Kweli nimeamini aliyesema ''AT YOUR OWN RISK'' hakukosea. sitarudi tena huko! lol!

Msolid1990

Senior Member
Apr 2, 2012
144
49
Dah! Usilolijua ni kama usiku wa giza na mengine usiombe kuwashiwa taa uyaone. Maana utaomba izimwe.
nabaki hapahapa chitchat nikisogea sana MMU lol!
'AT YOUR OWN RISK'
 
Mkuu, mie kidogo nichangie nikinata na move ya Thrade yako.
Wakati naingia Jf nilikuja na kasi yangu, nikijidanganya nitakua nacheza na majukwaa mengi kadri niwezavyo.
Hata kuna siku niliwahi kumuuliza Kongosho, kwa nini ana'deal na Chtcht & Mmu.
Akanijibu hayo ndo majukwaa yake , majukwaa mengine huenda kama mgeni mualikwa.
Baadae nikaja tambua kua ku'deal na majukwaa mengi si kazi nyepesi hasa ktk kutoshwa na muda.
Hivi mimi nacheza na Chtcht na Mmu, ambayo hata haya nakosa mda toshelevu ku'play nayo kiukamilifu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa pole sana....kama ukihitaji stress na ban karibu jukwaa la Siasa....
Otherwise pole sana
 
Ni jukwaa gani hilo ndugu limekutoa nyongo?

kuna jukwaa moja hivi unatuma request kwa invisible akuunganishe bila hivo huwezi ukaliona na ni kwa 18+ tu. Khaa! Ni balaa hilo usije ukaingia! Niliingia nikatoka mwenyewe!
 
mkuu Msolid me ningependa kwenda hata kunusa harufu tu ya hlo jukwaa. hebu nielekeze njia!
 
Hahahaaaaaaa ulienda jukwaa la siasa nini? Ukatukanwaaaa, pole kule inabidi uwe na ngozi mbili.
 
Namshukuru invisible kunikubalia request ya kujitoa kwangu. Khaa! Yaliyomo kule sitarudi tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom