HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,313
- 103,537
Sugang pole sanaHii nchi sasa hivi inamilikiwa na mafisadi
Sugang pole sanaHii nchi sasa hivi inamilikiwa na mafisadi
Naona upo umejitokeza“Watu wanasema?”
Akina Seya walibambikiwa kesi ama ilikuwa kweli!? Pengine ndio ile ukiua kwa upanga nawe utaja uawa kwa upanga.hawa viongozi wanataka kutuaminisha kwamba hao watu walibambikiwa kesi kweli? mmmh kuna walakini katika aidha mashitaka yao au kuachiwa kwao pia hiyo inatoa taswira ya wazi kwamba office ya DPP(au dpp mwenyewe) ina(ana)fanya kazi kwa mashinikizo ya rais na haiko huru katika utendaji kazi wake
Seya Wa mipalooo!! Watu wanakuonaaa!! Labda ndio ile kipimo unachowapimia wenzako nawe utapimiwa hichohicho!Huyu Dpp anafungulia watu kama hana akili nzuri! Ubaya anayafanya haya ili kufurahisha watu... tungoje mìezi kadhaa hapo mbele ndio atajua hajui
Hivi unawajua hao wakina msoffe au unaongea utopoloWote walioshiriki kubambika watu kesi ingefaa nao waende jela
Walalahoi wanaachiwa ila hawatangazwi sababu sio maarufusasa kwanini wanaachiwa hao wenye pesa tu mbona walalahoi hawaachiwi au sheria ndo kusema sheria kumbe sio msumeno?
Mpuuzi wewe, dikteta kafa hakuna namnaWewe ni mtu mjinga sana! Rudi ujisomee historia ya hao wanaoachiwa uone!
.
Lkini haishangazi maaana bavicha mnataka hela zimwagike mtaani ili muwe mnaokota na wakuzirudisha mnaamini ndio hao wanaoachiwa!
Mashehe wale wanahela gani? mbona hulalamiki Ruge yupo ndani?sasa kwanini wanaachiwa hao wenye pesa tu mbona walalahoi hawaachiwi au sheria ndo kusema sheria kumbe sio msumeno?
Upo sahihi kabisaWalalahoi wanaachiwa ila hawatangazwi sababu sio maarufu
Hao unaotetea ni matajiri waliotajirika kwa jasho lako wewe kapuku usie na mbele wala nyuma!Mpuuzi wewe, dikteta kafa hakuna namna
ivi ni kwanini hao watu wanaachiwa kiasi hicho? ni kwanini DPP aliekuepo alikua na tuhuma nyingi? vipi huyu wa sasa tuhuma kama za mtangulizi wake za kufata matakwa ya jumba jeupe ataziepuka vipi hapo mbeleni?Walalahoi wanaachiwa ila hawatangazwi sababu sio maarufu
Nikibaki masikini maza ako anaathirika vipi?Hao unaotetea ni matajiri waliotajirika kwa jasho lako wewe kapuku usie na mbele wala nyuma!
Dikteta yeye alishaiwekea familia yake msingi mzuri wa maisha. Kufa kwake hakutakufanya uondokane na umasikini kwenye ukoo wako.
kwa ujumla wanaoachiwa ni wale wenye influence ya kiuchumi na kisiasaMashehe wale wanahela gani? mbona hulalamiki Ruge yupo ndani?
sasa kwanini wanaachiwa hao wenye pesa tu mbona walalahoi hawaachiwi au sheria ndo kusema sheria kumbe sio msumeno?
Hao masikini nani wakuwatangaza?kwa ujumla wanaoachiwa ni wale wenye influence ya kiuchumi na kisiasa
Hao unaotetea ni matajiri waliotajirika kwa jasho lako wewe kapuku usie na mbele wala nyuma!
Dikteta yeye alishaiwekea familia yake msingi mzuri wa maisha. Kufa kwake hakutakufanya uondokane na umasikini kwenye ukoo wako.