timeline
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 458
- 2,497
Ndio maana nikaandika hapo juu kuwa wasiotakiwa kujua kuhusu TISS wamejua kupitiliza ( kwamba wanajua yaliyo ya muhimu, ya kweli au ngonjera) huu unaweza kuwa mjadala mwingine.Sasa mkuu kwa uelewa wako unaona kuna kipi hapa kinachojadiliwa ambacho ni nyeti sana toka huko idarani?
Mimi naona ni ngonjera zisizo na maana
Au Ni tabia tu ya Watanzania kujadili kila kitu bila kujali "authenticity" ya kinachojadiliwa.
Nakubaliana na wewe kwamba hakuna jambo nyeti ambalo linajadiliwa kwa sasa ukiacha "tetesi" za kuhusishwa kwa idara hii katika majaribio ya mauaji,utekaji na kupotezwa kwa watu.