho wataitoa wapi?
Ni wachache wataelewa namaanisha nini.
Labda nishauri kidogo tu kwamba, wale waliosema kuwa hatuwezi kujilinganisha na Mossad, CIA, MI6 na mashirika mengineyo makubwa ya kijasusi walitaka tufanyeje ili tufike huko?
1961,China ilikuwa maskini Kama Tanzania, wakati ule mji mkuu wa China ukiitwa Peking, matela ya punda yalipita mitaani.
China ikaunda kikosi kazi cha kijasusi kilichopewa jukumu moja tu la kwenda kwenye mataifa yote yaliyoendelea ili kuiba Teknolojia na kuileta China.
Baada ya miaka 20 baadae wachina walikuwa Tayari wameiba zaidi ya Teknolojia 15 zikiwemo za magari, ndege na Nuclear.
Wao waliamua wawe na mfumo wa chama kimoja tu chenye uzalendo uliotukuka.
Na ndo ilitakiwa nasi tuige intelligence za aina hiyo, siyo intelligence ya kuwawinda wakosoaji wa Serikali
Inaendelea
Duh!.Mkuu si vyema mtu kama wewe ukashabikia huu mgogoro baina ya watu wawili wewe tia like tu tembea maana wabaya wako wanaweza kukugeuzia kibao wewe ukajikuta na wewe unahusika makaburi yako yakaanza kufukuliwa na wewe ikiwemo lile ulilomuitaka mheshimiwa Magufuli ni kichaa hayupo vizuri kichwani na kwamba akipewa nchi ataiharibu na ukaongezea ni fisadi kauza nyumba za serikali kifisadi..hivyo si vyema ukashabikia ufukuaji wa makaburi hata wewe watu wana screenshot zako wanakuzoom tu unavyojaribu kupraise kwa sasa na wakati mwanzo uliwakashifu

ohoo basi sawa!...nimekutahadharisha kwa sababu naamini wewe ni mtu muhimu jamvini ni vyema ukabaki na heshima yako..maana nimeshaona aliyeleta hii mada kashakumind kitendo ambacho sio kizuri ataachana na state agent atakuja kwako hasa ikizingatia pasco wa zamani sio wa sasa..atalinganisha thread zako za zamani hasa za kuponda ikiwemo na hiyo niliyokudokeza kuwa umemuita mheshimiwa akili zake hazipo sawa na ataweka na thread za sasa unazosifia mwishoni ataconclude kwa kukupa hata jina baya sana...thus why nkakushauri ukae pembeni waache waparangane wenyeweDuh!.
Humu jf, ukianzisha thread, wewe kama mwanzisha mada, unakuwa uko free kufuta kitu chochote kwenye mada zako, nimeanzisha mda zaidi ya 500 humu jf, na sijafuta chochote kwenye mada zangu hizo, hivyo sijawahi kuogopa makaburi.
P
Mbona wapitaji tu tunaona mtoa mada hana convincing argument.ohoo basi sawa!...nimekutahadharisha kwa sababu naamini wewe ni mtu muhimu jamvini ni vyema ukabaki na heshima yako..maana nimeshaona aliyeleta hii mada kashakumind kitendo ambacho sio kizuri ataachana na state agent atakuja kwako hasa ikizingatia pasco wa zamani sio wa sasa..atalinganisha thread zako za zamani hasa za kuponda ikiwemo na hiyo niliyokudokeza kuwa umemuita mheshimiwa akili zake hazipo sawa na ataweka na thread za sasa unazosifia mwishoni ataconclude kwa kukupa hata jina baya sana...thus why nkakushauri ukae pembeni waache waparangane wenyewe
Nitaendelea Mkuu, Part -7 itakuwa sehemu ya mwisho na itahusu kuishauri TISS ifanye nini na kuipongeza kwa mazuri yakeMkuu lete muendelezo nakubali sana nyuzi zako big up
Na state agent naye si mwajiriwa wa TISS ni fala tu, muda ujao nitaweka picha zake humuNinao ushahidi wa YEHODAYA kulipiwa na ccm chumba na sebule anayoishi huko uswahili ( napahifadhi kwa sasa ) , ni mtu duni usiyestahili hata kumwogopa , hana lolote na ni kapuku wa kutupwa !
Ni kweli mkuu naparaza tu, sasa nashangaa hawa vijana wa UVCCM kuniandama wakati TISS halisi wapo kimya wakiangalia yapi ya kutilia mkazo na yapi ya kupuuza.Mbona wapitaji tu tunaona mtoa mada hana convincing argument.
Ana paraza tu kujaza ombwe.
Huyo hidaya itakua ni changudoa wa lumumba fc njaa kali anatafuta bwana ila aweze kupunguza ukata wa maisha,humu anajiita yehodaya kumbe ni hidaya mdangajiHatimaye yametimia, Part -1 ya mada hii nilizungumzia jinsi idara hii ya Usalama ilivyojaza vijana wengi wa UVCCM wasio na weledi wowote na masuala ya Intelligence, bali wako hapo kuhakikisha eti CCM inatawala milele na siyo Tanzania inasonga mbele.
Kwanza kabisa nataka ifahamike kuwa ,TISS ni taasisi ya kijasusi iliyoundwa kwa maslahi mapana zaidi ya Tanzania na siyo CCM, kwa hiyo kodi za watanzania zinatumika kwa ajili yake,na yoyote anaruhusiwa kukosoa na kushauri idara hii, Lakini hairuhusiwi kutoa siri za idara wala kukashifu.
Wiki iliyopita mtu anayejiita "state agent" na mwenzake YEHODAYA wamenitishia uhaiwangu eti nataka kufanya uhaini, kichekesho kweli, kumbe hata ushauri na kukosoa ni uhaini?
Kama idara ina recruit watu sampuli hiyo basi kazi ipo.
Kwanza mada zangu haziko kisiasa bali kizalendo, walichotaka wao ni mimi niungane nao kwenye praise team.
Tayari nimeshawajua kwa majina yao wote, hawa ni vijana wa UVCCM na makao yao ni Lumumba, na wala hawako kwenye list ya vijana wachache wa TISS waliopikwa wakapikika, YEHODAYA na state agent ni makada wa damu wa CCM.
Hawajui maana ya utaifa, wanachojua ni CCM tu.
Mwingine ana ID ngumu Kama mzizi wa kisomali eti naye akadai watanisubiri Gongo la mboto wanimalize.
Hawa ni wa kuonea huruma sana,hivi unaweza kuikamata roho,?
Mimi ni roho, sina mwili ,ningekuwa na mwili wangeweza kunipata, sasa roho wataitoa wapi?
Ni wachache wataelewa namaanisha nini.
Labda nishauri kidogo tu kwamba, wale waliosema kuwa hatuwezi kujilinganisha na Mossad, CIA, MI6 na mashirika mengineyo makubwa ya kijasusi walitaka tufanyeje ili tufike huko?
1961,China ilikuwa maskini Kama Tanzania, wakati ule mji mkuu wa China ukiitwa Peking, matela ya punda yalipita mitaani.
China ikaunda kikosi kazi cha kijasusi kilichopewa jukumu moja tu la kwenda kwenye mataifa yote yaliyoendelea ili kuiba Teknolojia na kuileta China.
Baada ya miaka 20 baadae wachina walikuwa Tayari wameiba zaidi ya Teknolojia 15 zikiwemo za magari, ndege na Nuclear.
Wao waliamua wawe na mfumo wa chama kimoja tu chenye uzalendo uliotukuka.
Na ndo ilitakiwa nasi tuige intelligence za aina hiyo, siyo intelligence ya kuwawinda wakosoaji wa Serikali
Inaendelea
Tayari nina deep information kuhusu wewe, ukizidi kuniandama nitakuweka uchi kabisa humu, kumbuka wewe ni mwili na mimi ni roho, yaani maisha yako yapo wazi ,uko wakati mimi nipo invisible ,Kama huamini jaribu nikufungue kazi.Duh!.
Humu jf, ukianzisha thread, wewe kama mwanzisha mada, unakuwa uko free kufuta kitu chochote kwenye mada zako, nimeanzisha mda zaidi ya 500 humu jf, na sijafuta chochote kwenye mada zangu hizo, hivyo sijawahi kuogopa makaburi.
P
Mpe 10 apunguze udangaji mana njaa lumumba ni kali kama chadMkuu naona unaipiganiaaa Buku7
Njoo chka hku utapata zaidi
Ova
Ndio umeandika nini?Hatimaye yametimia, Part -1 ya mada hii nilizungumzia jinsi idara hii ya Usalama ilivyojaza vijana wengi wa UVCCM wasio na weledi wowote na masuala ya Intelligence, bali wako hapo kuhakikisha eti CCM inatawala milele na siyo Tanzania inasonga mbele.
Kwanza kabisa nataka ifahamike kuwa ,TISS ni taasisi ya kijasusi iliyoundwa kwa maslahi mapana zaidi ya Tanzania na siyo CCM, kwa hiyo kodi za watanzania zinatumika kwa ajili yake,na yoyote anaruhusiwa kukosoa na kushauri idara hii, Lakini hairuhusiwi kutoa siri za idara wala kukashifu.
Wiki iliyopita mtu anayejiita "state agent" na mwenzake YEHODAYA wamenitishia uhaiwangu eti nataka kufanya uhaini, kichekesho kweli, kumbe hata ushauri na kukosoa ni uhaini?
Kama idara ina recruit watu sampuli hiyo basi kazi ipo.
Kwanza mada zangu haziko kisiasa bali kizalendo, walichotaka wao ni mimi niungane nao kwenye praise team.
Tayari nimeshawajua kwa majina yao wote, hawa ni vijana wa UVCCM na makao yao ni Lumumba, na wala hawako kwenye list ya vijana wachache wa TISS waliopikwa wakapikika, YEHODAYA na state agent ni makada wa damu wa CCM.
Hawajui maana ya utaifa, wanachojua ni CCM tu.
Mwingine ana ID ngumu Kama mzizi wa kisomali eti naye akadai watanisubiri Gongo la mboto wanimalize.
Hawa ni wa kuonea huruma sana,hivi unaweza kuikamata roho,?
Mimi ni roho, sina mwili ,ningekuwa na mwili wangeweza kunipata, sasa roho wataitoa wapi?
Ni wachache wataelewa namaanisha nini.
Labda nishauri kidogo tu kwamba, wale waliosema kuwa hatuwezi kujilinganisha na Mossad, CIA, MI6 na mashirika mengineyo makubwa ya kijasusi walitaka tufanyeje ili tufike huko?
1961,China ilikuwa maskini Kama Tanzania, wakati ule mji mkuu wa China ukiitwa Peking, matela ya punda yalipita mitaani.
China ikaunda kikosi kazi cha kijasusi kilichopewa jukumu moja tu la kwenda kwenye mataifa yote yaliyoendelea ili kuiba Teknolojia na kuileta China.
Baada ya miaka 20 baadae wachina walikuwa Tayari wameiba zaidi ya Teknolojia 15 zikiwemo za magari, ndege na Nuclear.
Wao waliamua wawe na mfumo wa chama kimoja tu chenye uzalendo uliotukuka.
Na ndo ilitakiwa nasi tuige intelligence za aina hiyo, siyo intelligence ya kuwawinda wakosoaji wa Serikali
Inaendelea
wee jamaa ni bonge la kilaza aisee. upo too emotional.OnaView attachment 1255133
OnaView attachment 1255134
OnaView attachment 1255135
OnaView attachment 1255136
OnaView attachment 1255137
OnaView attachment 1255138
Anawaza mauaji dhidi ya mkuuView attachment 1255139
Huyu anafaa kuwa seroView attachment 1255140
Anabikije mtaani kwa mfanoView attachment 1255141
Post zote ni hivi tuView attachment 1255142
Nimchonganishi mkubwa huyuView attachment 1255143
Alimsakama sana DG huyuView attachment 1255144
Hautaki upinzani ,hana loloteView attachment 1255145
Hayupo CCMView attachment 1255146
Anawaza kuanzisha vita na kuuwa watanzania wasio na hatia
Kumbe kunaliomuona Mjinga na wakamdharauView attachment 1255147
Kumbe muuza nyanya hapo kkoo View attachment 1255154
Tangu wahindi wakufukuze u house boy ulishalipwa maana mpaka 60yrs ,ndio maana unapovu na jpm utasubiri sanaView attachment 1255155
Mwanaume analipiwa,basi marinda hayapoNinao ushahidi wa YEHODAYA kulipiwa na ccm chumba na sebule anayoishi huko uswahili ( napahifadhi kwa sasa ) , ni mtu duni usiyestahili hata kumwogopa , hana lolote na ni kapuku wa kutupwa !
Weka sasahivi kama vipi nae tumchangie kodi ya nyumbaNa state agent naye si mwajiriwa wa TISS ni fala tu, muda ujao nitaweka picha zake humu