Parking at your own risk

Parking at your own risk

Ahahaa wala sijawai pitia Msukuma bna ila natafuta.
Ila wanawake wa bongo tunateseka sana
Unanunua dawa ya 35 kugegedwa na mtu anakupa elf 50.ukitoa nauli hakibaki kitu huku umeachwa na maradhi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukitoa nauli si faida inabaki 3000 ndogo hiyo?! Hiyo si biashara..?! Siku nyengine unapata siku nyengine unakosa au unakopwa kabisa..! [emoji41] [emoji41] [emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake sisi ni mafala sana.Jana nimeona wamama kwenye group la whatsup wanagiza dawa za kupunguza papuchi eti.Mara ya kwanza muuzaji alikuwa anauza vistick , mara bange ,mara asali sasa hivi kabadili anauza vidonge.
Nimeshangaa sana kwanini wanawake tujitese kuweka vitu ukeni eti ili uwe mtamu.bora hata wangesema ya kukufanya usikie utamu
Wewe inakuhusu nini kama ni kubwa au sio tamu.huyo mlaji kama hataki aache.mambo ya kuleteana maradhi jamani kisa kumplease mtu tuache.
Wanaume mnapotufata mjue park at your own risk mazee.
Na sisi wanawake tuache kutembea na wanaume wengi.Leo upo na muhongo wa kisukuma.kesho akikutaka mchaga na kidot.com chake unadhani patamtosha kweli?
Tutulie


Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake mna matatizo .kuna video ngoja niiweke hapa
Mganga tokea miaka ya 90 anawala kwa kisingizio dawa ya bahati ni lazima aipake kwenye mkunyenge afu akuwekee kwenye papuchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom