Part 1: TISS bado safari ngumu

Part 1: TISS bado safari ngumu

Yn hawa jamaa kwl wamekosa ufanisi yn sikuhz afisa usalama anajigamba waziwazi kuwa yeye ni usalama wa taifa lkn zamani hawa watu walikua hawajulikani walipo mpk ofisi zao tulikuwa hatuzijui
 
Usalama wa Taifa wa Tz huwa wanaviloja mkuu, kuna mmoja nlikutana nae hospital ni pale Posta mtaa wa mtendeni kwa Dr. Hassanali. Jamaa kaja hospital kakuta foleni, kaona dah muda unaenda ntachelewa. Mwanawe ndo alikuwa anaumwa, basi jamaa likaamua kukunja sura likaenda mpaka pale mapokezi likajitambulisha kwa yule mdada kwa cheo chake cha usalama wa taifa. Yule msita akawa anamnyenyekea na watu tukaanza kumchora huyu bwana kumbe ni big huko majuu, lenyewe likaona sifa na upara wake
[/QUOTEwewe muongo TISS hawezi kujitambulisha kama polisi au mwanajeshi umefeli rudi tena
 
Kuna watu kwenye discussion za BREXIT alipoingia Boris Johnson na mikwala yake wakadhani ndio mwisho huyu bwana atawatoa kama alivyoahidi with or without a deal, ‘no ifs no buts’ kwa kauli yake.

Nikawa nawaambia senior civil servants wa nchi hiyo wakisema kutoka bila ya deal is not in the national interest, ata kama awana mandate ya maamuzi ya mwisho watavuruga mambo kwa mbinu zao mpaka PM arudi kwenye mstari wanaoutaka wao.

Boris Johnson wa leo sidhani kama anaweza sema tena awatoa bila ya deal.
 
Hizi kweli ni stori za Vijiweni
1. Afisa wa TISS huwa hajitanbulishi popote hata kwa mwenza wake wala wanawe. Katika mazingira yoyote Yale hawezi kujitamulisha kwa cheo wala kazi yake bali kazi mbadala
2. Huwa wana marafiki katika sehemu mbalimbali za huduma ambako hawafahamiki kama TISS hivyo anaweza kufanikisha matibabu kwa mwanae bila foleni wala kubembeleza mapokezi.
3. Kama Ulikuwa kwenye foleni naye akapitilisha kwenda mapokezi, sio rahisi utambue alivyojitambulisha
Hakuna kitu kama hicho TISS always wanakuwa undercover
 
Supposedly.........
Achana na hizo old ideologies miaka ya 90 mgejadilia wapi?? kwenye magazeti?? au kwenye redio au kwenye mkutano?? Unashindwa kujua kuwa teknolojia imetukusanya pamoja watu wa aina mbali mabli na wenye kada mbali mbali na kwa pamoja na kwa ya muda huohuo tunajadili??

Watu kama nyie ndio mliokuwa watumishi wa TISS chini ya Zoka na Huyo Othmani ambao hata akili ndogo tu hamna, ila mnashangaa watu kujadili TISS ambayo hata sheria yake iko wazi na inajadirika. Kweli TISS yenu ilikuwa ya hovyo sana.
 
Tiss imekuwa kama polisi wa uchunguzi, wanalewa na kujisifu, UVCCM inatia aibu, kila mtu anajua 90% ni UVCCM aibu tupu

Huku Zanzibar kuna siku nilikwenda kutengeneza mashine fulani kwenye ofisi , nje kumeandikwa OFISI YA UVUVI ,

Nilipotoka nilicheka njiani huku nikijizuia nisionekane kichaa.

Ile ofisi ya Uvuvi ndani hamna hata picha ya dagaa wala ndoana.

Ndio haoooo Watu wasiojulikana

Wakati wa Karume Sr waliletewa mapikipiki aina ya Tiumph kutoka Ujerumani. Mapikipiki hayo yakipandwa na wao tu na watu wakiwajua njiani

Walikuwa wakivaa viatu special ambavyo huwezi kuvikuta madukani na watu waliwatambua?? Kwa kweli Nchi hii ni vituko

Elimu imepigwa na chini ni ujinga wa CCM kwenda mbele tuuuu
 
Kuna watu kwenye discussion za BREXIT alipoingia Boris Johnson na mikwala yake wakadhani ndio mwisho huyu bwana atawatoa kama alivyoahidi with or without a deal, ‘no ifs no buts’ kwa kauli yake.

Nikawa nawaambia senior civil servants wa nchi hiyo wakisema kutoka bila ya deal is not in the national interest, ata kama awana mandate ya maamuzi ya mwisho watavuruga mambo kwa mbinu zao mpaka PM arudi kwenye mstari wanaoutaka wao.

Boris Johnson wa leo sidhani kama anaweza sema tena awatoa bila ya deal.
rudi moja mkuu[emoji16][emoji16]
 
Siku hizi ni FSB tatizo lao ni corrupt sana. Russia wangekuwa mbali sana isingekuwa corruption na transparency.
Walifanywa kuwa hovyo wakati wa rais corrupt Boris Yeltsin kwa ushauri hovyo wa makusudi wa waliomdanganya kuwa ni marafiki zake nchi za magharibi.
Sasa FSB iko vizuri sana. Rais Putin saw to that.
 
Binafsi ningependekeza idara hii isishughulike na masuala ya ki usalama peke yake bali ijitanue zaidi kwenye mambo kama ya Sayansi, tekinolijia, kilimo, biashara, ufugaji, Elimu nk. Ipandikize Vipepeo katika sehemu mbalimbali duniani hivyo vipepeo vituletee taarifa muhimu za mambo kama hayo na si kudeal na masuala ya usalama peke yake.
 
Binafsi ningependekeza idara hii isishughulike na masuala ya ki usalama na kisiasa peke yake bali ijitanue zaidi kwenye mambo kama ya Sayansi, tekinolijia, kilimo, biashara, ufugaji, Elimu nk. Ipandikize Vipepeo katika sehemu mbalimbali duniani hivyo vipepeo vituletee taarifa muhimu za mambo kama hayo na si kudeal na masuala ya usalama peke yake.
 
rudi moja mkuu[emoji16][emoji16]
It’s on the same premise regarding the role of security agencies and the protection of national interest without entertaining politicians and their adventurous wishes.

Senior civil servants are pretty much guided by security agencies thinking and there is a lot at stake in terms of leaving without a BREXIT deal; now the manner with which they curbed Boris Johnson is something of an awe.
 
Kuna watu wanadhani kuondoka kwa mzee wangu wa Kanisa,TISS ndugu Kipilimba basi mambo yanaenda kubadilika na kuifanya idara hiyo ifanye kazi nzuri la hasha.

TISS bado ina safari ndefu mno ili iwe idara bora Kama zingine, recruitment ya TISS imejaa viroja na maajabu, tofauti na mashirika mengi ya kijasusi Duniani.

TISS imejaa kina "kamlete ",yaani watu wanaopewa ajira na ndugu zao kwa sababu ya ugumu wa maisha ya Bongo, hakuna usahili wa uhakika, madhara yake kumejaa ma agent ambao wakiona post Kama hii wanatamani wamkamate mtoa mada na kumpoteza.
Haina watu wazalendo kwa Taifa lao bali wazalendo wa chama tawala cha CCM chenye ndoto za kutawala Tanzania milele.

TISS haiwezi kumwajiri mwanachama wa CHADEMA au mpinzani yoyote bali Lazima awe mfia CCM na siyo mfia Tanzania.

Kazi kubwa za idara za kijasusi ni kuhakikisha nchi iko salama wakati wote na kuhakikisha hakuna umaskini ktk nchi kwa gharama yoyote ile.

Hongera zenu CIA, MI6, MOSSAD nyie ndo mnaipeleka Dunia puta kwa maslahi ya mataifa yenu, hamna muda na siasa.

Kazi ya idara ya usalama wa taifa ni kuwa loyal kwa nchi na si kwa wanasiasa...

INAENDELEA
Mkuu Tanzania yenye TISS haipo dunia moja na nchi zenye CIA,Mossad na MI6 na wengine,Tanzania ipo dunia ya pekee yake ndo maana kwa sasa inaongozwa na kiongozi wa malaika mtarajiwa,he katika pitapita yako duniani umewahisikia kiongozi wa nchi yoyote including Israel akitamani Siku moja kuwa kiongozi wa Malaika?our priority number 1 is cvm,2 ccm and 3 ccm
 
Tumeshindwa kubadilisha katiba leave alone TISS act? Watanzania wengi ni watu dhaifu saaana, watu wasioelewa maswala ya ulimwengu yanakwendaje, watu wa umbeya badala ya mambo ya maana, watu wa kujnikatia tamaa, watu wasio na malengo ya kitaifa zaidi ya malengo binafsi. Naunga mkono mfumo wa uajiri wa TISS ubadilike ili kuendana na mabadiliko ya sasa. Kwa mfumo wa sasa, watakosa watu wenye akili hasa katika eneo la ICT. Kikwazo kikubwa ni ujinga wetu, umaskini, tamaa ya madaraka, rushwa, njaaaaa, uvivu wa kufikiri, ubinafsi, uzandiki, kukosa maono na mengine kama hayo.
 
Sheria inayotumika sasa imekaa kwa miaka 23 yaani (1996-2019), Hata sheria hii ya sasa ilitungwa baada ya kutumika kwa nyingine kwa miaka 23; Kama kweli tunapenda kusonga mbele, tunakaaje na sheria ya maswala ya security kwa miaka zaidi ya 23? Kwa miaka hii 23 kuna mabadiliko mengi yametokea ya kiteknolojia na kisiasa duniani. Sheria ibadilishwe na misingi ya kuajiri ibadilishwe. Kama pesa ipo napendekeza igawanywe, tuwe na mambo ya ndani ambayo ndio itahusika sasa sana na ulinzi na mawasiliano na viongozi, ajira, utawala, utumishi wa umma, hujuma za ndani ya nchi na tuwe na ya mambo ya nje ambayo ndio itakuwa na inteligensia ya maswala ya kiuchumi, ushindani, ICT, hujuma za kimataifa, mikataba ya kimataifa, counter, ujirani mwema au ushirikiano wa kimataifa. na Ofisi ya DCI iimarishwe. apewe wataalam wa ICT, UCHUNGUZI, SHERIA na WATAALAMU wengine wa sekta mbalimbali. Tuache ujinga watanzania.
 
Kuna watu wanadhani kuondoka kwa mzee wangu wa Kanisa,TISS ndugu Kipilimba basi mambo yanaenda kubadilika na kuifanya idara hiyo ifanye kazi nzuri la hasha.

TISS bado ina safari ndefu mno ili iwe idara bora Kama zingine, recruitment ya TISS imejaa viroja na maajabu, tofauti na mashirika mengi ya kijasusi Duniani.

TISS imejaa kina "kamlete ",yaani watu wanaopewa ajira na ndugu zao kwa sababu ya ugumu wa maisha ya Bongo, hakuna usahili wa uhakika, madhara yake kumejaa ma agent ambao wakiona post Kama hii wanatamani wamkamate mtoa mada na kumpoteza.
Haina watu wazalendo kwa Taifa lao bali wazalendo wa chama tawala cha CCM chenye ndoto za kutawala Tanzania milele.

TISS haiwezi kumwajiri mwanachama wa CHADEMA au mpinzani yoyote bali Lazima awe mfia CCM na siyo mfia Tanzania.

Kazi kubwa za idara za kijasusi ni kuhakikisha nchi iko salama wakati wote na kuhakikisha hakuna umaskini ktk nchi kwa gharama yoyote ile.

Hongera zenu CIA, MI6, MOSSAD nyie ndo mnaipeleka Dunia puta kwa maslahi ya mataifa yenu, hamna muda na siasa.

Kazi ya idara ya usalama wa taifa ni kuwa loyal kwa nchi na si kwa wanasiasa...

INAENDELEA

Je, mwenzetu bado upo idarani???!!! tehtehtehteh
 
mbona umepost kwa jazba, nina mashaka lazma utakuwa mtumishi wa TISS uliyeumizwa si bure
 
Back
Top Bottom