Part 6: TISS Bado safari ngumu

Part 6: TISS Bado safari ngumu

Yeah this is Africa !!
Living in Australia doesn't mean that I should not run a business in Africa, do you catch me,son of the Bastard whore woman with a stray cant?
Screenshot_2019-11-06-20-09-51.jpeg
 
Nani mgonjwa wa akili Kati yangu na wewe?
Unabishana na upepo? Wewe hunijui kabisa, zaidi ya kujua ID yangu fake, sasa utakataaje kwamba sipo Australia na wakati hunijui? Kubishana na jambo usilojua fact yake ni kichaa tosha, wewe ndo ukatibiwe, vichaa mko wengi mno humu

Bado tu hujawahi Hospitali ya Wagonjwa wa Akili Mkuu? Hauko vizuri fanya hima ukapate Matibabu ya haraka ili usiwe Kero hapa.
 
Watanzania mme changanyikiwa na maisha magumu, nilifanya vyema kuikimbia hiyo nchi

Bahati mbaya Kwako ni kwamba wengine tupo Tanzania tena huku Vijijini kabisa lakini kwa jinsi tulivyowekeza Maisha yetu nina uhakika ni mazuri na ya Kifahari hata kuliko Wewe unayesubiri Kushurutishwa Kusafisha Vyoo vya Wazungu na Kuwatawaza Wazungu Wazee huko Ulaya uliko.
 
huu uzi kuna watu wanafikiri kwa matumbo akili hawana pumbavu kabisa.
 
Mkuu Chief Kabikula, hivi na wewe unawaaminia hao vichaa!. Hakuna Tiss yoyote hapo, wala hakuna yoyote mwenye jina lolote!. Kitu ninachokijua ni kuwa humu jf tuna ma Tiss ya ukweli yapo na yamejinyamazia tuu, halafu kuna hawa vichaa wanaojia tia kuwa ni Tiss, wengine wakitishia nyau members humu kuwa wao ni Tiss na wanazo siri za watu watamwaga humu!. They are nothing, they know nothing, hawana lolote wala chochote, wakati ma Tiss wenyewe humu wapo na wako kimya!.

Mimi I'm very fortunate nimezaliwa kwenye familia ya pure Tiss kwa baba na mama, hivyo nimezaliwa with natural intelligence, sasa ninapowaona hawa vichaa wa humu ambao hawana lolote kujifanya ma Tiss, nawaangalia tuu na kuwasubiria wamwage hizo data!.
P
Duh mada zako huwa nachekaga sana

Eti natural Tis , imekupa nini mpk sasa ???
 
Mkuu nimeona ni comment pia, nimefuatilia kwa kina nyuzi zako hapa jamvini na moja ya maelezo yako mama ni kwamba uko kizalendo zaidi, unafanya jambo jema sana kwani kuna somo tunapata lakini tatizo lako ni pale unapoamua kuwajibu watu ambao wewe unaamini ni wapumbavu sawa sawa na upumbavu wao, hapa ndo kosa lako mkuu

Ungekubali kejeli zao lakini wewe ukajikita kwenye hoja , yaani uzalendo usingeishia kuuonyesha kwa mdomo na nyuzi tu bali pia uzalendo wa kujibu hoja, ndio maana muda mwingine unakutana na provocative responses!!

Jaribu ku base katika siriiiizi zako zibebe dhana lengwa zikiwa zimetawakiwa na uzalendo kama unavyojinasibu koz kwa nilivyosoma nyuzi zako nachelea kusema muda mwingine unasahau uzi wako u namna gani!
Pasco sikutarajia Kama una thinking capacity ndogo kiasi hiki, yaani unam uphold huyu chizi?
Post ni kitu ambacho kipo actual yoyote anaweza kukisoma, angefukua undani wangu na kuniweka public hapo sawa, sasa ana quote post ambazo zipo humu humu na watu wanazisoma kila leo, halafu anadai kufukua, unawezaje kufukua kilicho wazi?
This is extremely poor minds, birds of the same feathers flock together.
 
Mkuu nimeona ni comment pia, nimefuatilia kwa kina nyuzi zako hapa jamvini na moja ya maelezo yako mama ni kwamba uko kizalendo zaidi, unafanya jambo jema sana kwani kuna somo tunapata lakini tatizo lako ni pale unapoamua kuwajibu watu ambao wewe unaamini ni wapumbavu sawa sawa na upumbavu wao, hapa ndo kosa lako mkuu

Ungekubali kejeli zao lakini wewe ukajikita kwenye hoja , yaani uzalendo usingeishia kuuonyesha kwa mdomo na nyuzi tu bali pia uzalendo wa kujibu hoja, ndio maana muda mwingine unakutana na provocative responses!!

Jaribu ku base katika siriiiizi zako zibebe dhana lengwa zikiwa zimetawakiwa na uzalendo kama unavyojinasibu koz kwa nilivyosoma nyuzi zako nachelea kusema muda mwingine unasahau uzi wako u namna gani!
Nimekupata mkuu, ngoja nijikite kwenye hoja zaidi za series zangu, niwapuuze hawa vichaa
 
Back
Top Bottom