CELLULAIRE
Member
- Mar 16, 2016
- 76
- 97
Huyu ni muuza bari pia anauza milungi na bangi pande za Kenya
Nilikuwa peke yangu kwenye gari narudi halafu anasema kuna mtu yupo karibu na mimi ananivizia anipige picha hahhaha anachekesha sana
Hata hizo hadithi za Australia hakuna lolote ni ujanja ujanja wa kipuuzi humuState agentView attachment 1256013View attachment 1256015View attachment 1256016
Sikujua ya kwamba kumbe hadi Siku hizi bado kuna Watanzania wanadhani kusema kuwa wako Ulaya huko basi wataogopwa au kuonekana wa maana. Na ni jambo la Kusikitisha sana kama unajijua kabisa kuwa uko Tandahimba Kimakazi na Kishughuli halafu humu Mitandaoni unajitapa kuwa upo Melbourne au Kwingineko huko Ulaya / Marekani.