some people are are crazy read this at your own risk. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

some people are are crazy read this at your own risk.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kilimasera, Apr 16, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  some people are are crazy read this at your own
  risk....... Baba yetu uliye breweries, beer zako
  zitufikie. Bei yake iwe rahisi hapa kwa bar. Utupe
  chupa zetu za kila especially za kila Furahi day.
  Utusamehe sisi walevi kama unavyo samehe wasiolewa.
  Utufikishe nyumbani vyema. Kwj kuwa beer zote ni zako,
  wines na hata spirits, milele na milele. Natwaomba
  usamehe watu kama M#t*t^o. Amina ♥♥♥.
   
 2. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Baba yetu uliye Breweries, bia zako zisifike, utupe pombe zetu za kila siku, utusamehe sisi tunaokunywa bia, kama nasi tuwasamehevyo wanaokunywa soda! Usitufanye tujenge mbali na bar, bali grocery kwa maana bia zote ni zako, killi, tusker na hata castle Amen.
   
 3. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  tra wataanza kudai kodi ya matangazo muda c mrefu
   
Loading...