Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,311
- 46,810
Tutajipanga na documents na picha tutaattach..usijali kwa hilo
Huwezi kusema wanama sisi tuna vinanii!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutajipanga na documents na picha tutaattach..usijali kwa hilo
Ahaaaa nkinki no nama?Tutajipanga na documents na picha tutaattach..usijali kwa hilo
Huwezi kusema wanama sisi tuna vinanii!!
Sent using Jamii Forums mobile app
ina maana wachaga wana vidoti com? watake radhi mkuuWanawake sisi ni mafala sana.Jana nimeona wamama kwenye group la whatsup wanagiza dawa za kupunguza papuchi eti.Mara ya kwanza muuzaji alikuwa anauza vistick , mara bange ,mara asali sasa hivi kabadili anauza vidonge.
Nimeshangaa sana kwanini wanawake tujitese kuweka vitu ukeni eti ili uwe mtamu.bora hata wangesema ya kukufanya usikie utamu
Wewe inakuhusu nini kama ni kubwa au sio tamu.huyo mlaji kama hataki aache.mambo ya kuleteana maradhi jamani kisa kumplease mtu tuache.
Wanaume mnapotufata mjue park at your own risk mazee.
Na sisi wanawake tuache kutembea na wanaume wengi.Leo upo na muhongo wa kisukuma.kesho akikutaka mchaga na kidot.com chake unadhani patamtosha kweli?
Tutulie
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaa wananitukana pm balaaina maana wachaga wana vidoti com? watake radhi mkuu
nimecheka sana jaman loooh
Ujapata dawa ya kuongeza nguvu za kike???Mchina anawapa tabu sana wabongo.hivi ulaya wanauziwa haya madawa kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
poleeee vumilia tu maana huku tuko wengi
Hahaha!!...Kesho mchana ukifanya ugali na kuku wa kuoka itakuwa poa..
Aisee Nina recipe moja ya kuoka kuku hyo.kesho utakoma wale wa siku ile cha mtotoHahaha!!...Kesho mchana ukifanya ugali na kuku wa kuoka itakuwa poa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonaje tukafungua darasa la mapishi,,maana wanawake wengi wa siku hizi kupika hawajui kabisa..wali unatoka kama vile ugali yaani haueleweki..Aisee Nina recipe moja ya kuoka kuku hyo.kesho utakoma wale wa siku ile cha mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Darasa ninalo nafundisha laki mbili kwa week.nakula vichwa kama kawaUnaonaje tukafungua darasa la mapishi,,maana wanawake wengi wa siku hizi kupika hawajui kabisa..wali unatoka kama vile ugali yaani haueleweki..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nang'ata na Kupuliza.Unamaanishaje hapo
Ya msukuma au ya dudu!?..Weka picha
JF uwanja wa fujo, nikitoka kwenye mihangaiko ya kutafuta mkate huwa sipendi kuimisi maana ni free zone stress. Umenena vyema waelimishe bure dada zetu maana sisi wanaume hatutabiriki mkizifanya zote zikawa tamu kesho tunahitaji zenye uchachu...mnaanza kutafuta vidonge vya kuzichachua ...hatimaye magonjwa yasiyo tibika.Wanawake sisi ni mafala sana.Jana nimeona wamama kwenye group la whatsup wanagiza dawa za kupunguza papuchi eti.Mara ya kwanza muuzaji alikuwa anauza vistick , mara bange ,mara asali sasa hivi kabadili anauza vidonge.
Nimeshangaa sana kwanini wanawake tujitese kuweka vitu ukeni eti ili uwe mtamu.bora hata wangesema ya kukufanya usikie utamu
Wewe inakuhusu nini kama ni kubwa au sio tamu.huyo mlaji kama hataki aache.mambo ya kuleteana maradhi jamani kisa kumplease mtu tuache.
Wanaume mnapotufata mjue park at your own risk mazee.
Na sisi wanawake tuache kutembea na wanaume wengi.Leo upo na muhongo wa kisukuma.kesho akikutaka mchaga na kidot.com chake unadhani patamtosha kweli?
Tutulie
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya msukuma au ya dudu!?..
[emoji2][emoji2] nitakutumia ya dudu basi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana sijategemea nitaulizwa hivyo