Papa asema wanaopinga waraka wake wa baraka kwa mashoga ni kikundi cha "watu wachache" hasa waafrika ila polepole wataelewa

Huna mpya. Unarudia copy and paste ka sindano imenasa kwenye santuri Mimba changa inakupa tabu. Vumilia bi mkubwa.
Ndio ukubwa wenyewe huo.

Wanasema wakongwe "mtaka cha uvunguni sharti ainame. PAPA kAISHA KUBARIKI. ondoa shakka.
Wewe ni myahudi safi kabisa.
Wala usijali maneno ya watu.
Bado hujajibu maswali yangu unahama hama kama mpira wa kona
ENdelea kubinua mnduku juu ukiswali kuenzi mila za Mudi kama alivyofanya hadith 16245 kwa al hassan
Zenji mmeona wamasai wakataa kuwafokoa mmeanza kuwafukuza kinguvu mfokoane hadharani
HUyo papa anaenda kutoa baraka kwa s100 ukanda wote wa pwani watu wa deen ya haki mfokolewe kama utamaduni wa muddyy
 
Attachments

  • Screenshot_20240122_123042_Gallery.jpg
    Screenshot_20240122_123042_Gallery.jpg
    87.5 KB · Views: 2
Ni aibu kwa Wakiristu kuunga mkono na kuuvumilia ushoga!.

Na hili hatuwasingizii maana kanisa la Anglican lenyewe linafungisha ndoa za mashoga kabisaa.

Na sasa kanisa la kikatoliki nalo limeanza kubariki "COUPLES" za mashoga badala ya kuwahubiria na kuwaombea waache dhambi ya UFIRAJI na UFIRWAJI la hasha!.

Na haya ni makanisa makubwa sana duniani.
 
Hakuna mkatoliki atakaempinga PAPA.
PAPA ndio muwakilishi wa KANISA KATOLIKI DUNIANI.
Atakachosema LAZIMA KIFUATWE NA WAKATOLIKI WOTE.
YYT atakaepinga basi Kwa Imani zao AMELAANIWA.

Kwahio tujiandae kuona Ndoa za jinsia moja kwa wingi sana hapa Nchini.

Mi tayari nimeanza mpango nataka kufungua sehemu ya kushona magauni ya wanamme.
Wateja wa kumwaga.
 
Ni aibu kwa Wakiristu kuunga mkono na kuuvumilia ushoga!.

Na hili hatuwasingizii maana kanisa la Anglican lenyewe linafungisha ndoa za mashoga kabisaa.

Na sasa kanisa la kikatoliki nalo limeanza kubariki "COUPLES" za mashoga badala ya kuwahubiria na kuwaombea waache dhambi ya UFIRAJI na UFIRWAJI la hasha!.

Na haya ni makanisa makubwa sana duniani.
NI... POLEPOLE...HATUA KWA HATUA...
 
Back
Top Bottom