Part 1: TISS bado safari ngumu

Part 1: TISS bado safari ngumu

Mawazo yako ni mazuri, lakini kwasababu wewe mwenyewe umeshajitambua kwamba una mawazo ya kijinga, Mimi ni nani hata nikatae. Siku nyingine usituletee mawazo yako ya Kijinga hapa jukwaani
UKIONA IDARA KAMA HII IMEKUMBATIA CHAMA JUA TUNA SAFARI NDEFU.
MIMI KWA MAWAZO YANGU YA KIJINGA HAWA WALITAKIWA KUWA WASHAURI WA VYAMA NA TAASISI MBALIMBALI JUU YA MUSTAKABAL WA MAMBO YAO.
MFANO WALITAKIWA KUWAPITIA WAGOMBEA WOTE NA KUVISHAURI VYAMA JUU YA WALE WENYE MIENENDO MIBOVU ILI TAIFA LIPATE VIONGOZI WAZURI.
 
Hii mada inaweza onekana ni nyepesi lakini ina mantiki sana.

1. Mashirika ya kijasusi duniani hayafanyi kazi za 'usalama'' bali kazi za kintelejensia zinazohusu usalama wa Taifa, iwe kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa. Kazi za usalama hufanywa na vyombo vya usalama kutokana na taarifa za kiintelejensia zinazoweza kupatikana kutoka mashirika ya kijasusi.
Hiyo ni mada ndefu tuachie hapo.

2. Miaka ya nyuma 'recruitment' ya kazi za Usalama hapa nchini ilifanywa na shirika lenyewe bila mkono wa siasa.
Miaka hiyo mtu aliweza kufikiwa akia chuoni, JKT au kwingineko na mgeni asiyemjua.

Mgeni huyo atamweleza mhusika abcd zote zinazohusu kuanzia ukoo , amepitia wapi n.k. kiasi cha kumshangaza mhusika
Baada ya hapo ndipo mhusika anapewa ''offer''.

Yaani hao 'usalama' walikuwa anampa mtu details zake hadi anatishika hata kumwambia rafiki yake
Kwakweli ilikuwa inatisha sana maana mgeni anakujua kuliko nduguyo. Kulikuwa na vetting hasa na ya kimataifa.

JokaKuu Pascal Mayalla
 
TISS ina matatizo makubwa sana tofauti na watu wengi wanavyofikiri.

Tatizo kubwa kabisa linaloifanya TISS kuonekana kuwa ni taasisi ya hovyo, isiyofaa NA kuonekana kuwa ni taasisi ambayo ni adui mkubwa wa umma wa Tz ni kutokana na Sheria anzilishi ya Taasisi hii, pamoja na Sheria zingine, kanuni, na Miongozo inayotumika ktk kuendesha shughuli za kila siku za taasisi yenyewe.

Sheria na Kanuni zinazosimamia TISS ni mbaya, zimepitwa NA wakati, hazilengi ktk kuikomboa nchi hii na wananchi wake wote KWA ujumla kutokana na vitisho mbalimbali vya kiusalama pamoja na kuikomboa nchi na watu wake kutoka kwenye janga kubwa LA umaskini KWA kufanya UJASUSI wa Kiuchumi.

Kutokana na Sheria na Kanuni zilizopo, TISS inalazimika kuwa ni taasisi ya Kumlinda Rais, Urais, Viongozi wa Serikali, hasa wa nyadhifa za juu tu pamoja Serikali yenyewe, pamoja na Chama Tawala kilichopo Madarakani, basi.Hivyo basi, hata akiajiriwa nani ndani ya taasisi hii ya TISS anajikuta analazimika kutii kwa lazima matwaka haya ya Sheria ya Kulinda NA kutetea maslahi ya Viongozi wa Serikali tu na ya Chama Tawala kilichopo madarakani badala ya Kulinda NA Kuitetea Maslahi Mapana ya Umma wa wananchi wa Tz.
Hapo kuna chochote kinazungumzia kumlinda Rais? Na hata hivyo Rais ni Nchi utake usitake. Kwani wakimlinda wanakuwa wamelinda Nchi. Punguzeni mihemko na uongo.View attachment TZ_Intelligence_Security_Services_Act.pdf
 
Hii mada inaweza onekana ni nyepesi lakini ina mantiki sana.

1. Mashirika ya kijasusi duniani hayafanyi kazi za 'usalama'' bali kazi za kintelejensia zinazohusu usalama wa Taifa, iwe kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa. Kazi za usalama hufanywa na vyombo vya usalama kutokana na taarifa za kiintelejensia zinazoweza kupatikana kutoka mashirika ya kijasusi.
Hiyo ni mada ndefu tuachie hapo.

2. Miaka ya nyuma 'recruitment' ya kazi za Usalama hapa nchini ilifanywa na shirika lenyewe bila mkono wa siasa.
Miaka hiyo mtu aliweza kufikiwa akia chuoni, JKT au kwingineko na mgeni asiyemjua.

Mgeni huyo atamweleza mhusika abcd zote zinazohusu kuanzia ukoo , amepitia wapi n.k. kiasi cha kumshangaza mhusika
Baada ya hapo ndipo mhusika anapewa ''offer''.

Yaani hao 'usalama' walikuwa anampa mtu details zake hadi anatishika hata kumwambia rafiki yake
Kwakweli ilikuwa inatisha sana maana mgeni anakujua kuliko nduguyo. Kulikuwa na vetting hasa na ya kimataifa.

JokaKuu Pascal Mayalla
Naunga mkono hoja.
P
 
Kuna wakati TISS haitakuwa tofauti na UVCCM. Na inaweza kufika mahala UVCCM ikawa bora kuliko TISS
 
Kuna watu wanadhani kuondoka kwa mzee wangu wa Kanisa,TISS ndugu Kipilimba basi mambo yanaenda kubadilika na kuifanya idara hiyo ifanye kazi nzuri la hasha.

TISS bado ina safari ndefu mno ili iwe idara bora Kama zingine, recruitment ya TISS imejaa viroja na maajabu, tofauti na mashirika mengi ya kijasusi Duniani.

TISS imejaa kina "kamlete ",yaani watu wanaopewa ajira na ndugu zao kwa sababu ya ugumu wa maisha ya Bongo, hakuna usahili wa uhakika, madhara yake kumejaa ma agent ambao wakiona post Kama hii wanatamani wamkamate mtoa mada na kumpoteza.
Haina watu wazalendo kwa Taifa lao bali wazalendo wa chama tawala cha CCM chenye ndoto za kutawala Tanzania milele.

TISS haiwezi kumwajiri mwanachama wa CHADEMA au mpinzani yoyote bali Lazima awe mfia CCM na siyo mfia Tanzania.

Kazi kubwa za idara za kijasusi ni kuhakikisha nchi iko salama wakati wote na kuhakikisha hakuna umaskini ktk nchi kwa gharama yoyote ile.

Hongera zenu CIA, MI6, MOSSAD nyie ndo mnaipeleka Dunia puta kwa maslahi ya mataifa yenu, hamna muda na siasa.

Kazi ya idara ya usalama wa taifa ni kuwa loyal kwa nchi na si kwa wanasiasa...

INAENDELEA
Wakati unaendelea naomba huko mbele uweke mambo sawa, inaonekana kama tatizo la tiss limeibuka awamu ya tano, hii ni sahihi au tu madhaifu yake ambayo yamepandwa na kurutubishwa kwa muda mrefu yanadhihirika awamu hii kwa sababu fulani fulani.
 
Hivi yule mkuu wa wilaya kule moshi nae ni TISS...
Yule anataka sana kuwa TISS lakini walishamkataa. Yawezekana kulikuwa na figisu baada ya kutumia vibaya chumba cha Rizimoko kule Arusha
 
Naendelea kuwauliza humu inaonekana watu wa kitengo ni wengi sana, hivi inakuwaje nchi inapata viongozi mpaka wa ngazi za juu wanatatizo la afya ya akili na hii idara ipo?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tehe tehe tehe tehe ...
 
Hapo kuna chochote kinazungumzia kumlinda Rais? Na hata hivyo Rais ni Nchi utake usitake. Kwani wakimlinda wanakuwa wamelinda Nchi. Punguzeni mihemko na uongo.View attachment 1207965
Rais ni nchi???
Kwani umesikia kuwa TISS inaendeshwa KWA kutumia Sheria hiyo moja tu ya Usalama wa Taifa??
Pole sana, jamani nendeni shule mkasome, hata ngumbaru itawasaidia kidogo.

Tatizo LA Tz Watu wengi sana ni wajinga kupita kiasi, halafu ndio hao hao eti wanaajiriwa na TISS, na kisha Serikali inawalipa mshahara eti KWA sababu ni "Intelligents" wanaolitumikia Taifa!!
 
Kuna tetesi kwamba makatibu wa Ccm mkoa na wilaya ni waajiriwa wao,hivyo ni ngumu kuitoa Ccm madarakani,
 
Kuna watu wanadhani kuondoka kwa mzee wangu wa Kanisa,TISS ndugu Kipilimba basi mambo yanaenda kubadilika na kuifanya idara hiyo ifanye kazi nzuri la hasha.

TISS bado ina safari ndefu mno ili iwe idara bora Kama zingine, recruitment ya TISS imejaa viroja na maajabu, tofauti na mashirika mengi ya kijasusi Duniani.

TISS imejaa kina "kamlete ",yaani watu wanaopewa ajira na ndugu zao kwa sababu ya ugumu wa maisha ya Bongo, hakuna usahili wa uhakika, madhara yake kumejaa ma agent ambao wakiona post Kama hii wanatamani wamkamate mtoa mada na kumpoteza.
Haina watu wazalendo kwa Taifa lao bali wazalendo wa chama tawala cha CCM chenye ndoto za kutawala Tanzania milele.

TISS haiwezi kumwajiri mwanachama wa CHADEMA au mpinzani yoyote bali Lazima awe mfia CCM na siyo mfia Tanzania.

Kazi kubwa za idara za kijasusi ni kuhakikisha nchi iko salama wakati wote na kuhakikisha hakuna umaskini ktk nchi kwa gharama yoyote ile.

Hongera zenu CIA, MI6, MOSSAD nyie ndo mnaipeleka Dunia puta kwa maslahi ya mataifa yenu, hamna muda na siasa.

Kazi ya idara ya usalama wa taifa ni kuwa loyal kwa nchi na si kwa wanasiasa...

INAENDELEA
Tiss wanahakikisha hakuna umaskini nchini?????
 
Back
Top Bottom