My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
- Thread starter
- #121
Anayejifanya TISS ni huyo mpuuzi uliyekuwa umeanza kum support, ndo maana nikakuambia kuwa ukiendelea nitakuvunjia heshima kabisa, mimi nakuheshimu Kama kaka yangu when taken into an account kwamba sote ni wasukuma, kwa kukusaidia tu, vichaa ni hao wanaoshangaa mtu kuishi Australia ,hao ndo vichaa kabisa, to them every good thing is impossible, watu dizaini hiyo usitarajie kuwaona wakifanikiwa kimaisha hata siku moja, sana sana wakizeeka huishia kuwa wachawi.Mkuu Chief Kabikula, hivi na wewe unawaaminia hao vichaa!. Hakuna Tiss yoyote hapo, wala hakuna yoyote mwenye jina lolote!. Kitu ninachokijua ni kuwa humu jf tuna ma Tiss ya ukweli yapo na yamejinyamazia tuu, halafu kuna hawa vichaa wanaojia tia kuwa ni Tiss, wengine wakitishia nyau members humu kuwa wao ni Tiss na wanazo siri za watu watamwaga humu!. They are nothing, they know nothing, hawana lolote wala chochote, wakati ma Tiss wenyewe humu wapo na wako kimya!.
Mimi I'm very fortunate nimezaliwa kwenye familia ya pure Tiss kwa baba na mama, hivyo nimezaliwa with natural intelligence, sasa ninapowaona hawa vichaa wa humu ambao hawana lolote kujifanya ma Tiss, nawaangalia tuu na kuwasubiria wamwage hizo data!.
P
Ni ajabu ipi mtu kuishi Australia au US?
Nilifikishwa hapa kwa msaada hadi nime settle, ajabu iko wapi?
Mimi siyo TISS, ni mwandishi tu, where did I proud that I'm a TISS agent?
Linda heshima yako Pasco, kaa mbali na hao vichaa.