Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,126
kwa hyo una edit mkuuNi tafsiri ndio ilikosewa lakini watu walishaiweka sawa toka karne ya kumi na nane.
Hata mimi siku zote nikiomba hii sala natumia neno "usituache tukaingia majaribuni"
kwa hyo una edit mkuuNi tafsiri ndio ilikosewa lakini watu walishaiweka sawa toka karne ya kumi na nane.
Hata mimi siku zote nikiomba hii sala natumia neno "usituache tukaingia majaribuni"
ndio kitu nilikuwa namwambia huyo jamaa aliyekuwa anasema kuwa andiko lililokuwa linakataza kufanya editing ya biblia lilitoka njee ya bibliaNeno biblia linatafsiliwa kutoka neno "biblia" la kilatini ambalo pia linatokana na neno la kigiriki "ta biblia" yenye maana "the books". Kwahiyo jina biblia ni kigiriki likimaanisha "vitabu"
Tofautisha bible na quran. bible imeandikwa na watu kwa kuongozwa na Mungu hivyo katika harakati za kuitafsiri katika lugha moja kwenda lugha nyingine yawezekana msamiati uliotumika ukawa hauleti maana sahihi. hivyo wakati wa kuandika tena msamiati mpya ukaingizwa na ukaleta maana.Hiyo sala imeandikwa kwenye bible anataka aibadilishe.
Hahaha ndo maana hua nasema dini nuksi tu, wote mnachezeshewa story za the avengers, black panther ndiyo starring. Huyu anataka kubadilisha hiki, upande wa pili wao ni full kuchinjana ka kuku, upande wa tatu wazee wa depression hawana raha hata kidogo, hii amani iko wapi? mbona ni the total opposite? Inabidi wakati ufike watu mfungue akili, hakuna kifungo kikali ka cha dini, madawa ya kulevya ni rahisi mara mia kuacha kuliko mambo yaliyojazwa kuchwani toka utotoni.
WajenZi wanafanya yao sasa.nadhani biblia iko very open kuhusu kuongea hata nukta si vizuri naona the anti christ
Hahah ilishuka toka wapi? wizi mtupuTofautisha bible na quran. bible imeandikwa na watu kwa kuongozwa na Mungu hivyo katika harakati za kuitafsiri katika lugha moja kwenda lugha nyingine yawezekana msamiati uliotumika ukawa hauleti maana sahihi. hivyo wakati wa kuandika tena msamiati mpya ukaingizwa na ukaleta maana.
Quraan ilishuka toka mbinguni ikiwa imeandikwa hivyo huwezi kubadili kazi ya Mungu[emoji12]
Hujasoma amesema tafsiri ya kingereza ibadilishwe huwezi kumwambia Mungu anakutia majaribuni. Hata mtume yakobo alisema ukijaribiwa usiseme Mungu amekujaribu. Umejaribiwa na shetani na tamaa zako. Bible kwenye lugha ya Kwanza imeelezewa vizuri hiyo sala kwasababu iliandikwa na watu wenye kujawa na roho mtakatifu. Ila walio tafsiri hatuwezi sema walijawa na roho mtakatifu ndo maana kunamokosa ya kiuandishi. Au hujawahi kuona bible Ina version zaidi ya Tatu maana Kuna typing errors nao utasema wamebadilisha neno la Mungu. Soma Tena ujumbe WA papa utaelewaMimi ni MKATOLIK ,ILA HILI LIMENIFANYA MOYO WANGU KUSHIKWA NAGANZI.
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameomba maombi maarufu ya Kikristo ya Baba Yetu yafanyiwe marekebisho.
Anataka sehemu ambayo huzungumzia vishawishi ilitafsiriwa vibaya.
Asema tafsiri kwamba "Usitutie katika vishawishi (majaribu/majaribuni)" iangaziwe upya akisema tafsiri iliyofanywa si sahihi kwa sababu Mungu huwa hawaongozi binadamu kutenda dhambi.
Papa amependekeza watu watumie "usituache tukaingia katika vishawishi (majaribu/majaribuni)" badala yake.
Alitoa pendekezo hilo akizungumza katika runinga ya Italia Jumatano usiku.
Ombi la Baba Yetu ndilo linalofahamika vyema zaidi miongoni mwa maombi ya Kikristo.
Papa Francis amesema Kanisa Katoliki nchini Ufaransa sasa linatumia tafsiri hiyo ya "usituache tukaingia katika vishawishi" kama mbadala, na kwamba jambo kama hilo linafaa kufanywa kote duniani.
"Usiniache nikaingia kwenye vishawishi kwa sababu ni mimi nitakayeanguka, si Mungu anayetutia katika vishawishi na kisha kutazama nilivyoanguka," aliambia runinga ya TV2000, runinga ya kanisa Katoliki Italia.
"Baba hawezi kufanya hivyo, baba hukusaidia huinuke upesi."
Ni tafsiri kutoka kwa tafsiri ya biblia ya Kilatini ya karne ya nne ambayo iliidhinishwa rasmi na kanisa Katoliki karne ya 16, ambayo ilitafsiriwa kutoka kwa maandiko ya kale ya Kigiriki, Kiebrania na Kiaramaic.
Tangu kuanza kuhudumu kama Papa, Papa Francis hajasita kugusia masuala tata na amekabiliana na baadhi ya mambo moja kwa moja, wachanganuzi wa mambo ya Vatican wanasema.
Alikuwa awali amesema kwamba Kanisa Katoliki linafaa kuwaomba radhi wapenzi wa jinsia moja kutoka na vile ambavyo limewatazama na yale limewatendea kwa miaka mingi.
Aidha, alilinganisha vituo vya kuwazuilia wahamiaji Ulaya na vituo vilivyotumiwa na Wanazi kuwazuilia na kuwaua Wayahudi wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.
Chanzo: BBC
Kuna watu mnaakili duniani kha sisi matango pori kazi yetu ni kubet na kuangalia account ya mangeKosa la kwanza lililofanyika ambalo ndio limepelekea haya makosa mengine yanayotokea,ni kuitafsiri biblia kutoka kwenye kigiriki na kilatini kwa kudhani kuwa ukiitafsir biblia kimakonde,kiingereza nk ni kuineza injili hadi interior huko,kumbe ndio una haribu,lugha ya kilatini na kigiriki ni lugha zisizo badilika,hivyo mahakama nk hutumia lugha hizi mbili kama kuhifadhia hizo document husika against unauthorised editing kwa hiyo kama mtu alitaka kujifunza biblia ilitakiwa lazima ajifunze hizo lugha,yaani biblia ufuatwe matakwa yake,sio ufuate matakwa ya msomaji
sasa kinachofanyika hapa ni repeat a lie,several times it will assert itdelf to be a truth,Papa ata edit,na wa baadae watakuja wata edit nk kama walivyofanya wanyuma yake,Sala haikosewi,kwani si ndio hiyo wanaisali hadi malaika na wao waliipokea toka siku ilipokuwa recomended na Mungu wao kupitia kwa Mtume au nabii husika,sasa uki edit leo unakuwa unamaanisha nini Mungu Aliikosea au? Hiyo sala ndio inatamkwa na wakristo wote generations of generations,wanaoonekana na wasioonekana sasa leo una edit vipi?
Na vipi implication ya Mungu kukutia majaribuni?Implication ya mabadiliko haya ni kwamba pale mtu akipatwa na majanga au akitenda dhambi ni kwamba ameachwa na mungu afanye hivyo. Na kwakua amekuacha ufanye hivyo itatafsiliwa amekubaliana na shetani kutekeleza dhamira yake ovu. Inaondoa weakness na freedom ya nafsi na haki ya kuadhibu kwani kama amekuacha na ulimuomba asikuache why akulaumu tena?
semantically nadhani anahitaji kutoa somo la maana au kukubali debate katika hayo mabadiliko....
kawaida tu mkuu usijali ndugu yanguKuna watu mnaakili duniani kha sisi matango pori kazi yetu ni kubet na kuangalia account ya mange
Huyu bwana ana controversies nyingi sana,nadhani there is something behind the curtain.Lakini sishangai sana kwa kuwa ni Jesuit.Hata hivyo there are many important issues within the Catholic faith to consider which are not in order,this is very petty.Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameomba maombi maarufu ya Kikristo ya Baba Yetu yafanyiwe marekebisho.
Anataka sehemu ambayo huzungumzia vishawishi ilitafsiriwa vibaya.
Asema tafsiri kwamba "Usitutie katika vishawishi (majaribu/majaribuni)" iangaziwe upya akisema tafsiri iliyofanywa si sahihi kwa sababu Mungu huwa hawaongozi binadamu kutenda dhambi.
Papa amependekeza watu watumie "usituache tukaingia katika vishawishi (majaribu/majaribuni)" badala yake.
Alitoa pendekezo hilo akizungumza katika runinga ya Italia Jumatano usiku.
Ombi la Baba Yetu ndilo linalofahamika vyema zaidi miongoni mwa maombi ya Kikristo.
Papa Francis amesema Kanisa Katoliki nchini Ufaransa sasa linatumia tafsiri hiyo ya "usituache tukaingia katika vishawishi" kama mbadala, na kwamba jambo kama hilo linafaa kufanywa kote duniani.
"Usiniache nikaingia kwenye vishawishi kwa sababu ni mimi nitakayeanguka, si Mungu anayetutia katika vishawishi na kisha kutazama nilivyoanguka," aliambia runinga ya TV2000, runinga ya kanisa Katoliki Italia.
"Baba hawezi kufanya hivyo, baba hukusaidia huinuke upesi."
Ni tafsiri kutoka kwa tafsiri ya biblia ya Kilatini ya karne ya nne ambayo iliidhinishwa rasmi na kanisa Katoliki karne ya 16, ambayo ilitafsiriwa kutoka kwa maandiko ya kale ya Kigiriki, Kiebrania na Kiaramaic.
Tangu kuanza kuhudumu kama Papa, Papa Francis hajasita kugusia masuala tata na amekabiliana na baadhi ya mambo moja kwa moja, wachanganuzi wa mambo ya Vatican wanasema.
Alikuwa awali amesema kwamba Kanisa Katoliki linafaa kuwaomba radhi wapenzi wa jinsia moja kutoka na vile ambavyo limewatazama na yale limewatendea kwa miaka mingi.
Aidha, alilinganisha vituo vya kuwazuilia wahamiaji Ulaya na vituo vilivyotumiwa na Wanazi kuwazuilia na kuwaua Wayahudi wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.
Chanzo: BBC
Biblia iko wazi. Mungu hamtii MTU majaribuni. Kuacha tafsiri hii ibaki ni kujitoa ufahamu tu. Maana ni contradictionLakini naomba majibu hapa ya kibiblia siyo ya kisiasa, hivi Mungu anatia watu kwenye MAJARIBU au kwenye VISHAWISHI? Tusaidiane hapa ili nione kama pope yuko sahihi au lah
Ni kweli kabisa. Biblia ya kiingereza ina baadhi ya maneno hutafsiriwa tofauti kidogo na ya kiswahili ili kuleta maana sahihiKumbuka Yesu hakuisema kwa kiswahili, alisema kwa lugha yake then watu wakatafsiri kwa lugha tofauti tofauti. Na sifa ya lugha hua haijitoshelezi huwezi kupata maana ya kila neno kwa lugha yako, ndio maana hata kiswahili kina baadhi ya maneno ya kiingereza.
Ukisoma biblia ya kiingereza na ya kiswahili kuna maneno yanatogautiana kabisa kimaana
Tafadhali rudi ukasome upya. Mungu hakumtia Ayubu majaribuniKwani Papa anafikiri Mungu hawezi kuamua mtu wake kuingia majaribuni (kumtia majaribuni). Basi abadilishe na kitabu cha Ayubu kisiwepo kwenye biblia kwa maana Mungu mwenyewe aliruhusu Ayubu aingie majaribuni.
Ulishasema shetani ndiye aliyeenda kumjaribu sio MunguAnabadili ya nini? Mt 4:1 inasema wazi YESU ALIONGOZWA NYIKANI NA ROHO MTAKATIFU ili akajaribiwe na shetani. Hapo sio Mungu alimtia Yesu majaribuni?
sawa na mwalimu kukupa mtihaniNa vipi implication ya Mungu kukutia majaribuni?
Mbinguni ni makazi yake, ingawa yupo popote isipokuwa jehanamu.Ni vyema akapendekeza kubadilisha na ule mstari wa kwanza unaosema ''Baba yetu uliye mbinguni ...'' kwani unapingana na imani kuwa Mungu yupo mahala pote. Pia Yesu Kristo alisema anaenda kwa Baba, je ni kweli Baba huyo hayupo duniani?