Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,011
- 74,659
Ukiiangalia hii picha kwa makini sana utaona utofauti mkubwa.[emoji38][emoji38][emoji38] View attachment 1206727
Hapo Membe na JK walikuwa wanafanya kazi zao kila mmoja akimheshimu mwenzie na kumuhitaji.
Very friendly, hapo hakuna kumuambia mwingine pumbaf au kusema kanitoa jalalani.
Sasa hivi foreign minister anaogopa hata kumsogelea! Watashaurianaje? Uso wa Kabudi akiwa karibu na rais unaonyesha woga kama mwanafunzi mtoro mbele ya Headmaster, kuna ufanisi kweli hapo?
Awamu iliyojaa uoga na unafiki mtupu ndio maana vitu vingi havifanikiwi.