Papa Francis ataka sala ya Baba Yetu ifanyiwe marekebisho

Papa Francis ataka sala ya Baba Yetu ifanyiwe marekebisho

Kwa uelewangu mdogo tu najua kunawakati Mungu hutuweka katika majaribio ilikumuonyeaha shetani ni jinsi gani tulivyo wakipekee katika utukufu wa Mungu,ndomana alikubali shetani amjaribu mtumishi wake Ayub
Sasa hapa umeshasema shetani shetani kumbe Mungu hamjaribu mtu bali humwacha mtu aingie kwenye majaribu ili kujua ni wake au sio wake
 
Hahaha! Kweli ukiamua kubadilisha unabadilisha kwenye UISLAM hakuna iyo ikishaandika haibadiliki
 
Tukisema ni mpinga Kristo mnabisha. Mwanzilishi wa Sala kuu ni Yesu Kristo. Lakini hili Pagani la kilatini linampinga Na kumkosoa Yesu Kristo
Mathew 6:13 (kjv) inasema " And lead us not in temptation....." hivi Mungu anaweza,kukupeleka vishawishini?

NB: kjv=King James Vision ni tafsiri ya kwanza kutoka kwenye lugha ya kijerumani kwenda lugha ya kiingereza! bila kuathiri septuginta!
 
Ni tafsiri ndio ilikosewa lakini watu walishaiweka sawa toka karne ya kumi na nane.
Hata mimi siku zote nikiomba hii sala natumia neno "usituache tukaingia majaribuni"
Kweli arejeshe na ile amri wanayoiruka wakati wa kutaja amri kumi za Mungu.
 
Kwa uelewangu mdogo tu najua kunawakati Mungu hutuweka katika majaribio ilikumuonyeaha shetani ni jinsi gani tulivyo wakipekee katika utukufu wa Mungu,ndomana alikubali shetani amjaribu mtumishi wake Ayub
Unajichanganya mkuu! hebu soma ulichoandika mwanzon na mwishoni, Mungu hatuweki katika majaribu bali hutuachia ili shetani atujaribu kama alivyofanya kwa Yobu/Ayubu/Job.!
 
Ndio maana yake, kwa mfano ukisoma biblia ya kiingereza king James version jina la Mungu ambalo ni Jehova wenyewe wameliondoa nakutumia Lord, Lord maana yake ni Bwana na si Jehova.
Yapo maneno mengi ambayo baada ya kutafsiriwa yamebadikisha maana
Kanisa katoliki halitambui jina YHWL tu lakin Jehevo tunaitambua! sababu ya kutoitambua YHWL ni kwasababu kwa lugha ya kiaramayo kuna irabu pia lakin wakati wa kucompile biblia kitabu cha Yeremia (kama sikosei) ambacho kinataja YHWL kama Mungu kwa mara ya kwanza, hizo konsoni/konsonanti hazikuwa na Irabu! UTATA!
 
Mbona la sasa na pendekezo ni kama tunamlazimisha Mungu? Halafu iweje Mungu anakuacha unatumbukia dhambini ili hali yeye hataki kabisa jambo hilo?
 
Ni vyema akapendekeza kubadilisha na ule mstari wa kwanza unaosema ''Baba yetu uliye mbinguni ...'' kwani unapingana na imani kuwa Mungu yupo mahala pote. Pia Yesu Kristo alisema anaenda kwa Baba, je ni kweli Baba huyo hayupo duniani?
 
Kingereza kingiiiii unaona ww ndio unajua kila kitu......Subiri siku yako ya kutolewa roho ndio utajua kama Kuna Dini au hakuna Maana unajiona kama umezuka tu Duniani.
Hehehe wewe kilichokukera ni ngeli? Ngeli niliyoandika pale ni maneno matatu tu, maneno ya kiswahili zaidi ya 100. Una chuki zako binafsi tu, ushauri wangu nenda kapate therapy utulie.
 
Kanisa katoliki halitambui jina YHWL tu lakin Jehevo tunaitambua! sababu ya kutoitambua YHWL ni kwasababu kwa lugha ya kiaramayo kuna irabu pia lakin wakati wa kucompile biblia kitabu cha Yeremia (kama sikosei) ambacho kinataja YHWL kama Mungu kwa mara ya kwanza, hizo konsoni/konsonanti hazikuwa na Irabu! UTATA!
Kweli kabisa lugha nyingi hazijitoshelezi, ndio maana hata watafsiri wenyewe hua wanakiri ni kaz ngumu sana kutafsiri lugha na kubaki na maana ile ile ya mwanzo iliyo kusudiwa
 
Hehehe wewe kilichokukera ni ngeli? Ngeli niliyoandika pale ni maneno matatu tu, maneno ya kiswahili zaidi ya 100. Una chuki zako binafsi tu, ushauri wangu nenda kapate therapy utulie.
Utumwa upo kwenye Damu yako
 
Ndio maana yake, kwa mfano ukisoma biblia ya kiingereza king James version jina la Mungu ambalo ni Jehova wenyewe wameliondoa nakutumia Lord, Lord maana yake ni Bwana na si Jehova.
Yapo maneno mengi ambayo baada ya kutafsiriwa yamebadikisha maana
Jehova ni makosa makubwa sana ...ni kosa kubwa lililofanywa na Padre akitaka kutamka jina la Mungu

Hakuna kitu kinaitwa Jehova
 
Ahsante kwa ufafanuzi. Sisi waswahili kumwita Jehova kwa jina la Mungu sijui hilo neno Mungu lilikuwa na maana gani?!
Tulishaleta uzi hapa kutolea ufafanuzi wa makosa ya jina Jehova..ila mods wakaweka kapuni..

Kwa kifupi Jehova si jina la Mungu ni makosa makubwa
 
Back
Top Bottom