Ushamba na ujinga ni hasara kubwa mno, yaani wewe zero unaiona Australia Kama pepo kiasi kwamba ni ajabu mimi kuwa hapa?
Ubongo wako umeathirika na umaskini wa asili kutoka kwenye ukoo wenu.
Uliona wapi Duniani chama kinachofanya siasa za kistaarabu kikamwaga Damu?
Uwepo wa TISS ndani ya CHADEMA,ni ujuha na uoga wa hali ya juu na mkakati wa CCM kuzima nguvu za CHADEMA kwa sababu ndo chama chenye nguvu kubwa za upinzani Tanzania nzima.
Eti CHADEMA wanaweza kumwaga Damu, yaani hapa ndo inaonyesha kiasi gani ulivyo lijinga, kwa hiyo CHADEMA wana ghala la silaha na kambi za jeshi?
Au watamwaga Damu na kulishinda JWTZ kwa kutumia mawe?
Hapa Duniani, kosa vyote lakini usije kukosa akili, ndo maana mnanunua ndege mbovu Canada Halafu mnazipokea kwa ngoma [emoji116]
View attachment 1207302