Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,859
Wanawake sisi ni mafala sana.Jana nimeona wamama kwenye group la whatsup wanagiza dawa za kupunguza papuchi eti.Mara ya kwanza muuzaji alikuwa anauza vistick , mara bange ,mara asali sasa hivi kabadili anauza vidonge.
Nimeshangaa sana kwanini wanawake tujitese kuweka vitu ukeni eti ili uwe mtamu.bora hata wangesema ya kukufanya usikie utamu
Wewe inakuhusu nini kama ni kubwa au sio tamu.huyo mlaji kama hataki aache.mambo ya kuleteana maradhi jamani kisa kumplease mtu tuache.
Wanaume mnapotufata mjue park at your own risk mazee.
Na sisi wanawake tuache kutembea na wanaume wengi.Leo upo na muhongo wa kisukuma.kesho akikutaka mchaga na kidot.com chake unadhani patamtosha kweli?
Tutulie
Sent using Jamii Forums mobile app