Part 1: TISS bado safari ngumu

Usalama wa Taifa wa Tz huwa wanaviloja mkuu, kuna mmoja nlikutana nae hospital ni pale Posta mtaa wa mtendeni kwa Dr. Hassanali. Jamaa kaja hospital kakuta foleni, kaona dah muda unaenda ntachelewa. Mwanawe ndo alikuwa anaumwa, basi jamaa likaamua kukunja sura likaenda mpaka pale mapokezi likajitambulisha kwa yule mdada kwa cheo chake cha usalama wa taifa. Yule msita akawa anamnyenyekea na watu tukaanza kumchora huyu bwana kumbe ni big huko majuu, lenyewe likaona sifa na upara wake
 
Itakuwa alikua feki huyo mkuu, hawa huwa wana hospital zao za Idara.
 
Tatizo lipo kwenye Muundo wa Nchi ya Tanzania ni hovyo. Chama tawala hakijatenganishwa na Serikali, Jambo la kwanza ilitakiwa ni Kuubadili Muundo kwa Kubadili Katiba ili Kuwepo na Separation ya Kueleweka kati ya Vyombo vya Dola na Chama tawala kama Mataifa mengine.

Sasa hivi Serikali ya Tanzania huwezi tofautisha na JWTZ,Polisi, Uhamiaji na Vyombo vingine vyote. Yaani Ukikosoa CCM unakuwa Umekosoa Vyombo vya Dola vyote vya Nchi hivyo Lazima Wakushughulikie.

Hivyo basi Vyombo vya dola vinaendeshwa na Chama ili kulinda Vibarua vyao.
Huo ndio ukweli wenyewe, kundi litalinda maslahi yake na Taifa litalinda maslahi ya Taifa.

Hivyo ikiwa na mfumo unaolinda kundi, chama fulani cha siasi, n.k. usitegemee kutoboa kama Taifa zaidi ya kulinda kikundi hicho!.
 
Kazi yoyote yakuishi kwa kuwindana wenyewe kwa wenyewe na kuwinda wenzao kama digidigi wa kuchinja kwenye sikukuu haiwezi ikawa bora.
 
Mleta mada ananifurahisha sana
Kwa maoni yake anataka TISS iajiri watu kama Abdul Nondo au Godlisten Malisa
Taratibu ya uajiri ipo wazi kabisa,huwezi kuajiriwa kama 'hueleweki'
Halafu kwa nini mnalilia kuajiriwa huko.Tiss kuna nini?huo si uaskari tu kama.polisi au.magereza tofauti ni majukumu tu
 
Idara nyeti inapaswa kuwa na watu ambao brains zao zinacharge kweli kweli
Watu wenye upeo mkubwa kiakili na kinidhamu.

Idara inapaswa iwe na cream of the cream ya nchi

Siyo unachukua watu kwa milengo ya kisiasa matokeo yake hata analysis simple tu za mambo yanayojiri nchini hawawezi na hawana inputs zozote za maana!

Siyo lazima wachukue wenye madigrii tu bali wachukue watu bright kisha wawaendeleze, maana kuna watu hawakwenda shule za madarasani lakini wana akili kishenzi!

Kiukweli mambo yaliyokuwa yakifanyika nchini ndani ya miaka minne iliyopita utadhani yanapangwa na kufanywa na amateurs, kuanzia scripts za matukio feki ambazo raia siku hizi wanacheka tu!

Wewe imagine mtu anapiga picha kijijini kakaa na Jiwe anajifanya eti na yeye ni mmoja wa wazee masikini wa huko Chato kumbe ni.mmoja wa waambata wa Jiwe kwenye matukio mengine na picha zake zipo!

Eti mwanamama yuko hospitali anajifanya kumuomba raisi hela ya kukomboa maiti, halafu eti yuko peke yake na hakuwa cleared njiani anapopita rais, umewahi kuona wapi hii zaidi ya script?

Eti mtu anaenda bandarini na kisha kuokota vichwa vya treni

Vijana kufuatiliwa facebook kwa comment za maoni yao tu ya kisiasa na kupewa msoto mkali!

Unaenda kuandaa script ya maandamano kwenye ubalozi wa nchi nyingine kinyume cha protokali za Kidiplomasia duniani eti kushinikiza nchi iingilie mchakato wa madai yaliyoko mahakamani

Mambo gani haya ya ajabu kabisa!

TUNATAKA IDARA SMART, SHARP, JUST na YENYE KULINDA USALAMA WA NCHI KWANZA SIYO POLITICAL ambitions za MTU
Umemaliza saivi hatuna usalama wa taifa tuna usalama wa ccm
 
Hapa ndipo unaonyesha wazi kuwa umeparamia mambo ya TISS wakati kichwa chako cheupeee .Umejaa ujuaji hewa.TISS wasipoajiri wanachama wa vyama vya upinzani nani atawaletee taarifa za kiinteligencia za ndani ya Chadema na hivyo vyama vingine vya Upinzani? Naona unaandika story za vijiweni.Kichwani uko mweupeeee.Wewe kijiweni ndie wanakuona expert wa mambo ya TISS vijiweni !!!!!!!
Yaani wewe ndo unaonekana mweupe kichwani.
Pili bora wewe mwenyewe umekiri kua wanawajiri wapinzani kwa lengo la kupata habri za chama. Na sio kwa maslahi ya Taifa ila maslahi ya Raisi na CCM, na hilo ndo Tatizo.
Mtoa mada anasema hawaajiri mpinzani kwa sababu ya Uwezo wake wa kuifanya kazi hiyo. Ila wanapandikiza watu upinzani kwa ajili ya ccm sio Taifa.
 
Ubaya na uzuri ni kuwa hizi hoja haziwezi kujibiwa na Tiss Hivyo tunaanzisha hoja na tunajijibu wenyewe.. Ahsante Tiss ila nilichogundua ni kuwa hao Tiss husoma maoni na hufatilia na kuchambua ila kujibu sasa...
 
Pamoja na hayo nchi zetu bado zinakabiliwa na hao Western countries katika kuendelea kwa nchi wao ndio wameshikilia nyaja kuu za uchumi mashirika yetu yana fanya kazi sana pia wanakumbana na changamoto asa za kiuchumi
 
Mleta mada ananifurahisha sana
Kwa maoni yake anataka TISS iajiri watu kama Abdul Nondo au Godlisten Malisa
Taratibu ya uajiri ipo wazi kabisa,huwezi kuajiriwa kama 'hueleweki'
Halafu kwa nini mnalilia kuajiriwa huko.Tiss kuna nini?huo si uaskari tu kama.polisi au.magereza tofauti ni majukumu tu
Uvccm
 
Idara nyeti inapaswa kuwa na watu ambao brains zao zinacharge kweli kweli
Watu wenye upeo mkubwa kiakili na kinidhamu.

Idara inapaswa iwe na cream of the cream ya nchi

Siyo unachukua watu kwa milengo ya kisiasa matokeo yake hata analysis simple tu za mambo yanayojiri nchini hawawezi na hawana inputs zozote za maana!

Siyo lazima wachukue wenye madigrii tu bali wachukue watu bright kisha wawaendeleze, maana kuna watu hawakwenda shule za madarasani lakini wana akili kishenzi!

Kiukweli mambo yaliyokuwa yakifanyika nchini ndani ya miaka minne iliyopita utadhani yanapangwa na kufanywa na amateurs, kuanzia scripts za matukio feki ambazo raia siku hizi wanacheka tu!

Wewe imagine mtu anapiga picha kijijini kakaa na Jiwe anajifanya eti na yeye ni mmoja wa wazee masikini wa huko Chato kumbe ni.mmoja wa waambata wa Jiwe kwenye matukio mengine na picha zake zipo!

Eti mwanamama yuko hospitali anajifanya kumuomba raisi hela ya kukomboa maiti, halafu eti yuko peke yake na hakuwa cleared njiani anapopita rais, umewahi kuona wapi hii zaidi ya script?

Eti mtu anaenda bandarini na kisha kuokota vichwa vya treni

Vijana kufuatiliwa facebook kwa comment za maoni yao tu ya kisiasa na kupewa msoto mkali!

Unaenda kuandaa script ya maandamano kwenye ubalozi wa nchi nyingine kinyume cha protokali za Kidiplomasia duniani eti kushinikiza nchi iingilie mchakato wa madai yaliyoko mahakamani

Mambo gani haya ya ajabu kabisa!

TUNATAKA IDARA SMART, SHARP, JUST na YENYE KULINDA USALAMA WA NCHI KWANZA SIYO POLITICAL ambitions za MTU
Bila kusahau na ile script ya muuza madafu
 
Yaani wewe ndo unaonekana mweupe kichwani.
Pili bora wewe mwenyewe umekiri kua wanawajiri wapinzani kwa lengo la kupata habri za chama. Na sio kwa maslahi ya Taifa ila maslahi ya Raisi na CCM, na hilo ndo Tatizo.
Mtoa mada anasema hawaajiri mpinzani kwa sababu ya Uwezo wake wa kuifanya kazi hiyo. Ila wanapandikiza watu upinzani kwa ajili ya ccm sio Taifa.
huyo kilaza lumumba anachojua yeye ni maslahi ya chama tu umbea wa chama akili yake kama dishi
 
Chukulia mfano amebanwa korodani na koleo kutakiwa atoe Ushahidi kuthibitisha anao? Andiko lake limejaa story za vijiweni kuanzia mwanzo Hadi mwisho.
Na wewe acha kutisha watu wanaoonyesha makosa na kushauri kitu cha kufanya. Huu ndio uzalendo Wa dhati kabisa na sio huo wako Wa kumtisha na kuishabikia ccm na uvccm kujazwa hadi pasipopasa!
Mbona wengine wanaojiita wanaharakati huru wanatoa taarifa ambazo kiutaratibu zilitakiwa kutolewa na msemaji mkuu Wa serikali humtishii kwa kumwelekeza kwa waminya korodani? Kuwa mzalendo kwa kuikosoa serikali na idara zake na kuishauri nini cha kufanya ili huduma zao ziboreke.
 
TISS ina matatizo makubwa sana tofauti na watu wengi wanavyofikiri.

Tatizo kubwa kabisa linaloifanya TISS kuonekana kuwa ni taasisi ya hovyo, isiyofaa NA kuonekana kuwa ni taasisi ambayo ni adui mkubwa wa umma wa Tz ni kutokana na Sheria anzilishi ya Taasisi hii, pamoja na Sheria zingine, kanuni, na Miongozo inayotumika ktk kuendesha shughuli za kila siku za taasisi yenyewe.

Sheria na Kanuni zinazosimamia TISS ni mbaya, zimepitwa NA wakati, hazilengi ktk kuikomboa nchi hii na wananchi wake wote KWA ujumla kutokana na vitisho mbalimbali vya kiusalama pamoja na kuikomboa nchi na watu wake kutoka kwenye janga kubwa LA umaskini KWA kufanya UJASUSI wa Kiuchumi.

Kutokana na Sheria na Kanuni zilizopo, TISS inalazimika kuwa ni taasisi ya Kumlinda Rais, Urais, Viongozi wa Serikali, hasa wa nyadhifa za juu tu pamoja Serikali yenyewe, pamoja na Chama Tawala kilichopo Madarakani, basi.Hivyo basi, hata akiajiriwa nani ndani ya taasisi hii ya TISS anajikuta analazimika kutii kwa lazima matwaka haya ya Sheria ya Kulinda NA kutetea maslahi ya Viongozi wa Serikali tu na ya Chama Tawala kilichopo madarakani badala ya Kulinda NA Kuitetea Maslahi Mapana ya Umma wa wananchi wa Tz.
Point mkuu, hii idara imekua ya kuilinda ccm na si nchi
 
Tiss ya awamu hii imemvua sana nguo mzee Meko
_ Walimdanganya kwamba alipoingia madarakani sukari kilo ilikuwa elfu tano.
_Walimuingiza mzee chaka wakamwambia aseme anapenda kuangalia SHILAWADU mzee wa watu akaonekana kituko na ule mchongo wa Gwajima ukabuma.
_Walimshauri ampe uwaziri wa mambo ya nje kumbe anaweka kituko.
_Walimdanganya wale maiti wa viroba wanatokea Angola kumbe ni wapiga kura wake wa Tanzania
 
Back
Top Bottom